Propaganda ya Mbowe na Lissu imeongeza umaarufu wa CHADEMA kuelekea uchaguzi Kwa haraka sana!

Propaganda ya Mbowe na Lissu imeongeza umaarufu wa CHADEMA kuelekea uchaguzi Kwa haraka sana!

Hellow!

Naona CHADEMA imeamua kutumia njia hii ya propaganda Ili kusababisha iteke tena mijadala yote kisiasa na vinywa vya watz baada ya kuepuka kifo Awamu ya Magu.

CHADEMA imefanikiwa Kwa wiki hizi chache kurudisha umaarufu wao haraka kuelekea uchaguzi.

Na propaganda hii inaenda kuhitimishwa na Mbowe Leo akitangaza kukiunganisha chama Leo Kwa kutangaza ku.....

Mungu ibariki CHADEMA, CCM imesahaulika.

Karibuni 🙏
Ukilijua lengo hasa la kuanzisha kwa vyama vya Upinzani hapa Tz mwaka 1992, utakuwa unajua wazi kabisa kwamba Mbowe hawezi kuacha kugombea Uenyekiti huko Chadema.
Viongozi wengi wa vyama vya upinzani ni Mapandikizi ya Tiss, ukianzia:- Augustine Lyatonga Mrema, Cheyo, Lipumba, Mabere Marando, na hata huyo FAM
 
Kutofautiana kauli na mtizamo kisiasa Si mgogoro,

Huo ndio ukomavu wa DEMOKRASIA.

Hajatekwa hata sisimizi kwenye mtanange huo!
Ila haya yanayotokea chadema yangekuwa yanatokea ccm ahhh 😂 sasa hv wanachadema mngekuwa kwenye furaha kama ile ya kifo cha JPM
 
Back
Top Bottom