PSRS interview questions (written, pract & oral)

Mimi naona kama kuna practical kwenye kada husika, ni sahihi muifanye kwanza maana hapo mtaonesha uwezo wenu kivitendo.

Kama ngoma imewakali tenge hapo ni vigumu kusonga mbele.
 
Muandaaji wa Prac naye usikute ni tatizo.

Akikosea huko kwenye kuandaa, ninyi huku mtapata tabu sana kuifanya
 
Tangazo na Call lilipitia PSRS website mkuu
 
Maybe watumie busara lakini kwenye Dunia hii ya Karne ya 21 busara hai-work, umenikumbusha post moja iliyotoka ,akaitwa mtu mmoja oral akapata 43% afu akawa unselected,just imagine only one position but still alikuwa unselected,so hata hapo jua tambua kuwa kutokana na nature ya paper na position wanaweza kuwa term kama failures ambao mkipewa kazi au second chance mtaenda kuharibu kazi maybe practical iwe ilikosewa au iwe valid kuwa ilikuwa irrelevant au Kuna makandokando yaliyofanyika, lasivyo litakuwa re-advertised upya au njia mbadala nyingine itatumika.
 

Wafanye wafanyavyo its up to them.

Sisi candidates hatukuwaelewa kabisa na hatujali walichotufanyia tuna mioyo mieupe cause obvious procedures haikuzingatiwa technically

Imagine mnapewa chip/ IC ngeni bila datasheet mtajuaje pinouts kweli? Na maswali yote yalikua chip. Haujui ile chip imetengenezwaje/pinouts... Asa ni mtaalam yupi anaweza kutumia chip asiyo na idea nayo to build a working circuit?

Why all qns iwe ni chip mwanzo mwisho ina maana field ile is made of chip only.? APO MWANDAAJI ALIZINGUA. HATA WASHORTLIST TENA SIDHANI KAMA wATAPATA WA KUISOLVE ILE ISSUE.., unless awe anazijua zile chip.
au waprovide datasheet au wabadili paper. Pure evil nenda kokote duniani a well established exam rules or laws of war haziruhusu to eliminate all ikitokea lazima cause iangaliwe
 
Obviously was not fair,but ndio mfumo no way out but wanaweza kufanya consideration upya na kuwapa second chance.
 
Hapo walizingua vinginevyo nijuavyo kwenye issue za circuit lazima kuwe na ile circuit configuration sheet au watoe pc zenye proteus ili utest system yako kama itatoa majibu au vipi
 
Obviously was not fair,but ndio mfumo no way out but wanaweza kufanya consideration upya na kuwapa second chance.
Wanaudhi sn. Ila yote kheri aliyeshiba always anabeua tu imagine mwenye njaa anavyofeel lakini yeye ata hajari. More than 100k imechomwa hapo not to mention maneuvre tuliyofanya kupata time kwenda kule dom only to find this joke! Ndo maana zipo mtu mingi tu hazi-risk kwenda hata zikiwa shortlisted...
 
Hapo walizingua vinginevyo nijuavyo kwenye issue za circuit lazima kuwe na ile circuit configuration sheet au watoe pc zenye proteus ili utest system yako kama itatoa majibu au vipi
Hapo ndo technical mistake ilipo. No sheet no pc no proteus no nothing only a bunch of ics zaidi ya 5
 
😂😂😂😂
Hapo ndo technical mistake ilipo. No sheet no pc no proteus no nothing only a bunch of ics zaidi ya 5
Hapo huwezi kutoboa hata kwa vipi yani ukute wamekuwekea IC hujawahi hata kuiona unaanzaje sasa😂😂😂😂
 
Unakuta umeomba ruhusa sehemu kwa magumashi mengi lakini Bado wanaleta mapicha picha
 
I know how you feel, was happened to me also very painful unapotezewa muda na bado unachoma nauli not only that pia ukute energy uliyoinvest kusoma vinaenda Bure daaah so sad.
 
Unakuta umeomba ruhusa sehemu kwa magumashi mengi lakini Bado wanaleta mapicha picha
Mi niliomba ruhusa nilipojishikiza nilipretend ugonjwa good thing boss is so understanding.... Na nilichoma zaidi ya kilo mia kuenda kule unakutana na ule utopolo... Atleast angalau angepita hata mmoja wetu hapo ningejipit kwamba sikutosha ila kutukata wote at atuja qualify oral dah nilichokaje
 
Inakatisha tamaa sana
 
Umeelewa mada kweli mkuu?
Mimi nimemuelewa sana jamaa kafanya ku generalize maana mfumo wao wa maswal na technique za kujibu inatakiwa iwe hivi ila wengi wetu hatujui nini unaenda kukutana nacho, I did last year na nilipata 44 the first one got 62 and I was not selected at time.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…