Stella Njimbwi
JF-Expert Member
- Aug 5, 2016
- 882
- 575
Eti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We ni ccm hakika..... Si kwa povu hiliwe nae una matatizo makubwa sana ya kisaikolojia, kwa akili yako unajua ccm ni concrete matter unayoweza kuipima kwa vizio fulani,
ndugu, ccm, chadema, nccr mageuzi, act wazalendo, n.k ni imani zilizojijenga chini ya falsafa za kisiasa, ccm haiwezi ikawa na watu wake kwa misingi ya vinasaba, watu ni walewale, imani tofauti..
Don't hate too much others who differ with you in terms of political philosophies!! take it normal
Nimecheka kwa sauti[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyo atakuwa ni FAIZA FOXY tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]_UTAJUAJE KAMA DEMU WAKO NI MBAYA???_
*NI PALE UTAKAPOMTAMBULISHA KWA WAZAZI WAKO.*
*KISHA UNASIKIA WANAKWAMBIA......*
*KIKUBWA NI UPENDO TU BABA.*
*KUPENDANA NDO KITU CHA MUHIMU*[emoji23]
Loooh!!!Nilishawai kupiga binti wa humu ndani,kiukweli sio mzuri ila kwakuwa niliyavulia maji nguo ilinibidi kuyaoga,naunga mkonyo hoja.
Loooh!!!Mimi huwa sina kazi na sura nzuri wala urembo, kama chura ipo inatosha!
HII THREAD YAKO HAITAPATA WACHANGIAJI WENGI MAANA IMEKAA KICHOKOZI ZAIDI MKUU.Hahaha hahah Nimekua nikianguaga kicheko sana nikiona kuwa **** mchizi umu anajitia ujaja akijiongeza kwa watoto wa kike ambao kimsingi huwa sanalinga sana humu kwakuwa tu atuna access ya kuwaona ...
Sasa ndugu zangu mnatakiwa kufahamu kwamba wachina wengi ambao mnawaona umu wakilinga na nyie mkidhini kuwa ni mapini ( wazuri wa kuvutia sura adi shape zao) kuwa Ni wabaya kinoma na pengine ukiwaona unaweza ata ukajichekaa kuwa ni mjinga kwa kuzania kitu ambaeho sio kweli ....
Takwimu zinaonesha 85% ya wasichana ambao wako humu ni WABAYA KICHIZI YANI [emoji12] [emoji15] [emoji15] [emoji16]
JIANGALIE KAMA UNATAFUTA MLEMBO HUMU HAHAH[emoji15] [emoji2]
Sura km halima unaionaje kwa mfano [emoji23] [emoji23]Tena kama wale wa ccm sura kama anakula limao au ndimu
Swissme
duh..! inamaana hata yule naniliu naye atakuwa sio mzuri kweli.? siamini.!Hahaha hahah Nimekua nikianguaga kicheko sana nikiona kuwa **** mchizi umu anajitia ujaja akijiongeza kwa watoto wa kike ambao kimsingi huwa sanalinga sana humu kwakuwa tu atuna access ya kuwaona ...
Sasa ndugu zangu mnatakiwa kufahamu kwamba wachina wengi ambao mnawaona umu wakilinga na nyie mkidhini kuwa ni mapini ( wazuri wa kuvutia sura adi shape zao) kuwa Ni wabaya kinoma na pengine ukiwaona unaweza ata ukajichekaa kuwa ni mjinga kwa kuzania kitu ambaeho sio kweli ....
Takwimu zinaonesha 85% ya wasichana ambao wako humu ni WABAYA KICHIZI YANI [emoji12] [emoji15] [emoji15] [emoji16]
JIANGALIE KAMA UNATAFUTA MLEMBO HUMU HAHAH[emoji15] [emoji2]
Acha kumsanifu jamaa.
Wengi wameshindikana mtaani kwao
Jf hatar tupu!_UTAJUAJE KAMA DEMU WAKO NI MBAYA???_
*NI PALE UTAKAPOMTAMBULISHA KWA WAZAZI WAKO.*
*KISHA UNASIKIA WANAKWAMBIA......*
*KIKUBWA NI UPENDO TU BABA.*
*KUPENDANA NDO KITU CHA MUHIMU*[emoji23]
Sasa wew kama hauna sura mbovu tatizo lako nini sasa maana hatujasema 100% au we umeelewajee??Yani umepiga mmoja alafu unahitimisha kwamba wote wako hvyo c ndio!!???
Tutake radhi wengine hatuna sura ngumu kama futari ya magimbi
Wote ni wale wale tu ,kwani anafanyia wap kazi kama mikocheni imekula kwako maana ......[emoji114]duh..! inamaana hata yule naniliu naye atakuwa sio mzuri kweli.? siamini.!
mboni kwenye avatar yake anaonekana mtamu hivyo?
labda kweli, ngoja hiyo kesho nikamwone live maana kuna mtu kanielekeza kazini kwao na jina analotumia.
Hahah au sioUMEPIGA MULE MULE YANI. NI MAJANGA TUPU.
Loooh!!!_UTAJUAJE KAMA DEMU WAKO NI MBAYA???_
*NI PALE UTAKAPOMTAMBULISHA KWA WAZAZI WAKO.*
*KISHA UNASIKIA WANAKWAMBIA......*
*KIKUBWA NI UPENDO TU BABA.*
*KUPENDANA NDO KITU CHA MUHIMU*[emoji23]