Sasa hivi baadhi ya watumishi wanatumia kila sarakasi ili wa trend iwe kutoa unabii kwa mtu mpagani asiyeokoka kuwa atakuwa mtu mkubwa na stafanikiwa sana pamoja na kuwa muovu
Unabii wake wa kishetani na haukidhi viwango vya kinabii kama ana ujasiri alitakiwa akamhubirie Lisu aokoke kwanza na kubatizwa kisha baada ya hapo ndipo asiikilize Mungu anasemaje juu ya Lisu
Kujiita nabii na kumtabiria mtu mwovu kuwa atafanikiwa hivyo hivyo alivyo na midhambi yake ni unabii wa kipepo na kishetani
Hakuna nabii hapo .Kuna binadamu wa kawaida mwenye mapenzi tu na Lisu anayetumia jina la Mungu bure na kulitaja bure
Hakuna unabii toka kwa Mungu hapo
Anatumia tu jina la Lisu ku trend kidunia sababu Roho Mtakatifu kakataa ku m trend