Kimkimario
New Member
- Jul 28, 2022
- 2
- 3
Nakubaliana kabisa na wewe Mkuu Pasco, kipindi fulani katika maisha yangu nilitamani sana kujifunza uchawi mwenye tija, nikajikuta nimeangukia kwenye temple moja south Africa iliyokuwa inafundisha Buddhism Yoga meditation na supernatural powers
Yalikuwa ni masomo magumu ya ajabu na yenye kushangaza kwa jinsi yake, kwa ufupi ni kwamba hakuna chenye nguvu duniani kama bongo(mind) ya binadamu, na tunachokitumia katika mind zetu ni theluthi tu ya kile chote kilichopo
Tunafundishwa kuwa kuna 5senses, lakini Zipo 8 ambapo mtu ukiweza kuzifanyia kazi utafanya maajabu mengi , mind ya mwanadamu imejazwa takataka nyingi mno, illusions na dillusions ukiweza kuziondoa kwenye bongo yako ukabaki na pure and stable mind unakuwa mtu mwingine kabisa mwenye maono na nguvu za ajabu mno
Medition ni kitu cha Mwanzo kabisa kuendea kwenye kudevelop supernatural powers, nilifanya meditation zote, chanting, yoga nikiwa vegitarian kwa miaka mitano nikajikuta nabadilika nikaogopa nikaacha , kwakuwa niliona wazimu kuna mafundisho yanapingana waziwazi na imani yangu
Nimeipenda mada yako sana. Nakaribisha maswali na ufafanuzi nimeisoma sana Buddhism, Taiosm, Satanism na Kshna consciousness
Mwenye kupenda hii mambo atafute kitabu kiitwacho Analects: Way and Its Power.
Mkuu Masomo Bal Gera , hizo powers ni possession yaani umepewa ile siku umeumbwa na kuzaliwa, na zitaondoka ile siku unakufa. Haziwezi kupotea ila tuu zinalala!. Unachohitaji kufanya ni kuziamsha tuu!.Asee hi Mada nimeipenda sanaa, naona kama zangu zimepotea hivi, nataka kufanya kama wanavyofanya Hao shaven monks
Muda utategemea uwezo wako wa concentration na mazoezi ili ziamke. Hakuna hoja ya kuzipata as if hazipo, ni hoja ya namna ya kuziamsha ili zikutumikie.Nataka kujua nakutumia Powers zangu zote nlizonazo for goods of mine, itaweza kunichukua mda gani kuzipata zote zifanye kazi vzr? Pascal Mayalla
Sasa naona nimekupata hapa naamini utanisaidia jambo mkuu!Kuna ndoto za kweli ambapo physical body inakuwa imelala, lakini astra inakuwa imeamka na kwenda eneo hilo, hivyo ni kweli hilo eneo uliliona.
Hili ni kumpelekea Rakims mwenyewe ndio mambo zake
P
Nataka kuziamsha mkuu, karibia kila kitu hapo Kuna mengi nimeyaona ninayo mkuu, zaman nlikuwa naambiwa wew uombe basi utuambie kitu flan kimepotelea wapi tukipate na nafanya hivyo afu naoneshwa kwe ndoto, vifo vya watu ninaowajua huwa naoneshwa pia mkuu mpk unaogopa.....Mkuu Masomo Bal Gera , hizo powers ni possession yaani umepewa ile siku umeumbwa na kuzaliwa, na zitaondoka ile siku unakufa. Haziwezi kupotea ila tuu zinalala!. Unachohitaji kufanya ni kuziamsha tuu!.
P
Guidance ninaweza kuzipata wapi mkuu? Niko very interested na haya mamboMuda utategemea uwezo wako wa concentration na mazoezi ili ziamke. Hakuna hoja ya kuzipata as if hazipo, ni hoja ya namna ya kuziamsha ili zikutumikie.
P
Japo huyo mtu umfahamu, hiyo process ya kubadili miili naijua na ipo, niliisoma kwenye kitabu cha Linda Goodman's Star Signs.Sasa naona nimekupata hapa naamini utanisaidia jambo mkuu!
Kuna "mtu" mmoja anaitwa "MUHUNDA" (Jina la CODE) na anasemekana kuwahi kuwa Kiongozi mkubwa wa nchi hii.
"Mtu" huyu tunaambiwa anatumia MIILI tofauti tofauti ili kuendelea kuishi duniani.
Mwili mmoja ukichoka au kuzeeka anahamia kwenye mwili mwingine bila kupitia mchakato wa kifo au reincarnation.
NAOMBA KUKUULIZA, JE, MTU HUYU UNAMFAHAMU? NI NANI?
NA UNA UFAHAMU KUHUSU HUO UWEZO AU HIYO NGUVU YA KUHAMA MIILI?
NAOMBA MSAADA WA MAJIBU MKUU, TAFADHALI.
Hiyo kali. Tatizo la vitabu navyo ni kwamba you can't challenge to get the facts coz hizo challenges haziwezi chapishwa on the same book. Kuna vitabu vingi pia huweka reviews/comments za waliokisoma kitabu husika kwenye kitabu hichohicho na huchapishwa kwa pamoja, najiuliza hii imekaaje??Japo huyo mtu umfahamu, hiyo process ya kubadili miili naijua na ipo, niliisoma kwenye kitabu cha Linda Goodman's Star Signs.
Mtu ukizeeka sana mpaka age mate wako wanakwisha, unaona noma kuendelea kuishi hivyo hapo unauvua huo mwili uliozeeka, hapo unakuwa pronounced dead, halafu una asume body ya mtu mwingine mahali pengine na kuendelea kuishi as that other fellow.
P
Hata Mimi Pananishinda Sana Hiki Kipengele Eti Unakufa Alafu Unaamkia Mwili Mwingine,Sasa Hapa Waafrika Tukifa Tuaamkia Mwili Wa Kiafrika Na Wazungu The Same Sio [emoji28]Hiyo kali. Tatizo la vitabu navyo ni kwamba you can't challenge to get the facts coz hizo challenges haziwezi chapishwa on the same book. Kuna vitabu vingi pia huweka reviews/comments za waliokisoma kitabu husika kwenye kitabu hichohicho na huchapishwa kwa pamoja, najiuliza hii imekaaje??
Kweli tusome vitabu kupata maarifa ila vitabu vingine kwa kweli???!!!
Ni sawa na baadhi ya watu wanavyonukuu misemo ya maprofesa (nadhani Msigwa anaongoza) how can we proo msemo huo ni sahihi ikiwa baadhi ya hao maprof wamefanya vitu vya ajabu kabisa (Kabud...., Kitil...)
Samahani sana. Kwanza nashukuru kwa maelezo mazuri sana, umekuwa muwazi tofauti na wengine ni kama hawataki kusema ukweli.Japo huyo mtu umfahamu, hiyo process ya kubadili miili naijua na ipo, niliisoma kwenye kitabu cha Linda Goodman's Star Signs.
Mtu ukizeeka sana mpaka age mate wako wanakwisha, unaona noma kuendelea kuishi hivyo hapo unauvua huo mwili uliozeeka, hapo unakuwa pronounced dead, halafu una asume body ya mtu mwingine mahali pengine na kuendelea kuishi as that other fellow.
P
Uliza tuu sikuchokiSamahani sana. Kwanza nashukuru kwa maelezo mazuri sana, umekuwa muwazi tofauti na wengine ni kama hawataki kusema ukweli.
Naomba niulize, usinichoke.
Kwanza anapouvua huo mwili wake, ule mwili unakuwa umekufa na unazikwa, kisha yeye anaingia kwenye mwili mwingine wa mtu kijana ambaye na yeye kwao watadhani amekufa na wanazika kumbe wanazika mgomba!.Kwahiyo sasa, akishauvua huo mwili wake, anaenda kwenye mwili mpya UPI?
No anavamia mwili wa mtu hai kwa ama kumfanya kama amekufa na jamaa zake kuzika mgomba, ama mtu anapotea mazima na kuhamia eneo jingine jina jingine maisha mengine na kuendelea kuishi.Anavamia mwili wa mtu aliye hai kama mapepo yanavyomvamia mtu?.
Anajichagulia tuu mtu yoyote na kumuingiaAu anapata wapi huo mwili mpya wa kuuvaa?
Yes hapiti, kwa upande wa after life za Hinduism na Buddhism, mtu huyo huzaliwa upya kwenye mwili wa mtoto mchanga. Kama umefanya dhambi sana unazaliwa mbwa, paka, mbuzi, panya.Kwa sababu ukumbuke hapa mtu huyu hapitii mchakato wa KUZALIWA UPYA KAMA MTOTO?
TAFADHALI.
No anavamia mwili wa mtu hai kwa ama kumfanya kama amekufa na jamaa zake kuzika mgomba, ama mtu anapotea mazima na kuhamia eneo jingine jina jingine maisha mengine na kuendelea kuishi.
Anajichagulia tuu mtu yoyote na kumuingia
P
Anajichagulia tuu mtu yoyote na kumuingia
P