Hakuna uchawi!
Uongo!Nenda mdaula/mkange huko kwa wazigua ndio utajua watu wamepelekewa mashine ya kusaga wanaipindisha hatar sana,Jiran anasherehe anaeka jenereta wanaizimisha hahaha wana macho ya ajab wanaongoza kwa kupiga watu mazongo wengi wao wakishafika dar hawarud kwao.
Kuwepo ni kitu kingine na kuamini ni kitu kingineUongo!
Uchawi haupo.
Naam!Kuwepo ni kitu kingine na kuamini ni kitu kingine
Ndio baada ya kulifanyia uchunguzi.Naam!
Unaweza kuamini kitu au jambo lolote lile!
Uwepo wa nyumba za ibada si uthibitisho wa chochote zaidi ya imani tu.Ndio baada ya kulifanyia uchunguzi.
Mfano kama nyumba za ibada zipo kwann uchawi usiwepo.
Mimi nipo, unaamini juu ya uwepo wa nguvuUwepo wa nyumba za ibada si uthibitisho wa chochote zaidi ya imani tu.
Imani si uhalisia. Imani ni mambo ya kufikirika tu.
Nikuulize: wewe unajua kuwa wewe upo au una amino kuwa wewe upo?
Nguvu gani?Mimi nipo,unaamini juu ya uwepo wa nguvu
Nguvu kama kani ya utendaji au ufanyikaji jamboNguvu gani?
Uongo!
Uchawi haupo.
Uchawi haupo!Kila mmoja abaki na imani yake kuwa uchawi haupo kwa mazingira yake. Kama mazingira yako sio ya wachawi au haujawahi kuexperience uchawi basi utakuwa sahihi kusema haupo.
Binafsi nilikuwa naamini uchawi haupo, ila kuna Mambo makuu matatu yalinitokea baadae nikaamini uchawi upo na ili uushinde inabidi uwe na nguvu za Mungu ndani yako.
Uchawi haupo!
Wewe ndo utakua na shida maana hata vitabu vya dini vimethibitisha uwepo wa uchawi.Kuamini Uchawi/ushirikina ni aina nyingine ya Ukichaa!
Njoo Tanga nikuonyeshe.Hakuna uchawi!
Wewe ndugu inaonekana ni under 25 kabisa! Nikuulize tu kajiswali nini kinakusukuma kusema hakuna uchawi.?Uongo!
Uchawi haupo.
Kwa sababu haupo!Wewe ndugu inaonekana ni under 25 kabisa! Nikuulize tu kajiswali nini kinakusukuma kusema hakuna uchawi.?
Sawa endelea kuamini hivyo hivyo! Labda imani yako ndio chanzo cha wewe kuamini hivyo.Kwa sababu haupo!
Uchawi haupo!Sawa endelea kuamini hivyo hivyo! Labda imani yako ndio chanzo cha wewe kuamini hivyo.
Njoo Tanga nikuthibitishie.Uchawi haupo!
Kama upo, thibitisha!
Vitabu vya dini havisemi UCHAWI UPO...Wewe ndo utakua na shida maana hata vitabu vya dini vimethibitisha uwepo wa uchawi.