Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Mimi naona kama kuna practical kwenye kada husika, ni sahihi muifanye kwanza maana hapo mtaonesha uwezo wenu kivitendo.Hivi kumbe hii kitu inatokeaga..?
Kama mimi apa tuliitwa interview watu wanne tu tulioenda ni mtu tatu tu. Interview zilikua mbili ya practical then oral, written haikuwepo...
Practical haikua fair kabisa yaani absolute ridiculous ... Tukakandwa wote kwa post ile hakuna aliyetoboa to oral... Dah apo nikaanza kushangaa sana how come wanafanya vile? What will be way forward???
Kama ngoma imewakali tenge hapo ni vigumu kusonga mbele.