Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magufuli anasemaje kuhusu wanyarwanda ambao wanaonekana ni wengi kuzidi hata wakenya?hajakatazwa mkenya kuongea Tanzania ila kufanya kazi ama Biashara bila vibali huu ni Ukoseshaji wa mapato kwa Taifa. Waache wa endelee kujishaua na Magu hawamjui wanafikiria maandamano yatamsimamisha?
Wamepanguliwa pia kinoma ila kuna issues hazipaswi kuingilia Mchakato wa SGR kwa sasa. Lazma kuwa strategicMagufuli anasemaje kuhusu wanyarwanda ambao wanaonekana ni wengi kuzidi hata wakenya?
Hebu soma tena hiyo makala mkuu @Chasha. You missed the point sir.Nawashangaa sana Watanzania wenzangu tunawaogopa Wakenya na kuwaona ni adui wa maendeleo na kuwaacha Wahindi na Makaburu ambao kwanza wao wako mote advanced na hatuwezi shindana nao na hakuna siku tutaweza shindana na Makaburu kwenye biashara.
Wakenya hatutofautiani sana na sio threat hata kidogo, Wazungu wanakuja wanakama Aridhi ya kutosha lakini tuko kimya,sasa akipewa mkenya utasikia watu hata wakiandamana.
Waafrica tunabaguana wenyewe kwa wenyewe.
Sijawahi sikia Wamerakani wakiwafukuza Wakanada au Wajerumani wakiwavurumisha Wafaransa.
Sasa njoo Africa. Haya ndo yale yale yanafanyika South
wewe pia unapenda kujipendekeza kwa watanzania sana ,sasa huungi mkono kitendo cha wakenya sasa watanzania walifanya vizuri tushangilie? ama hakuna watanzania hapa Kenya bila sitakabadi? washawahi fukuzwa?
hakuna mkenya ako interested na kuoa mtanzania labda wewe!! an enemy to any Kenyan is my enemy na hatutabembelezana na hawa takataka ,mavi ya kuku shenzi sana
![]()
Protesters on Monday blocked the Kenya-Tanzania border road at Namanga and paralysed transport between the two countries.
The Kenyan protesters were demonstrating against President John Maghufuli’s alleged repatriation of their counterparts living in Tanzania. They stormed all the business premises owned by Tanzanians, rounded them up and frog-marched them across the border.
In the process, many Tanzanian businesspeople lost their stock and cash, while barmaids were roughed up and their mobile phones taken away.
Kajiado county commissioner Harsama Kello, who two weeks ago said the situation was under control, said police were headed to the border to manage the protests
Several Kenyans, including those who were born in Tanzania before Independence, have been forced to leave the country if they cannot prove their identity.
Two weeks ago, the Star reported that Tanzanian authorities are targeting Kenyans living in their country without valid documents.
Several people, who were born by their Kenyan parents while living in Tanzania in the early 1960s and who have no link with their parents’ country of origin, have been forced to leave since they can’t prove their Tanzanian nationality.
One of them, Samuel Ngeselai, was forced to flee from Longido district in Tanzania and moved to Kenya, leaving his children and wife of 30 years across the border. Ngeselai is now stateless. He says his grandfather, a Mau Mau activist who escaped to Tanzania in the early 1950s, died in that country.
His mother is bedridden and still living in Tanzania. Kello said the protests started on the border after Tanzanian authorities arrested three Kenyans last Friday and arraigned them in court for being in the country without valid documents.
source
Kwa nn kila anachofanya Magu lazima kiwe adhabu kwa Mtanzania wa kawaida ultimately wakati yeye anahubiri kuwa kimbilio lao?.. Vita dhidi ya wafanya biashara(Sukari Nk ) , uhamiaji,... Siku akishauriwa kufanya wht if analysis etc tutasonga mbele kidogoHata kama ulizaliwa Tanzania, kuna u taratibuuu wa kuwa Mtanzania zaidi ya bogus journalism
Mmezoea vya kunyonga. ..Kwa nn kila anachofanya Magu lazima kiwe adhabu kwa Mtanzania wa kawaida ultimately wakati yeye anahubiri kuwa kimbilio lao?.. Vita dhidi ya wafanya biashara(Sukari Nk ) , uhamiaji,... Siku akishauriwa kufanya wht if analysis etc tutasonga mbele kidogo
girlfriend wako nimkenya kwenu hakuna wasichana warembo? au hawaijui kazi?Mbona unatutukana hivyo ndugu? Hakuna watu wazuri, wapole na wapenda amani kama sisi Watanzania, Tanzania ni mpango wa Mungu, isitoshe girlfriend wangu anatoka Kenya, kila siku nipo huko lkn nina vibali vyote vya kuingia Kenya, na naondoka kabla muda haujaisha!
girlfriend wako nimkenya kwenu hakuna wasichana warembo? au hawaijui kazi?
Mshaurini kwa nia nzuri tu, sijui kwa nn na ww unalipwa kwa kodi ya mkulima kama mm. Punguzeni u court jester aka kulamba miguu. Kwa nn kila kitu kina backfire kama kweli watu mnamsaidia?Mmezoea vya kunyonga. ..
natafta masichana mtanzania sijui kama una dada ama cousin hapo unaweza kuunganisha...shida tu language barrier...Wapo, ila imetokea tu tukakutana, ndiyo maisha yalivyo hivyo!
Kama hawana vibali warudi kwao na hii iwe kwa raia wote wageni cos sisi tukienda kwao hawatuonei huruma wengine wa Tz wamipigwa na kulalalwa kinguvu msumbiji na south africa na wengine walioenda kusoma india wamepigwa na sisi ni vyema msako kwa raia wote wa kigeni warudi kwao kama hawana vibalihajakatazwa mkenya kuongea Tanzania ila kufanya kazi ama Biashara bila vibali huu ni Ukoseshaji wa mapato kwa Taifa. Waache wa endelee kujishaua na Magu hawamjui wanafikiria maandamano yatamsimamisha?
Ipo no mans land ni internationalHvi ile sheria inayoruhusu watu wanaoishi mpakani kuishi popote within 10km bado ipo?
Kenyan sugar mummy causes problems for popular Tanzanian singergirlfriend wako nimkenya kwenu hakuna wasichana warembo? au hawaijui kazi?
Wamepanguliwa lini? mbona hakuna taarifa! aache chuki na wakenya.Wamepanguliwa pia kinoma ila kuna issues hazipaswi kuingilia Mchakato wa SGR kwa sasa. Lazma kuwa strategic