Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Yaani kati ya miezi iliyokimbia kwa upande wangu mwaka huu ni mwezi wa 9.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahhhh
Nilikandwa tarehe 6, sijakaa sawa nikakandwa tarehe 10. Nikapumua kidogo.
Nikarudi tarehe 24 nikapigwa hat-trick[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Niliporudi kijiweni baada ya tarehe 24, nikawa naulizwa hadi naona aibu jinsi nilivyochakazwa.