kimyakya mbwele
Senior Member
- Oct 15, 2007
- 144
- 292
Boss naomba nisaidie hicho kitabu PM nami nipate maujuziJapo huyo mtu umfahamu, hiyo process ya kubadili miili naijua na ipo, niliisoma kwenye kitabu cha Linda Goodman's Star Signs.
Mtu ukizeeka sana mpaka age mate wako wanakwisha, unaona noma kuendelea kuishi hivyo hapo unauvua huo mwili uliozeeka, hapo unakuwa pronounced dead, halafu una asume body ya mtu mwingine mahali pengine na kuendelea kuishi as that other fellow.
P
Hiyo ya Kagame sijaisikia, ila wavaa mwili lazima wabadilike from time to time, mfano mzuri ni hapa Tanzania, so far hakuna Mtu mwingine aliemvaa Mwalimu Nyerere. Ila yule Mbunge Regia Mtema kabla ya kuondoa dunia hii, alimtafuta huyu Binti Life After Life: Regia Mtema (RIP) Amerejea Bungeni Kiaina?Mkuu Pascal Mayalla , kwa heshima na taadhima, ukishanijibu maswali yangu hapo juu, naomba nikuulize swali kuhusu Paul Kagame.
Na yeye nilisikia anajihusisha na haya maswala ya kuvaa miili.
TAFADHALI, USINICHOKE.
Ahsante sana sana.Hiyo ya Kagame sijaisikia, ila wavaa mwili lazima wabadilike from time to time, mfano mzuri ni hapa Tanzania, so far hakuna Mtu mwingine aliemvaa Mwalimu Nyerere. Ila yule Mbunge Regia Mtema kabla ya kuondoa dunia hii, alimtafuta huyu Binti Life After Life: Regia Mtema (RIP) Amerejea Bungeni Kiaina?
P
Aise kumbeWanabodi,
Kwa kuanzia naileta tuu kwanza hii hoja hapa, ikipata watu wa kutosha, tutaomba kwa mode, ifunguliwe jukwaa lake, tutalitafutia jina muafaka, "Mambo ya Powers".
"Powers" ndicho kitu kikubwa kabisa duniani kuliko kitu kingine chochote! . God is Power, yaani Mungu ni nguvu, hakuna kitu chochote kinachoonekana kwa macho kumhusu Mungu, bali ni powers zake tuu za mambo Mungu anayoyafanya ndizo zinazoonekana.
Chochote mtu atakachokiona kuhusu Mungu iwe ni kwenye mawazo, kwenye maneno, kwenye matendo, kwenye mahubiri, kwenye ndoto, kwenye unabii, kupitia Roho Mtakatifu au kupitia Malaika wake, it's just the manifestation of God's power kwa sababu God is a spirit of power ambazo zinafanya mambo mazuri, doing good.
Shetani pia ni power ya evil spirits inayofanya maovu, yale maumbo yote ya shetani yanayoelezewa kuonekana mara hivi mara vile pia ni just a manifestation of that evil powers kujionyesha katika umbo lolote, hivyo shetani anaweza kuji manifest katika umbo lolote na kufanya jambo lolote hata jema kama kuponyesha kimuijiza ili kuwaaminisha watu kuwa ni kazi ya Mungu.
Powers ndio kila kitu. Watu wote wenye nguvu ni powers, spiritual powers kwa watu wa imani, political powers kwa wanasiasa, economical powers kwa matajiri, social powers kwa wenye vipaji mbalimbali. Everything thing is about powers na mafanikio yoyote katika kila kitu ni jinsi watu wanavyo master hizi powers.
Kitu chenye nguvu kabisa katika mwili wa binadamu ni power ambayo ni nguvu inayoitwa "Will Powers" ambayo kila binadamu, anazaliwa nayo, ila wengine wanabahatika kwa nguvu hizo kujionyesha bayana, huku wengine wengi wakiwa nazo zikiwa zimejificha bila kujijua kuwa wanazo hizo nguvu.
Wale wahubiri wafanya miujiza ya uponyaji, wote wanatumia nguvu hizi, kufanya hayo wanayoyafanya, ila pia, wanga, wachawi, waganga, watabiri, wavumbuzi, matajiri wa kutisha, watawala wenye nguvu, nao pia hutumia nguvu hizi kupata mafanikio makubwa katika maisha yao.
Matumizi ya neno "Katika Jina la Bwana", "Yesu", "Mungu" au jina lolote utakalotumia, ni kiashiria tuu cha kuufungua mlango wa nguvu hizo, ili ziweze kutenda miujiza, hata wasiotumia majina hayo, au maneno hayo huweza kutenda miujiza! kwa sababu uwepo wa nguvu hizi has nothing to do with religion but has everything to do with being.
Na sio binadamu tuu ndio wenye nguvu hizi bali ni viumbe wote wana hizi special powers kwa kiwango chao na maisha ya viumbe hawa na powers za viumbe wengine ni kubwa kuliko za binadamu, mfano mbwa, paka, panya etc.
Matumizi ya nguvu hizo, yanapotumika kutenda mema, huitwa nguvu za "Mungu", "Yesu", au "Roho Mtakatifu", "Powers of Light", nguvu za Mwanga, na nguvu hizo zinapotumika kutenda maovu kama uchawi, majanga, magonjwa, etc huitwa "Nguvu za Shetani" powers of the darkness, nguvu za giza, evil spirits etc.
Kwa vile nguvu hizi kila mtu anazo, hata hao wanaofanya miujiza ya uponyaji, wanachofanya ni kufungua tuu milango, ili nguvu zilizo ndani yako, ziweze kutenda hiyo miujiza, na ukipona, kilichokuponya sio huyo mponyaji, wala lile jina la Yesu, au jina Mungu, bali ni nguvu zilizo ndani yako!, "the powers from within!".
Hivyo hata usipotumia jina la Mungu au jina la Yesu na ukatumia neno jingine lolote lenye powers vibrations kuzifungulia nguvu hizi zilizo ndani yako, nguvu hizo hufunguka, ndio maana watu wa dini zote hutumia.
Hatua ya kwanza ya kufungua nguvu hizi ni "imani" kuamini kuwa "you have the powers" and that "you can do anything!", or "you can be anybody". Kuamini Mungu, Yesu, Mtume, Allah, Roho Mtakatifu, Bikira Maria, Watakatifu, Wachungaji, Wahubiri, Baba Mtakatifu, Sangoma, Sheriffu, Mlingotini, Chini ya Mti, Chini ya Mbuyu, Mlimani, Pangoni, Kisimani, Mtoni, Ziwani, Kwa Mganga, Vitabu Vitakatifu etc, ni njia rahisi ya kuanzia kufungua milango ya "higher power" to open up your doors for powers from within!" to act on you for you.
"I know I can, be what I wanna be!"
Wale wenzetu wajanja, waliojitambua kuwa wanazo, wengi wanazitumia kutengezea mapesa kwa kisingizio chochote kiwe ni cha wahubiri, waganga, "wazee wa busara", "watenda miujiza", "wafukuza mapepo" kwa kukusanya sadaka na kujitajirisha, ambao mimi naita ni "wizi mtupu", huku waumini wakendelea kukamuliwa na kuachwa katika umasikini uliotopea.
Nguvu hizi zimegawanyika matika makundi mengi tofauti, hivyo nimekuwekea baadhi ya makundi hapa chini, just take your time kuyatambua, ujiangalie na wewe unazo nguvu zipi, ili sasa uzitumie nguvu hizo, to "make things happen".
This is a list of psychic abilities that have been attributed to real-world people. These are also sometimes known as extrasensory perception or a sixth sense. Inclusion in this list does not imply scientific recognition of the existence of an ability. Superhuman abilities from fiction are not included.
Psychic Powers- ni nguvu za kufanya miujiza ambazo wengi wanazo bila kujitambua!, swali ni jee wewe unazo?!,
- Apportation - Materialization, disappearance, or teleportation of an object.
- Aura reading - Perception of the energy fields surrounding people, places, and things.
- Automatic writing - Writing produced without conscious thought.
- Astral projection or mental projection - An out-of-body experience in which an "astral body" becomes separate from the physical body.
- Bilocation or multilocation - Being in multiple places at the same time.
- Clairaudience - receiving messages in thought form from another frequency or realm. It is considered a form of channeling.
- Clairvoyance, second sight - Perception outside the known human senses.
- Death-warning - A vision of a living person prior to his or her death.
- Divination - Gaining insight into a situation via a ritual.
- Dowsing - Ability to locate objects.
- Energy medicine - Healing by channeling a form of energy.
- Faith healing - Diagnosing and curing disease using religious devotion.
- Mediumship or channeling & Communicating with spirits.
- Precognition, premonition and precognitive dreams - Perception of events before they happen.
- Psychic surgery - Removal of diseased body tissue via an incision that heals immediately afterwards.
- Psychokinesis or telekinesis - The ability to manipulate matter by the power of thought.
- Psychometry or psychoscopy - Obtaining information about a person or object.
- Pyrokinesis - Manipulation of fire.
- Remote viewing - Gathering of information at a distance.
- Retrocognition - Perception of past events.
- Scrying - Use of an item to view events at a distance or in the future.
- Telepathy - Transfer of thoughts or emotions.
- Transvection - Bodily levitation or flying.
Take time kujitambua kuwa you have the powers,
Nitakusaidia website za kukuelekeza ufanye nini kuhusu hizo powers ulizo nazo zikuletee mafanikio!.
Watu wote wenye mafanikio, wameisha jitambua, ila wengi wanafanya siri!.
Hii ni fursa kwa wewe kujitambua, kuzitumia powers ulizo nazo, kubadili maisha yako!,
NB. Hili ni muhimu sana kuzingatia, mzingi mkuu wa mada hii ni kujitambua, self awareness, kwa vile nimesema Mungu ni Nguvu za kutenda mema, God is Powers of Lightness, na Shetani ni nguvu za kutenda maovu, is powers of darkness, the dividing line between hizi powers ni very thin.
Shetani is very clever, ni imposter, ana penda kuji disguise as Mungu, hivyo kuna mambo mengi ikiwemo miujiza ya uponyaji inayofanyika kwenye dunia hii, huku watu wakidhani ni kazi ya Mungu, kumbe sio kazi ya Mungu, ni kazi ya shetani. Hivyo be very careful.
Karibu tujadiliane!.
Paskali
Kwa wanaopenda kujisomea kuongeza maarifa, nimeongeza list ya all the topics kwenye net resources kuhusu kila kitu chini ya jua zikiwemo nguvu za giza na kila aina ya uchawi, ili ujue na kujitenga nao
- World Religions
- Traditions
- Mysteries
- What's New?
- About
- Abuse
- Books
- Bibliography
- Contact
- Credits
- Copyrights
- Donate
- Downloads
- FAQ
- Links
- Map
- Press
- Privacy
- Search
- Top Level
- Terms of Service
- Translate
- Standards
- Unicode
- Volunteer
- Wishlist
- Catalog
- African
- Age of Reason
- Alchemy
- Americana
- Ancient Near East
- Astrology
- Asia
- Atlantis
- Australia
- Basque
- Baha'i
- Bible
- Book of Shadows
- Buddhism
- Celtic
- Christianity
- Classics
- Comparative
- Confucianism
- DNA
- Earth Mysteries
- Egyptian
- England
- Esoteric/Occult
- Evil
- Fortean
- Freemasonry
- Gothic
- Gnosticism
- Grimoires
- Hinduism
- I Ching
- Islam
- Icelandic
- Jainism
- Journals
- Judaism
- Legends/Sagas
- Legendary Creatures
- LGBT
- Miscellaneous
- Mormonism
- Mysticism
- Native American
- Necronomicon
- New Thought
- Neopaganism/Wicca
- Nostradamus
- Oahspe
- Pacific
- Paleolithic
- Parapsychology
- Philosophy
- Piri Re'is Map
- Prophecy
- Roma
- Sacred Books of the East
- Sacred Sexuality
- Shakespeare
- Shamanism
- Shinto
- Symbolism
- Sikhism
- Sub Rosa
- Swedenborg
- Tantra
- Taoism
- Tarot
- Thelema
- Theosophy
- Time
- Tolkien
- UFOs
- Utopia
- Women
- Wisdom of the East
- Zoroastrianism
Mkuu Mimi macho yangu naweza nikawa natembea barabarani alafu MAGARI nayaona MADOGO yaan nina uwezo wa kuzoom in & out yaan gari kubwa naona km kigari kidogo tu au kuna wakati nikiitumia simu naona km ipo kwenye uso wangu yaan maandishi nayaona hapa hata shule darasani nilikua nakaa nyuma kabisa maana nikikaa mbele nilikua nashindwa kuona vizuri, hii imekaaje mkuu ni power au ni uwezo wa kuona mbali?Sema Mkuu BICHWA KOMWEE
P
It's powers of observatory powers, binadamu tuna five senses, vision, sound, smell, taste and touch na five sense organs macho, pua, masikio, ulimi na ngozi.Mkuu Mimi macho yangu naweza nikawa natembea barabarani alafu MAGARI nayaona MADOGO yaan nina uwezo wa kuzoom in & out yaan gari kubwa naona km kigari kidogo tu au kuna wakati nikiitumia simu naona km ipo kwenye uso wangu yaan maandishi nayaona hapa hata shule darasani nilikua nakaa nyuma kabisa maana nikikaa mbele nilikua nashindwa kuona vizuri, hii imekaaje mkuu ni power au ni uwezo wa kuona mbali?
Mkuu Pascal Mayalla nilikuuliza haya maswali hapaMhhh, hii mbona ni spiritual corruption ya hali ya juu!!! Very evil!!!!
Asante sana kwa kunipa haya maarifa makubwa!
Kwahiyo, huyo kijana ambaye amekufa kimazingira, roho yake inaenda wapi?
Kwa sababu ndani ya mwili wa yule kijana palikuwa na roho yake.
Sasa inapotokea huyu mvamizi kavamia mwili wa huyu kijana, maana yake panakuwa na roho mbili ndani ya mwili mmoja? yaani roho ya kijana na roho ya mvamizi? (KUMBUKA HUYU KIJANA HAJAFA KIUKWELI UKWELI, BADO YUPO).
NA PIA, Kwa ufahamu wako, umewahi kukutana na scenario ya mwanasiasa wa Tanzania kufanya jambo kama hili? au mtu maarufu?
NA PIA, huyu "mtu" mwenye uwezo wa kuhama miili, anakuwa ni roho ya kawaida ya binadamu, au ni roho ya pepo inayokuwa inapenda kuchukua miili ya binadamu? Au ni kiumbe wa aina gani huyu?
Mkuu Ulipo Heshima Yako,Nimepitia Uzi Wote,Kuna Kitu Nimejifunza!Somo la kwanza kuhusu namna ya kusoma Aura ni picha ya kwanza.
Concentarate kuangalia hizo picha mbili, utaziona kama zinataka kuungana na kuwa picha tatu, ya katikati inakuwa na umbo la msalaba. Kwa pembeni unaona kama mwanga wa blue una glow!, hiyo ndio aura!
Somo la pili. ni picha ya pili.
Concetrate kwenye kuangalia hicho kidoti cheusi hapo katikati kwa muda mrefu. Utaona hizo picha mbili zinatoa mwanga wa light blea green kwa nyuma, huo mwanga ndio aura!.
Ukiweza hii hatua ya kwanza, nakupeleka ya pili!.
Pasco.
Yes every highest state spiritual control is like evil!.Mhhh, hii mbona ni spiritual corruption ya hali ya juu!!! Very evil!!!!
Roho zote hazifi ni eternal, kwenye reincarnation sio kila roho zina reincarnate, roho nyingine zinabaki zikitanga tanga kwenye ulimwengu wa roho, as wondering spirits or ghosts.Asante sana kwa kunipa haya maarifa makubwa!
Kwahiyo, huyo kijana ambaye amekufa kimazingira, roho yake inaenda wapi?
Miili ni makasha tuu!, roho ndio kila kitu!, roho ikiisha toka mwili is nothing ndio maana dini zote zinazoamini kwenye after life na reincarnation, mtu akifa tuu ni cremation!.Kwa sababu ndani ya mwili wa yule kijana palikuwa na roho yake.
No kabla hajauvamia huo mwili wa kijana, hatua ya kwanza ni kumtoa roho, ili achukue mwili.Sasa inapotokea huyu mvamizi kavamia mwili wa huyu kijana, maana yake panakuwa na roho mbili ndani ya mwili mmoja?
Kufa ni roho kuacha mwili!, hivyo hatua ya kwanza ni kumtoa kijana roho hivyo kwenu anakuwa kama amekufa mwili, mnaweza hadi kuzika, kisha usiku jamaa anafuata mwili wake, na kwenda kuishi mbali.yaani roho ya kijana na roho ya mvamizi? (KUMBUKA HUYU KIJANA HAJAFA KIUKWELI UKWELI, BADO YUPO).
No!. Ila nikiwa jeshini JKT Makotupora 1988 kuna jank fulani wa Mirambo nimemsahau jina, alisema amepata reincarnation ya Bruce Lee!. Alikuwa anapiga pushups 100 za kidole gumba!. Anapasua tofali la zege kwa karate!. Baada ya JKT aikwenda UDSM, nikasikia akiwa 2nd year alipata mental case, akapigwa DISCO, then he died mysteriously!.NA PIA, Kwa ufahamu wako, umewahi kukutana na scenario ya mwanasiasa wa Tanzania kufanya jambo kama hili? au mtu maarufu?
Hizo ni highest states of spiritualism. You can control death!.NA PIA, huyu "mtu" mwenye uwezo wa kuhama miili, anakuwa ni roho ya kawaida ya binadamu, au ni roho ya pepo inayokuwa inapenda kuchukua miili ya binadamu? Au ni kiumbe wa aina gani huyu?
Ahsante sana. Duuh.Yes every highest state spiritual control is like evil!.
Roho zote hazifi ni eternal, kwenye reincarnation sio kila roho zina reincarnate, roho nyingine zinabaki zikitanga tanga kwenye ulimwengu wa roho, as wondering spirits or ghosts.
Miili ni makasha tuu!, roho ndio kila kitu!, roho ikiisha toka mwili is nothing ndio maana dini zote zinazoamini kwenye after life na reincarnation, mtu akifa tuu ni cremation!.
No kabla hajauvamia huo mwili wa kijana, hatua ya kwanza ni kumtoa roho, ili achukue mwili.
Kufa ni roho kuacha mwili!, hivyo hatua ya kwanza ni kumtoa kijana roho hivyo kwenu anakuwa kama amekufa mwili, mnaweza hadi kuzika, kisha usiku jamaa anafuata mwili wake, na kwenda kuishi mbali.
Ikitokea huko alipo kuna mtu anamjua, akirudi kuripoti amemuona, mkipata kibali kufukua kaburi mtakuta jeneza tupu!.
No!. Ila nikiwa jeshini JKT Makotupora 1988 kuna jank fulani wa Mirambo nimemsahau jina, alisema amepata reincarnation ya Bruce Lee!. Alikuwa anapiga pushups 100 za kidole gumba!. Anapasua tofali la zege kwa karate!. Baada ya JKT aikwenda UDSM, nikasikia akiwa 2nd year alipata mental case, akapigwa DISCO, then he died mysteriously!.
Hizo ni highest states of spiritualism. You can control death!.
P
Kwenye ulimwengu wa mwili, the physical world, every human being is an animal by nature, hence the law of the jungle applies, kama simba anavyomtafuna swala bila huruma, ndivyo masimba kwenye spiritual wanavyo vitafuna viswala bila huruma!.Ahsante sana. Duuh.
Nina maswali mengi sana, lakini naomba unijibu hili la mwisho kwa leo.
1. Umesema mchakato wa kwanza wa huyu mvamizi ni kutoa roho ya kijana.
The law of the jungle applies, hao wavamizi hutafuta watu weak ndio huwatoa roho, ukiwa strong in whatever the belief, hawakuwezi!, sometimes kuna mapambo spiritual battles ndio ile mtu anaumwa hadi mnajua atakufa akipambana au mkimpambania nguvu za giza zinashindwa anapona!.2. Hii roho ya "kijana" ikishatolewa kwa nguvu, inakuwa haina hamu ya kurudi tena ndani ya mwili? inakuwa haina ari ya ku-claim mwili wake au kuwa na nguvu fulani ya kupambana na mvamizi?
Mapambano yapo kama nilivyoeleza hapo juu ukiwa weak unaondoka!. Hata kwenye uchawi, only the weak in spirit ndio wanalogeka, ukiwa strong hulogeki!.SWALI LANGU HAPA LA MSINGI: Kwenye hii body takeover ya kivamizi, kunakuwa hakuna mashindano fulani ya kiroho au mapigano baina ya hizi roho mbili ya mvamizi na ya kijana?
Bila samahani.SAMAHANI.
Very interesting. Ahsante sana.Kwenye ulimwengu wa mwili, the physical world, every human being is an animal by nature, hence the law of the jungle applies, kama simba anavyomtafuna swala bila huruma, ndivyo masimba kwenye spiritual wanavyo vitafuna viswala bila huruma!.
Kwenye reincarnation, roho ya binadamu akifa anaweza kuzaliwa mbwa, paka au hata panya, hivyo hao wenye uwezo huo wa kuchukua miili ya watu, zile roho zao huzigeuza mbwa, paka au panya!.
Dini Kuu mbili za wana wa Ibrahim, Wakristo na Waislamu, don't believe in reincarnation ni ushetani!. Wachawi pia hutumia powers hizi kuchukua watu kichawi huku ndugu mkizika mgomba
The law of the jungle applies, hao wavamizi hutafuta watu weak ndio huwatoa roho, ukiwa strong in whatever the belief, hawakuwezi!, sometimes kuna mapambo spiritual battles ndio ile mtu anaumwa hadi mnajua atakufa akipambana au mkimpambania nguvu za giza zinashindwa anapona!.
Mapambano yapo kama nilivyoeleza hapo juu ukiwa weak unaondoka!. Hata kwenye uchawi, only the weak in spirit ndio wanalogeka, ukiwa strong hulogeki!.
Bila samahani.
p
Bila samahani, unapokutana na mtu Inquisitive kama wewe, kwanza type ya maswali yako yanaonyesha intelligence ya mtu!, hii if ya sasa vilaza wametamalaki sana humu, hivyo unapokutana na an intelligent fellow, you'll be more than happy!, uliza tuu chochote na nijakujibu na sichokagi kujibu!.Very interesting. Ahsante sana.
Sijui nikuulize swali lingine, au umechoka!?
Kama hautajali naomba nikuulize swali lingine tena.
SAMAHANI.
Asante sana, i am very humbled. Majibu yako ni mazuri sana na yananipa maswali mengi.Bila samahani, unapokutana na mtu Inquisitive kama wewe, kwanza type ya maswali yako yanaonyesha intelligence ya mtu!, hii if ya sasa vilaza wametamalaki sana humu, hivyo unapokutana na an intelligent fellow, you'll be more than happy!, uliza tuu chochote na nijakujibu na sichokagi kujibu!.
P
Mimi nimejaribu sana kujifunza meditation, lakini kutokana na kusongwa na mawazo mengi ya kidunia, huwa siwezi kuconcentrate. Yaani nikianza tu mawazo yanakuja mengi mchanganyiko, hata dakika moja siwezi kutuliza akili. Naomba msaada je nifanyeje ili niweze ku concentrate? Natamani sana kuamsha my psychic powers maana najua ninazoBila samahani, unapokutana na mtu Inquisitive kama wewe, kwanza type ya maswali yako yanaonyesha intelligence ya mtu!, hii if ya sasa vilaza wametamalaki sana humu, hivyo unapokutana na an intelligent fellow, you'll be more than happy!, uliza tuu chochote na nijakujibu na sichokagi kujibu!.
P
Ni kweli kila mtu anazo. Waalimu wa kutosha tuu tunao humu, TAHAJUDI (Meditation): Mbinu, faida, aina na mambo ya kuzingatia huyu Mkuu Mtambuzi ndie ticha mkuu.Mimi nimejaribu sana kujifunza meditation, lakini kutokana na kusongwa na mawazo mengi ya kidunia, huwa siwezi kuconcentrate. Yaani nikianza tu mawazo yanakuja mengi mchanganyiko, hata dakika moja siwezi kutuliza akili. Naomba msaada je nifanyeje ili niweze ku concentrate? Natamani sana kuamsha my psychic powers maana najua ninazo