Propaganda ya Mbowe na Lissu imeongeza umaarufu wa CHADEMA kuelekea uchaguzi Kwa haraka sana!

Sio jambo dogo mkuu πŸ™Œ ila acheni kukaza kichwa.
Kutofautiana kauli na mtizamo kisiasa Si mgogoro,

Huo ndio ukomavu wa DEMOKRASIA.

Hajatekwa hata sisimizi kwenye mtanange huo!
 
Ukilijua lengo hasa la kuanzisha kwa vyama vya Upinzani hapa Tz mwaka 1992, utakuwa unajua wazi kabisa kwamba Mbowe hawezi kuacha kugombea Uenyekiti huko Chadema.
Viongozi wengi wa vyama vya upinzani ni Mapandikizi ya Tiss, ukianzia:- Augustine Lyatonga Mrema, Cheyo, Lipumba, Mabere Marando, na hata huyo FAM
 
Kutofautiana kauli na mtizamo kisiasa Si mgogoro,

Huo ndio ukomavu wa DEMOKRASIA.

Hajatekwa hata sisimizi kwenye mtanange huo!
Ila haya yanayotokea chadema yangekuwa yanatokea ccm ahhh πŸ˜‚ sasa hv wanachadema mngekuwa kwenye furaha kama ile ya kifo cha JPM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…