Protesters block roads at Namanga over repatriation

Protesters block roads at Namanga over repatriation

Kenya inakitu gani ambacho tanzania hakipo na duniani kote hakuna nchi iliyojitosheleza
 
hajakatazwa mkenya kuongea Tanzania ila kufanya kazi ama Biashara bila vibali huu ni Ukoseshaji wa mapato kwa Taifa. Waache wa endelee kujishaua na Magu hawamjui wanafikiria maandamano yatamsimamisha?
Magufuli anasemaje kuhusu wanyarwanda ambao wanaonekana ni wengi kuzidi hata wakenya?
 
Nawashangaa sana Watanzania wenzangu tunawaogopa Wakenya na kuwaona ni adui wa maendeleo na kuwaacha Wahindi na Makaburu ambao kwanza wao wako mote advanced na hatuwezi shindana nao na hakuna siku tutaweza shindana na Makaburu kwenye biashara.
Wakenya hatutofautiani sana na sio threat hata kidogo, Wazungu wanakuja wanakama Aridhi ya kutosha lakini tuko kimya,sasa akipewa mkenya utasikia watu hata wakiandamana.

Waafrica tunabaguana wenyewe kwa wenyewe.

Sijawahi sikia Wamerakani wakiwafukuza Wakanada au Wajerumani wakiwavurumisha Wafaransa.

Sasa njoo Africa. Haya ndo yale yale yanafanyika South
Hebu soma tena hiyo makala mkuu @Chasha. You missed the point sir.
 
wewe pia unapenda kujipendekeza kwa watanzania sana ,sasa huungi mkono kitendo cha wakenya sasa watanzania walifanya vizuri tushangilie? ama hakuna watanzania hapa Kenya bila sitakabadi? washawahi fukuzwa?
hakuna mkenya ako interested na kuoa mtanzania labda wewe!! an enemy to any Kenyan is my enemy na hatutabembelezana na hawa takataka ,mavi ya kuku shenzi sana


Mbona unatutukana hivyo ndugu? Hakuna watu wazuri, wapole na wapenda amani kama sisi Watanzania, Tanzania ni mpango wa Mungu, isitoshe girlfriend wangu anatoka Kenya, kila siku nipo huko lkn nina vibali vyote vya kuingia Kenya, na naondoka kabla muda haujaisha!
 
1532649.jpg

Protesters on Monday blocked the Kenya-Tanzania border road at Namanga and paralysed transport between the two countries.

The Kenyan protesters were demonstrating against President John Maghufuli’s alleged repatriation of their counterparts living in Tanzania. They stormed all the business premises owned by Tanzanians, rounded them up and frog-marched them across the border.

In the process, many Tanzanian businesspeople lost their stock and cash, while barmaids were roughed up and their mobile phones taken away.

Kajiado county commissioner Harsama Kello, who two weeks ago said the situation was under control, said police were headed to the border to manage the protests

Several Kenyans, including those who were born in Tanzania before Independence, have been forced to leave the country if they cannot prove their identity.


Two weeks ago, the Star reported that Tanzanian authorities are targeting Kenyans living in their country without valid documents.

Several people, who were born by their Kenyan parents while living in Tanzania in the early 1960s and who have no link with their parents’ country of origin, have been forced to leave since they can’t prove their Tanzanian nationality.

One of them, Samuel Ngeselai, was forced to flee from Longido district in Tanzania and moved to Kenya, leaving his children and wife of 30 years across the border. Ngeselai is now stateless. He says his grandfather, a Mau Mau activist who escaped to Tanzania in the early 1950s, died in that country.

His mother is bedridden and still living in Tanzania. Kello said the protests started on the border after Tanzanian authorities arrested three Kenyans last Friday and arraigned them in court for being in the country without valid documents.
source

Uganda invaded Kenya and occupied a Kenyan Island and NO UGANDAN HAS EVER BEEN FROG MARCHED TO UGANDA..It looks like We Kenyans fear Uganda and not Tanzania..
 
Hata kama ulizaliwa Tanzania, kuna u taratibuuu wa kuwa Mtanzania zaidi ya bogus journalism
Kwa nn kila anachofanya Magu lazima kiwe adhabu kwa Mtanzania wa kawaida ultimately wakati yeye anahubiri kuwa kimbilio lao?.. Vita dhidi ya wafanya biashara(Sukari Nk ) , uhamiaji,... Siku akishauriwa kufanya wht if analysis etc tutasonga mbele kidogo
 
Kwa nn kila anachofanya Magu lazima kiwe adhabu kwa Mtanzania wa kawaida ultimately wakati yeye anahubiri kuwa kimbilio lao?.. Vita dhidi ya wafanya biashara(Sukari Nk ) , uhamiaji,... Siku akishauriwa kufanya wht if analysis etc tutasonga mbele kidogo
Mmezoea vya kunyonga. ..
 
Tumefika papaya,sina hakika kama wazee walidai uhuru ili tufanyiane haya tunayofanyiana, nawaasa viongozi wa Tz mkibanwa ndani msitafute adui nje ili mpate kuungwa mkono ndani au muwasahaulishe wa Tz matatizo yenu ya ndani, kwa kuwa kuna madhara makubwa kugombana na ndugu yako
 
Mbona unatutukana hivyo ndugu? Hakuna watu wazuri, wapole na wapenda amani kama sisi Watanzania, Tanzania ni mpango wa Mungu, isitoshe girlfriend wangu anatoka Kenya, kila siku nipo huko lkn nina vibali vyote vya kuingia Kenya, na naondoka kabla muda haujaisha!
girlfriend wako nimkenya kwenu hakuna wasichana warembo? au hawaijui kazi?
 
Mmezoea vya kunyonga. ..
Mshaurini kwa nia nzuri tu, sijui kwa nn na ww unalipwa kwa kodi ya mkulima kama mm. Punguzeni u court jester aka kulamba miguu. Kwa nn kila kitu kina backfire kama kweli watu mnamsaidia?
 
Good job JPM hawa watu hawajawahi kutupenda ni vyema warudi kwao na kila mtu abaki kwake
 
hajakatazwa mkenya kuongea Tanzania ila kufanya kazi ama Biashara bila vibali huu ni Ukoseshaji wa mapato kwa Taifa. Waache wa endelee kujishaua na Magu hawamjui wanafikiria maandamano yatamsimamisha?
Kama hawana vibali warudi kwao na hii iwe kwa raia wote wageni cos sisi tukienda kwao hawatuonei huruma wengine wa Tz wamipigwa na kulalalwa kinguvu msumbiji na south africa na wengine walioenda kusoma india wamepigwa na sisi ni vyema msako kwa raia wote wa kigeni warudi kwao kama hawana vibali
 
Mbona povu linawatoka sana wakenya?, sisi tz hatuna shida na Kenya tunachohitaji kila raia wa kigeni afuate taratibu stahiki za ukaaji na biashara sio waishi kinyemela ndio maana watz waliofukuzwa Msumbiji serikali ilisema warudi kiroho safi maana tuliambia hawakuwa na vibali halali sasa iweje wakenya waishi illegal nchini?

Pia tz ni moja ya soko kubwa la bidhaa za Kenya hivyo ugomvi wowote dhidi ya mataifa haya mawili Kenya ndio itaathirika zaidi kiuchumi kuliko tz cause tz inapakana na mataifa mengi ambayo yako stable kisiasa hivyo rahisi kufanya biashara tofauti na Kenya maana wana somalia, south Sudan ambayo tifu haziishi.
 
Back
Top Bottom