Yaani kati ya miezi iliyokimbia kwa upande wangu mwaka huu ni mwezi wa 9.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahhhh
Pole Sana ndugu yangu, Mimi nimeenda mwezi wa Tisa katikati nikapiga written 2 kwa siku moja na zote nikaingia oral Ila bado Sina uhakika wa kutoboa kwenye mrija wa asali maana oral zote naona Kama nilikandwa vibaya sana [emoji23][emoji23]Yaani kati ya miezi iliyokimbia kwa upande wangu mwaka huu ni mwezi wa 9.
Nilikandwa tarehe 6, sijakaa sawa nikakandwa tarehe 10. Nikapumua kidogo.
Nikarudi tarehe 24 nikapigwa hat-trick[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Niliporudi kijiweni baada ya tarehe 24, nikawa naulizwa hadi naona aibu jinsi nilivyochakazwa.
😂😂😂😂Hahhhhh daaah hawa utumishi wauwaweYaani kati ya miezi iliyokimbia kwa upande wangu mwaka huu ni mwezi wa 9.
Nilikandwa tarehe 6, sijakaa sawa nikakandwa tarehe 10. Nikapumua kidogo.
Nikarudi tarehe 24 nikapigwa hat-trick[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Niliporudi kijiweni baada ya tarehe 24, nikawa naulizwa hadi naona aibu jinsi nilivyochakazwa.
Pole Sana ndugu yangu, Mimi nimeenda mwezi wa Tisa katikati nikapiga written 2 kwa siku moja na zote nikaingia oral Ila bado Sina uhakika wa kutoboa kwenye mrija wa asali maana oral zote naona Kama nilikandwa vibaya sana [emoji23][emoji23]
Uliwezaje kupiga zote siku moja,walipanga muda tofauti??Pole Sana ndugu yangu, Mimi nimeenda mwezi wa Tisa katikati nikapiga written 2 kwa siku moja na zote nikaingia oral Ila bado Sina uhakika wa kutoboa kwenye mrija wa asali maana oral zote naona Kama nilikandwa vibaya sana [emoji23][emoji23]
Mimi huwa namwambie father ukiona sijakupa feedback ujue nimeudhalilisha ukoo tayari😂😂😂😂Yaani kati ya miezi iliyokimbia kwa upande wangu mwaka huu ni mwezi wa 9.
Nilikandwa tarehe 6, sijakaa sawa nikakandwa tarehe 10. Nikapumua kidogo.
Nikarudi tarehe 24 nikapigwa hat-trick[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Niliporudi kijiweni baada ya tarehe 24, nikawa naulizwa hadi naona aibu jinsi nilivyochakazwa.
Moja ilikuwa saa 1 asubuhi nyingine saa 4Uliwezaje kupiga zote siku moja,walipanga muda tofauti??
Za ndani kabisa, Zile INTERVIEW za TRA na LGs&MDs ni mwezi huu wa kumi ila haijulikani ni lini lakini pia inasemekana watatoa majina kikanda yaani interview itafanyika kikanda watatumia Address kupanga kanda utakayoenda kufanya interview.... Utaratibu huo umekamilika na mpaka mwajiri wameshapiga sahihi kukubaliana na utaratibu kwaio kaeni mkao wa kula kwa mliomba zile postDuuuuh ... Yaan huu mwez Hadi Leo tarehe 2 hakuna hata pdf ya Usaili.. hawa viongozi vipi jamani..?
Ilikuwa weekend, tuanze kutega masikio kuanzia keshoDuuuuh ... Yaan huu mwez Hadi Leo tarehe 2 hakuna hata pdf ya Usaili.. hawa viongozi vipi jamani..?
Hizo written hazikupangwa muda mmoja ee?.Pole Sana ndugu yangu, Mimi nimeenda mwezi wa Tisa katikati nikapiga written 2 kwa siku moja na zote nikaingia oral Ila bado Sina uhakika wa kutoboa kwenye mrija wa asali maana oral zote naona Kama nilikandwa vibaya sana [emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahhhhh daaah hawa utumishi wauwawe
Unampanga mapema kabisa[emoji3][emoji3]Mimi huwa namwambie father ukiona sijakupa feedback ujue nimeudhalilisha ukoo tayari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huna nyepesi nyepesi za NAOT pia?Za ndani kabisa, Zile INTERVIEW za TRA na LGs&MDs ni mwezi huu wa kumi ila haijulikani ni lini lakini pia inasemekana watatoa majina kikanda yaani interview itafanyika kikanda watatumia Address kupanga kanda utakayoenda kufanya interview.... Utaratibu huo umekamilika na mpaka mwajiri wameshapiga sahihi kukubaliana na utaratibu kwaio kaeni mkao wa kula kwa mliomba zile post
😂😂😂😂😂Sitaka stress za maswali sijui imekuaje aaah namwambia tu ukiona sijakwambia chochote ujue tayari huko jina la ukoo limedhalilika kwahiyo niendelee na mishe zingine tu za private kumnyenyekea kila anaepita mbele yakoUnampanga mapema kabisa[emoji3][emoji3]
Placement nazo fununu liniZa NAOT cjazipata mkuuu
Zilikuwa za taasisi 1 zote au? Na zilipostiwa siku 1 as job advert?Pole Sana ndugu yangu, Mimi nimeenda mwezi wa Tisa katikati nikapiga written 2 kwa siku moja na zote nikaingia oral Ila bado Sina uhakika wa kutoboa kwenye mrija wa asali maana oral zote naona Kama nilikandwa vibaya sana [emoji23][emoji23]
Na je zote 2 zilikuwa kada 1 au kada tofautiZilikuwa za taasisi 1 zote au? Na zilipostiwa siku 1 as job advert?
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Ngoja tuendelee kuvuta subira aiseeZa NAOT cjazipata mkuuu