Prophet Denis: Tundu Lissu ni chaguo la Mungu, akiwa Rais atalifanyia makubwa Taifa la Tanzania

Nani alisema kwamba Mungu akitaka kutimiza kusudi lake kupitia mtu ni lazima Huyo mtu aokoke kwanza?Yule kahaba Rahabu aliyewaficha wale wapelelezi waliotumwa na Joshua kuipeleleza Yericho mbona hawakumwambia okoka kwanza ndio utufiche?
 
Ngoja tusubiri unabii wa Samia kushinda kwa kishindo najua ndio unautaka
 
Nani alisema kwamba Mungu akitaka kutimiza kusudi lake kupitia mtu ni lazima Huyo mtu aokoke kwanza?Yule kahaba Rahabu aliyewaficha wale wapelelezi waliotumwa na Joshua kuipeleleza Yericho mbona hawakumwambia okoka kwanza ndio utufiche?

huyo ndugu anasukumwa na itikadi za kisiasa. Anadhani huyo mtumishi yuko kisiasa.

Hajui utendaji wa Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…