Hauujui uchaguzi wa Tanzania. Ningekuelekeza,I am afraid I can kill you!Na mnadhani itaongeza wapiga kura? Kisha mtafute huruma ya jamii mmeibiwa kura?
Ifike mahali vyama vya upinzani viuze sera na kujenga mifumo imara na sio kujificha kwenye kichaka cha katiba mbovu na polisi.
Na hili wanalijua saana.
Asee mauaji kwenye Uzi wangu hayakubaliki,Hauujui uchaguzi wa Tanzania. Ningekuelekeza,I am afraid I can kill you!
Mzee wa sinagogi usiogope.Hiyo ni misemo tu.Asee mauaji kwenye Uzi wangu hayakubaliki,
Ushindwe.
Kama kawaida siasa ni perception tu.Hauujui uchaguzi wa Tanzania. Ningekuelekeza,I am afraid I can kill you!
🤓🤓🤓🤓🤓Asee mauaji kwenye Uzi wangu hayakubaliki,
Ushindwe.
Huna akili kabisa!Chama kimefanikiwa kurudisha popularity yake Kwa haraka sana,
Muhimu ni Lissu na Mbowe kumaliza hizi tuhuma fake wanazorushiana kwenye compaign Kwa njia ya ustadi mkubwa,
Poleni CCM!!
We fala kweliNa mnadhani itaongeza wapiga kura? Kisha mtafute huruma ya jamii mmeibiwa kura?
Ifike mahali vyama vya upinzani viuze sera na kujenga mifumo imara na sio kujificha kwenye kichaka cha katiba mbovu na polisi.
Na hili wanalijua saana.
Muhimu ni kuongelewa Kwa CHADEMA na Kuteka mijadala yote,Huna akili kabisa!
Morali ya machadema kwa sasa imeshuka sana kutokana hasa na Mbowe kuukumbatia uenyekiti.
Haya machawa yamayomshambulia Lisu unafikri yatafichq wapi sura zao Lisu akiwa mwenyekiti?..
Je Mbowe nae akiwa mwenyekiti tena unafikiri kuna chama hapo tena?
Lile IGIZO lake la juzi eti watu wameamua kwake kumtaka agombee, yani watu wavamie tu ghafla wakute viti, mahema na maspika tayari kwa hotuba?
Huna akili kama unafikri chadema ina imarika
Waache wajidanganye. Kwenye Serikali za Mitaa wamepigwa mbaya sana halafu eti mwaka mmoja kabla eti unaeneza propaganda za kushinda uchaguzi?Na mnadhani itaongeza wapiga kura? Kisha mtafute huruma ya jamii mmeibiwa kura?
Ifike mahali vyama vya upinzani viuze sera na kujenga mifumo imara na sio kujificha kwenye kichaka cha katiba mbovu na polisi.
Na hili wanalijua saana.
Kwamba CCM wameshindwa uchaguzi mitaa Hadi wanaona Aibu kushangilia ushindi wa 99%?Waache wajidanganye. Kwenye Serikali za Mitaa wamepigwa mbaya sana halafu eti mwaka mmoja kabla eti unaeneza propaganda za kushinda uchaguzi?
Kitu unacho tiyari mkononi unashangilia nini sasa? Kabla ya uchaguzi tulipambana kweri kweri kupata vitongoji, vijiji na mitaa mingi na tumeipata. Sasa hivi hatuna muda wa kushangilia. Tunajipanga na Uchaguzi Mkuu 2025!Kwamba CCM wameshindwa uchaguzi mitaa Hadi wanaona Aibu kushangilia ushindi wa 99%?
Chademas mnakaza kichwa kukubali kuwa kuna kitu hakipo sawa chamaniHellow!
Naona CHADEMA imeamua kutumia njia hii ya propaganda Ili kusababisha iteke tena mijadala yote kisiasa na vinywa vya watz baada ya kuepuka kifo Awamu ya Magu.
CHADEMA imefanikiwa Kwa wiki hizi chache kurudisha umaarufu wao haraka kuelekea uchaguzi.
Na propaganda hii inaenda kuhitimishwa na Mbowe Leo akitangaza kukiunganisha chama Leo Kwa kutangaza ku.....
Mungu ibariki CHADEMA, CCM imesahaulika.
Karibuni 🙏
Ushindi upi ilhali washindi fake wanahofia kukalia viti Kwa HOFU ya wananchi?Kitu unacho tiyari mkononi unashangilia nini sasa? Kabla ya uchaguzi tulipambana kweri kweri kupata vitongoji, vijiji na mitaa mingi na tumeipata. Sasa hivi hatuna muda wa kushangilia. Tunajipanga na Uchaguzi Mkuu 2025!
CHADEMA Kuteka mijadala yote kisiasa Kwa mwezi mzima kwako ni jambo dogo?Chademas mnakaza kichwa kukubali kuwa kuna kitu hakipo sawa chamani
Sio jambo dogo mkuu 🙌 ila acheni kukaza kichwa.CHADEMA Kuteka mijadala yote kisiasa Kwa wiki nzima kwako ni jambo dogo?
Jidanganye huenda roho yako itapata amani. Ila ujue watu wako ofisini wanachama kazi.Ushindi upi ilhali washindi fake wanahofia kukalia viti Kwa HOFU ya wananchi?