Km unachanjwa wew mwenyew usituaminishe upuuzi rwanda walichanjwa nchi nzima na bado maafa ni makubwa kuliko tz na lockdown kibao!!!!!
 
Kuna nchi moja kutoka gulf states imechanja almost raia wake wote laikini maabukizi na vifo ndo yanazidi kutapakaa na kila siku wana strengthens mashariti na ku lock down nchi yao. Vaccine siyo solutions at all.
 
Kuna nchi moja kutoka gulf states imechanja almost raia wake wote laikini maabukizi na vifo ndo yanazidi kutapakaa na kila siku wana strengthens mashariti na ku lock down nchi yao. Vaccine siyo solutions at all.
Maambukizi lakini sio vifo
 
Msipomkemea Gwajima, wallah wabillah nawaapia kuna siku ataiingiza hii nchi kwenye shida kubwa huku mlivyo wajinga mkiwakamata na kuwaharasi Chadema.
Unakumbuka wale waliosubiri safari pale airport dsm, nadhani waliitwa Sabato masalia kama sikosei.
Huko Burundi kuna watu wameuza kila kitu na kupanda mlimani kumsubiri Yesu
Uganda waumini walichomwa moto kwa kuwa huwezi kwenda mbinguni bila kufa kwanza (Kibwetele)

Ni mengi sana, mtu akishamwamini kiongozi wake wa kiroho basi humthamini hata kuliko Mungu wakati mwingine
 
Ukiona mtu anashabikia chanjo
1. Kala fungi la dola za wenye corona.
2. Ni mjinga na ujinga wake umesababishwa na hofu zinazotolewa Kila siku na mawakala wa corona
 
'za kuambiwa ongeza na za kwako,' maneno ya mh kikwete. Nani amekwambia serikali imejiridhisha? Kwa nini chanjo ni mpaka ujaze form na kukubali kuwa serikali haitahusika na madhara ya chanjo? Una ishi ki- remote.
 
Jiulize watutengeneze mashoga au mazombie wao wanafaidikaje na huo uzombie ama ushoga wetu.Tupo karne ya 21 ila tuna mawazo ya Ki hadzabe sana yaani mi naona cha kudiscus ni serikali kujiridhisha na ubora wa chanjo napo utaalam hatuna tunabaki na utalam wa vijiweni wa kuambizana chanjo itafanya tuwe mashoga na mazombie
 
Hayo ni maoni binafsi ya Gwajima, nawe toa yako, hujazuiwa, japo kuna nafasi ya kuvaa magwanda na crown kwenda kuwashughulikia wote wenye maoni tofauti na dola.
 
Jamani Gwajima ni mmoja we nenda kachanjwe , Tanzania chanjo ni hiari
 
Zipo taasisi/kampuni zitaweka sera ya kuchanja wafanyakazi wao wote kwa lazima. Najua serikali wanasoma maoni yetu, utolewe muongozo utaosimamia raia wake juu ya uhuru/hiari kushiriki hizi chanjo.

Twende na hili swala kwa akili!
Je, ikiwa kila huduma ya jamii (elimu, afya, Taasisi za Serikali km Setikali za Mitaa/Vijiji) itatolewa kwa waliochanjwa?
 
Lazima tuwe waoga katakana na, dawa haina evidence ya kutosha kuujulisha dunia kuwa inaponya namna gani, kama vile HIV via ARV it is real inapambana vizuri.
 
Una maslahi na hili swala?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…