Propaganda za kukuza uwezo wa Rwanda kijeshi zinahatarisha usalama wa nchi yetu hapo baadaye


Suala la ukosefu wa ajira siyo la wapinzani peke yake, hata wanaCCM wanaumia.
 
Kwa akiri yako unataka twende front na Rwanda,unauzoefu wowote wa kivita
 
Umeandika utumbo kwa kiingereza cha kuunga unga uonekane msomi. Hadi sasa unatembea pasipo vitanya wenyewenkwa wenyewe wala ukanda na unadhani ni bahati wala hakuna jitihada inafanyika.
umeiona hiyo ni nadharia dhaifu ukijiacha matako wazi wewe mwenyewe. inshort hizo propaganda danganyeni nyie huko lkn anaejua hawezi kuthubutu kuonja sumu kwa kuilamba.
Kama Pk hana intel ataziamini halafu akanyage moto kwa miguu yake lkn najua ana akili nyingi hawezi kujaribu
 
Unamjibu mjinga au mnyarwanda au mamuluki ndani ya nchi
 
Hakuna jeshi Tanzania ni kundi la wanachama wa CCM wanao valishwa combat na kwa ujinga wao wanalinda watu wapumbavu wanao hatarisha huo usalama wa taifa.
Mjinga
 
ila Rais Kagane msimchukulie wa kawaida!

Uwezi fahamu yuko na mataifa gani yenye nguvu kijeshi na kiuchumi.
Hata awe na mataifa ya dunia nzima hana cha kuifanya bongo, akijichanganya tutaigeuza nchi yake kuwa mkoa, kwani we unafahamu bongo iko na mataifa gani? Tupunguze kusifia kile kijiji
 
Kwani hujaiona video ya PK akimwambia JK I will hit you?. JK akaja kubutubia taifa huku anatetemeka, kinyongenyonge?
Kila mtu anafahamu kilichotokea baada ya PK kutoa hiyo kauli. Na wewe pia unafahamu vyema.

Na si busara kujadili kitu ambacho wewe mwenyewe ukweli wake unaujua.
 
Congo kubwa mara tatu kuliko Rwanda ila inachapwa na Rwanda.

Wingi wa pua si ukubwa wa makamasi.
Panya road husumbua mitaa ya jiji kwa sababu tu raia wana akili tegemezi ya kusaidiwa na vyombo vya dola mara zote.
Vivyo hivyo wakongo husubiri misaada ya nje na mamluki.
Rwanda ni nchi ambayo inaweza kuangushwa ndani ya masaa kwa sababu ya udogo wa eneo na idadi ya watu.
Pili ni land locked, ikizingirwa na kudhibitiwa aridhini na angani, kutokea Drc, Tanzania na Uganda, kazi imekwisha.
 
Uingereza kalikuwa ni kakisiwa kadogo tu lakini kametawala dunia.
 
Wasithubutu kwenda kwenye vita, watachapika kweli kweli.
 
Thubutu, watapigwa drones za kutosha hadi wapoteane.
 
Hakuna elimu ya siasa, pamoja na kuwa na mitazamo tofauti linapokuja swala la utofauti na nchi nyingine inabidi tuwe kitu kimoja.
Wanaosifia Rwanda wengi ni watusi ambao wameishi Kama watanzania hivyo baada ya kujipenyeza Wana hofu Nini kitatokea kwa ndugu zao endapo vita itazuka.
 
 
Nchi ambayo wanajeshi wanapelekwa kufagia na Makonda unadhani kuna jeshi tena hapo?
 
Waendelee kuufyata tu, wakithubutu tutaaibika asubuhi kabisa. Kwa sasa Rwanda ametuzidi kwenye teknolojia, huo ndio ukweli mchungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…