Propaganda ya AMANI imeanza kumalizwa nguvu baada ya watu kuuliza na HAKI je?

Sahii ,kuzungumzia amani bila haki ni sawa na Nguruwe kumpaka lipstick, alisema mzee Ulimwengu ( Mungu amuweke mzee wetu)
 
๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒwasira juzi kawaza kawazua cha kuongea jukwaani kujibu hii propaganda, mwisho kaja anasema "haki Iko ndani ya amani"๐Ÿ˜ก๐Ÿ˜ก๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
Mzee MJINGA Sana huyu
 
Hahah dingi umechefukwa hatari.
 
Ikifanya Oct 25 kila baada ya miaka mitano wajeshi policeccm na tiss. Kazi yao ni moja tu maagizo kutoka aliyewateua ambae na yeye ni mgombea Uraisi # No reform No election
Halafu MACCM yanatuona watz wajinga, mwaka huu kitanuka
 
Ny
Nyie nyumbu mlivyowekeza uzushi na upuuzi we humu JF utafikiri watanzania wanafuatilia huu upuuzi, nyie mazuzu mnaojifurahisha wenyewe CCM ni jabali hamuwezi ht kuitingisha.
Tunaomba jabali lituvushe kwenye haki ngoja nikwambie haki inapotelea wapi......
1.Je wajua kwamba psssf pesa yake haiwafikii walengwa inaliwa na vijana wa Lumumba tena bila kunawa.
2.Katika hii vita haki ya watumishi wa umma imepokwa na kupelekwa kusiko Julikana,watu hawana posho ya likizo kwa zaidi ya Miaka kumi.watu hawana nyongeza ya mishahara kwa zaidi ya Miaka kibao,kila kwenye lengo stahiki watanzania wanapigwa ban
3.Je wajua ndege zilizonunuliwa kwa mbwembwe watu hawana uwezo wa kupanda sababu usipotoa posho ya likizo mtu haendi kwao bali anapanda fuso au anaahirisha kwenda kwao na hivyo kushindwa kurithisha watoto tamaduni zao za asili.
4.Je wajua Tanzania ukiwa na bidhaa inayolipa mwakani serikali itapiga Pin ili usiinuke mazima.
5.Je wajua kabla ya uchaguzi rais msikivu lakini baada ya uchaguzi haambiliki,anashindwa nini Samia kwenda malawi kumaliza ugomvi wa biashara unaoendelea nanBashe anaongelea kwenye mtandao wa X
6.Je wajua BBT imehujumiwa na sasa mipaka imefunguliwa kujaza watu wa nje kuingia kununua mpaka ardhi hapa Tanzania je ccm usalama na haki uko wapi kwa sasa.
Watu wamepoka katika uchaguzi huu sababu hakuna haki wala utashi kwa wananchi tunapenda iumchagua kaimu kuwa Rais je huo muda alokaa miaka yote alikuwa nafanya nini kukaimu.muda wote huo katiba gani ya mbogamboga party mnaitumia kujitoa ufahamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ