Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
-
- #41
Sasa Rwanda, Kagame kaweza kusolve vitu vidogovidogo hivyo hapa kwetu vinatushinda.
Hii maana yake Kagame ana upeo mkubwa kuliko viongozi wetu. Kama tukipigana nae, viongozi wetu hawana uwezo wa kiakili kumzidi ujanja.
Mmmh!
Unajua Warwanda wengi wanaokuja Tanzania hasa maeneo ya Geita, Kagera, kigoma na shinyanga wanafanya Kazi za shokoa?
Watakuwa wapelelezi hao.
Upuuzi tu siwezi kupambana CCM ikiwa madarakani nitakuwa nimekufa kifo cha kipumbavu.Unakosea!
Hili suala linahitaji utaifa. Unaweza ukaichukia serikali lakini si taifa.
Siasa za upinzani ziishie kwenye serikali na mambo ya siasa. Lakini taifa linapokuwa hatarini utaifa unapaswa kuwekwa mbele.
Hakuna jeshi Tanzania ni kundi la wanachama wa CCM wanao valishwa combat na kwa ujinga wao wanalinda watu wapumbavu wanao hatarisha huo usalama wa taifa.Jeshini wapo wanaulinda Taasisi, wapo wanaolinda rais na wapo wanaolinda nchi na nafikiri umenielewa.
Huyo mama yupo kukamilisha taratibu za kisiasa kulingana na kanuni na mwongozo wa kisheria unavyotaka.
Ila mengineyo wapo ambao wanaoyasimamia.
Hakuna ambaye anayemuonea wivu Kagame. Suala ni usalama wa nchi, kama mambo huyafahamu omba ufahamishwe.
Upo sahihi kwa 100%Acha ujinga Hilo ni jeshi la ccm sio wananchi
Upo sahihi ukweli lazima usemwe siku hizi hatuna jeshi la wananchi tena limebaki la CCM.Hamna taifa kama jeshi linasaliti wananchi kisa watu wachache huo ujinga hatuna na hii sio miaka ya 1950s mzee hii miaka humdanganyi mtu
Moja ushiriki wao katika siasa chafu za uchaguzi za kuwasimika CCM Tanganyika na Zanzibar.Jeshi limesaliti wapi wananchi?
Twende kwa mifano hai tusiende kwa mihemuko!
Sawa!Upuuzi tu siwezi kupambana CCM ikiwa madarakani nitakuwa nimekufa kifo cha kipumbavu.
Na nakuhakikishia siku Tanzania ikiingia vitani itapigwa vibaya mno huwezi shinda vita ambayo serikali na wananchi sio kitu kimoja na ndicho kilichopo Tanzania.
Serikali iache kutengeneza classes hizo za kipuuzi watakazo anzisha watapigana wao na wajomba zao hii ni 2025 sio 1978
Sawa!Hakuna jeshi Tanzania ni kundi la wanachama wa CCM wanao valishwa combat na kwa ujinga wao wanalinda watu wapumbavu wanao hatarisha huo usalama wa taifa.
Nyie Wanyarwanda tupumzisheni!! Ukubwa wa jeshi la Rwanda hadi kutishia Tanzania uko wapi? Mbona katika majeshi 20 bora ya Afrika la Rwanda halipo!!PROPAGANDA ZA KUKUZA UWEZO WA RWANDA KIJESHI ZINAHATARISHA USALAMA WA NCHI YETU HAPO BAADAYE.
.
Ari, ujasiri, imani kwa Waisrael na Jeshi lao ikarejea lakini Musa kama kiongozi wa kijeshi na mwenye hiyo Movement akatoa maamuzi wale wapelelezi kumi wauawe ili wasije waletea Hofu na kuambukiza Hofu hiyo watu wengine..
Ninawahakikishia, Maneno haya yakiendelea hivihivi watu na jamii itayaamini. Na matokeo ya kuyaamini Maneno ya aina hii hayatakuwa mazuri.
Lazima Sisi kama taifa tujitambulishe sio tuu kwa upendo wetu, umoja wetu Bali pia tujitambulishe kama watu wenye AKILI kubwa, na watu wenye kufanya mambo magumu.
Nawatakia maandalizi Mema ya Sabato
Robert Heriel
Taikon Master
Kwa sasa Dar es salaam
Bahati au sioKushinda vita vya kijeshi kunahitaji mchanganyiko wa mambo mengi, na hakuna formula moja rahisi. Hapa kuna baadhi ya mambo muhimu ambayo yanaweza kuchangia ushindi:
## 1. Nguvu ya Kijeshi
- Wanajeshi: Kuwa na jeshi kubwa lenye askari wengi wenye mafunzo mazuri na vifaa vya kisasa.
- Vifaa vya Kijeshi: Kumiliki silaha za kisasa, kama vile ndege za kivita, meli za kivita, magari ya kivita, na mifumo ya ulinzi.
- Teknolojia: Kuwa na teknolojia ya kijeshi ya hali ya juu, kama vile mifumo ya ujasusi, mawasiliano, na silaha za kisasa.
## 2. Mkakati na Uongozi
- Mkakati: Kuwa na mkakati mzuri wa kijeshi ambao unaeleza jinsi ya kufikia malengo ya vita.
- Uongozi: Kuwa na viongozi wenye uwezo na uzoefu ambao wanaweza kuongoza jeshi kwa ufanisi.
## 3. Uchumi
- Rasilimali: Kuwa na rasilimali za kutosha kugharimia vita, kama vile fedha, chakula, mafuta, na vifaa vingine.
- Uzalishaji: Kuwa na uwezo wa kuzalisha silaha na vifaa vingine vya kijeshi.
## 4. Morali
- Morali ya Wanajeshi: Wanajeshi kuwa na morali ya juu na imani katika ushindi.
- Umoja wa Kitaifa: Wananchi kuwa na umoja na kuunga mkono vita.
## 5. Diplomasia
- Washirika: Kuwa na washirika wa kimataifa ambao wanaweza kusaidia katika vita.
- Mazungumzo: Kuwa tayari kufanya mazungumzo ya amani ili kumaliza vita.
## 6. Mambo Mengine
- Hali ya Hewa: Hali ya hewa inaweza kuwa na jukumu katika vita.
- Jiografia: Jiografia ya eneo la vita inaweza kuwa na jukumu.
- Bahati: Wakati mwingine, bahati inaweza kuwa na jukumu katika vita.
Ni muhimu kuzingatia kwamba vita ni jambo ngumu na lisilotabirika. Hata kama una mambo yote hapo juu, bado kunaweza kuwa na sababu ambazo zinaweza kusababisha kushindwa.
## Mwisho
Kushinda vita kunahitaji mchanganyiko wa mambo mengi, na hakuna uhakika wa ushindi. Ni muhimu kuzingatia kwamba vita vina madhara makubwa na vinapaswa kuepukwa kwa gharama zote.
Gemini AI
Kwahiyo kufanya hivyo inaweza kuleta msaada wowote? Maana mwisho wa siku kama uimara haupo hiyo haiwezei kuongeza uimara na kama upo hata watu wakiwa negative hakuna kitakacho badilika.Njia rahisi ni modes wa hili jukwaa wafute nyuzi za namna hiyo na nyingine waziunganishe ili kuzima kick na kutrend kwa mambo ya namna hiyo, na wazalendo waandike nyuzi za kupaisha jeshi letu na kulitrendisha sasa wakikaa kimya raia wataamini halina maajabu
Sawa!Moja ushiriki wao katika siasa chafu za uchaguzi za kuwasimika CCM Tanganyika na Zanzibar.