Prove Me Wrong: Kwamba 85% ya wadada wanaopatikana humu JF ni Wabaya Wa Sura adi Maumbo

We ni ccm hakika..... Si kwa povu hili
 
_UTAJUAJE KAMA DEMU WAKO NI MBAYA???_

*NI PALE UTAKAPOMTAMBULISHA KWA WAZAZI WAKO.*

*KISHA UNASIKIA WANAKWAMBIA......*
*KIKUBWA NI UPENDO TU BABA.*

*KUPENDANA NDO KITU CHA MUHIMU*[emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
HII THREAD YAKO HAITAPATA WACHANGIAJI WENGI MAANA IMEKAA KICHOKOZI ZAIDI MKUU.

JIANDAE KUPIGWA MAWE INBOX.
 
duh..! inamaana hata yule naniliu naye atakuwa sio mzuri kweli.? siamini.!
mboni kwenye avatar yake anaonekana mtamu hivyo?
labda kweli, ngoja hiyo kesho nikamwone live maana kuna mtu kanielekeza kazini kwao na jina analotumia.
 
_UTAJUAJE KAMA DEMU WAKO NI MBAYA???_

*NI PALE UTAKAPOMTAMBULISHA KWA WAZAZI WAKO.*

*KISHA UNASIKIA WANAKWAMBIA......*
*KIKUBWA NI UPENDO TU BABA.*

*KUPENDANA NDO KITU CHA MUHIMU*[emoji23]
Jf hatar tupu!
 
Yani umepiga mmoja alafu unahitimisha kwamba wote wako hvyo c ndio!!???
Tutake radhi wengine hatuna sura ngumu kama futari ya magimbi
Sasa wew kama hauna sura mbovu tatizo lako nini sasa maana hatujasema 100% au we umeelewajee??
 
duh..! inamaana hata yule naniliu naye atakuwa sio mzuri kweli.? siamini.!
mboni kwenye avatar yake anaonekana mtamu hivyo?
labda kweli, ngoja hiyo kesho nikamwone live maana kuna mtu kanielekeza kazini kwao na jina analotumia.
Wote ni wale wale tu ,kwani anafanyia wap kazi kama mikocheni imekula kwako maana ......[emoji114]
 
Mwenye picha ya demu yeyeto MBAYA wa umu Jf atusaidie kuattach kwenye hii tread please

Mdemu Wabaya Wenye Malingo Yenu umu JF Samahanini Lakin Jamani
 
UMEPIGA MULE MULE YANI. NI MAJANGA TUPU.
 
_UTAJUAJE KAMA DEMU WAKO NI MBAYA???_

*NI PALE UTAKAPOMTAMBULISHA KWA WAZAZI WAKO.*

*KISHA UNASIKIA WANAKWAMBIA......*
*KIKUBWA NI UPENDO TU BABA.*

*KUPENDANA NDO KITU CHA MUHIMU*[emoji23]
Loooh!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…