Prophet Denis: Tundu Lissu ni chaguo la Mungu, akiwa Rais atalifanyia makubwa Taifa la Tanzania

Prophet Denis: Tundu Lissu ni chaguo la Mungu, akiwa Rais atalifanyia makubwa Taifa la Tanzania

Hubiri neno la Mungu hukuitwa kuhubiri habari za Tundu Lisu
 
Mmh ila Mungu sometimes anasingiziwa sn

Huwezi ongea kwa ujasiri hivi ikiwa sio Mungu Yuko nyuma yako. Time will tell. Nothing impossible under the sun!

Manabii siku zote walitabiri na kuyasema mambo makubwa ya kitaifa na kiulimwengu kwa ujumla kwa ujasiri mwingi bila kuogopa gharama (maana watawala wengi hawapendi kunenewa yaliyo kinyume na matakwa yao)
 
huyu hamhubiri Tundu Lissu, anakisema kile cha Mungu kilicho ndani ya mtu aitwaye Tundu Lissu.
Mahubiri potofu kuhubiri mambo yaliyo ndani ya mtu halafu ili iweje? Hayo mahubiri yatamfanya mtu atubu dhambi na kuokoka?
 
Hizi takataka zinajiita prophety zimekuwa nyingi
 
hapa kinachoongelewa ni mustakabali wa Taifa. Mungu ni wa wote wenye mwili, waliookoka na wasiookoka.
Taifa la Israel lilikuwa lote dini moja
Na walikuwa na nabii wa Taifa anayetambuliwa na taifa Zima na ndiye aliyekuwa akiweka wafalme na kutoa unabii wa Taifa
Sasa hivi hakuna nabii wa taifa sababu kwanza serikali yenyewe haina dini

Kiongozi kupatikana hapatikani kupitia dini au unabii ni kwa sanduku la kura tofauti na enzi za manabii

Kinachoamua ni sanduku la kura
 
Yanga inahusikaje tena? Kuna mtumishi mmoja alisema Mpira ni dhambi.
Nahuyu ndo anatabiri Mpira, nadhani kila mtumishi ana wito wake, nasisi waumini tuna wito wetu.
 
Taifa la Israel lilikuwa lote dini moja
Na walikuwa na nabii wa Taifa anayetambuliwa na taifa Zima na ndiye aliyekuwa akiweka wafalme na kutoa unabii wa Taifa
Sasa hivi hakuna nabii wa taifa sababu kwanza serikali yenyewe haina dini

Kiongozi kupatikana hapatikani kupitia dini au unabii ni kwa sanduku la kura tofauti na enzi za manabii

Kinachoamua ni sanduku la kura
kwani huyo mtumishi amekataa sanduku la kura? Yeye anasema kile ambacho kilimuokoa mtu. Kile kilichoko ndani ya mtu. Wewe hujiulizi yaliyompata Lissu na hajarudi nyuma na haogopi. Jiulize: wewe ungeweza? nani angeweza ikiwa sio supernatural powers iliyo nyuma yake. Kwa taarifa yako hata familia yake huwa wanamshangaa.

ukimsikiliza huyo mtumishi bila ushabiki wa kisiasa utagundua kuwa hayasemi hayo kwa msukumo wa kisiasa! Mungu ni wa mataifa yote, sio Israeli tu.
 
kwani huyo mtumishi amekataa sanduku la kura? Yeye anasema kile ambacho kilimuokoa mtu. Kile kilichoko ndani ya mtu. Wewe hujiulizi yaliyompata Lissu na hajarudi nyuma na haogopi. Jiulize: wewe ungeweza? nani angeweza ikiwa sio supernatural powers iliyo nyuma yake. Kwa taarifa yako hata familia yake huwa wanamshangaa.
Anakula na kulala kupitia siasa ulitarajia aache baada ya kupigwa risasi?
 
Anakula na kulala kupitia siasa ulitarajia aache baada ya kupigwa risasi?

Lissu hategemei siasa kupata kula. Ni mwanasheria wakili nguli ambaye hana shida na pesa ya kula.

Hujiulizi ni nguvu gani ilimuokoa na mauti Ile? jaribu kujiuliza. Kuna watu tuko duniani tumelibeba kusudi la Mungu. Hatufi kabla ya kusudi hilo halijatimia. Tukishalitimiza tunaondoka zetu kwenda kwa Baba yetu wa mbinguni na kisha kukaa naye milele.
 
Hili ni pepo linaloongea kupitia mtu anaejiita nabii
 
Back
Top Bottom