Tetesi: Protase Kardinali Rugambwa atajwa kumrithi Papa Francis

Ngozi nyeusi bado haina thamani mbele ya wazungu,haiwezekani.
Thamani yako unaitengeza mwenyewe. Wewe unataka watu wengine wakutengenezee thamani yako? Utasubiri mno mno na ndilo kosa sisi waafrika tunalifanya. Tunaishi kama manyani halafu tunataka tuthaminiwe.
 
Mwambie huyo KILAZA wa Fifiemu, Anafikiri kumchagua Papa ni Sawa na kumchagua yule Sheikh Mkuu Wa Bakwata?
 
Hii ni nomaAhahahah
Kumbe 😂😂😂😂😂
UnawezaSasa
KuwekaKazi mnayo
 
𝕴𝖙𝖆𝖐𝖚𝖜𝖆 𝖛𝖎𝖟𝖚𝖗𝖎 𝖎𝖑𝖆 𝖙𝖚𝖆𝖈𝖍𝖊 𝖉𝖍𝖆𝖍𝖆𝖓𝖎𝖆 𝖐𝖚𝖗𝖆 𝖓𝖉𝖎𝖟𝖔 𝖟𝖎𝖙𝖆𝖆𝖒𝖚𝖆 𝖐𝖜𝖆𝖓𝖎 𝖐𝖚𝖒𝖕𝖆𝖙𝖆 𝕻𝖆𝖕𝖆 𝖍𝖚𝖜𝖆 𝖓𝖎 𝖒𝖈𝖍𝖆𝖐𝖆𝖙𝖔 𝖒𝖗𝖊𝖋𝖚.
 
Ana miaka mingapi?
 
Hata akitajwa,sisi haituhusu.
Sisi tunasubiri kuona moshi mweupe.

Cardinal Rugambwa siyo senior Cardinal.
He cannot be considered.

Halafu hajatajwa mahala popote.
We unaleta confusion kuhusu mambo haya ambayo ni very serious.
 
PAPA Rugambwa From Kagera Tanzania, East Africa!
 
www.kubwabwaja.co.tz/kamba
 
Kawaid tu mkuu kwa watumiaji wa haya majukwaaSema sipendelii sana maana unapoteza muda tu
SimbaSC NguvuMoja #UbayaUbwela
Ushaanza ujinga wako wewe Kibwengu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…