Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

Duh .. Afadhali waalimu wameongezeka. Maana hapo mwanzo tulikuwa na mwalimu mmoja tu, utadhani shule ya msingi Janja Janja ..!!! :whoo:









 

third eye ni chapter ya 2 katika meditation je nikitaka kusoma chapter zote nisome wapi? au kitabu nitakipata wapi?
 
do it at your own risk!
This kind of suggetion have nothing to do rather than distructive! Its against the rule of subconscious mind because it creates anxiety!

third eye ni chapter ya 2 katika meditation je nikitaka kusoma chapter zote nisome wapi? au kitabu nitakipata wapi?

Mkuu ingia ktk thread hii na ujipakulie kitabu cha Josephy Murphy 'The power of your subconscious mind'
https://www.jamiiforums.com/habari-...tabu-vilivyowahi-kubadilisha-maisha-yako.html
Ni kizuri sana!
 

Dunia Ya Leo Si Kila Unaemwambia Maendeleo Yako Anakutakia Heri... Fanya Yako Ukifanikiwa Simulia Mafanikio Usisimulie Chanzo... Watu Wengi Hupenda Kuona Watu Wapo Chini Yao.. Usimwambie Mtu Mipango Yako Waambie Mafanikio Yako.. Kikubwa Imani Usiamini Kuwa Ukimwambia Mtu Hufanikiwi Kweli Hufanikiwi.. "Be What You Want To Be And Believe That" ukiamua Kitu Usisite Hiyo Hali Haihusiani Na Power Inahusiana Na Your Own Wicknesses.. Karibu Mkuu!
 
mkuu unapofungua jicho la 3 maana yake unasafiri kiroho na kuacha mwili je ule mwili uliouacha unakuwa na hali gani?

Sio Tu Kuuacha Mwili Inategemea Wewe Unafungua Third Eye Kufanya Nini.. Licha Ya Kuacha Mwili Unaweza Kujigawa Hapo Unapofanya Meditation Hata Sehemu Zaidi Ya Tatu Kwa Muda Mmoja Kihisia Ukajua Kila Linaloendelea "Bilocation Or Multilocation"... Na Sio Kila Anaefungua Third Eye Anatoka Nje Ya Mwili Kuna Jinsi Ya Kufanya Ili Utoke Ndani Ya Mwili kiroho na Kwa Muda Gani... Na Unatoka Ili Iweje?? Kumbuka "Before You Start Doin' Anything You Have To Know Its End"
 
third eye ni chapter ya 2 katika meditation je nikitaka kusoma chapter zote nisome wapi? au kitabu nitakipata wapi?

Summary Ni Bora Kuliko Notes Soma Hapa Nimesummarize

1. Root Chakra- Represents our foundation and feeling of being grounded.
*.Location:Base of spine in tailbone area.
*.Emotional issues:Survival issues such as financial independence, money, and food.
*.More on Root Chakra healing
2. Sacral Chakra- Our connection and ability to accept others and new experiences.
*.Location:Lower abdomen, about 2 inches below the navel and 2 inches in.
*.Emotional issues:Sense of abundance, well-being, pleasure, sexuality.
*.More on Sacral Chakra healing
3. Solar Plexus Chakra- Our ability to be confident and in-control of our lives.
*.Location:Upper abdomen in the stomach area.
*.Emotional issues:Self-worth, self-confidence, self-esteem.
*.More on Solar Plexus Chakra healing
4. Heart Chakra- Our ability to love.
*.Location:Center of chest just above heart.
*.Emotional issues:Love, joy, inner peace.
*.More on Heart Chakra healing
5. Throat Chakra- Our ability to communicate.
*.Location:Throat.
*.Emotional issues:Communication, self-expression of feelings, the truth.
*.More on Throat Chakra healing
6. Third Eye Chakra- Our ability to focus on and see the big picture.
*.Location:Forehead between the eyes. (Also called the Brow Chakra)
*.Emotional issues:Intuition, imagination, wisdom, ability to think and make decisions.
*.More on Third Eye Chakra healing
7. Crown Chakra- The highest Chakra represents our ability to be fully connected spiritually.
*.Location:The very top of the head.
*.Emotional issues:Inner and outer beauty, our connection to spirituality, pure bliss... I hope I Helped U As I could

Rakims
 

umesema kuna namna ya kufanya kutoka ndani ya mwili kiroho na kwa muda gani sitaki kujua roho inachoenda kufanya nataka kujua ule mwili ulioachwa unakuwa na hali gani? na je watu wengine wanaweza kuuona au unafichwa? na vip roho ikichelewa kurudi nini kitatokea?
 

thanks
 
Mambo ya nyota hayapingani na Uwezo wa Mwenyeezi Mungu. Nyota ni katika mambo aliyopanga Mwenyeezi Mungu ili binadamu asiyajuwe Nyota ni Siri zake Mwenyeezi Mungu.
Angalizo, kwa waumini wa imani ya Kikristo, kutegemea mambo ya nyota ni kumtegemea shetani!, sii kweli k8uwa hayo ni mambo ya Mungu, haya ni mambo ya shetani, na sii kweli nyota ni siri za Mungu, ni siri za shetani!.

Lengo la kutoa angalizo hili, kufuatia watu wakileta mafundisho ya kishetani humu kwa kusingizia ni mafundisho ya Mungu, hivyo wale watakaomua kuyafuata wajije wazi, wanamfuata shetani!.

Pasco.
 

mwili Unabaki Pale Pale Ulipo Na Unakuwa Unajua Huwezi Kuchelewa Kurudi Kwa Sababu Utaona Ubongo Wa Mbele Yani Kwenye Paji La Uso Paanza Kuchemka Hapo Utajua Ni Muda Wa Kurudi Na Ukirudi Unagonga Kidole Chako Kuashiria Umefika Ni Kama Unawaza Au Kuota Lakini Ndio Ukweli Huo..
 

Shukurani nami nimefaidi kutokana na mwongozo wako endelea kutoa na hizo mjia nyingine.
 
utazijua zifungue bila gharama za gharama ni za satan..

Kule Mwanzo Pasco Ameeleza Kwamba Waliojitambua Kwamba Wanazo Nguvu Wamezitumia Na Wanaendelea Kutumia Hizo Nguvu Ikiwa Ni Pamoja Na Wale Wenye Mafanikio Makubwa,sasa Mwalimu Mwingine Umeongezeka Unaonaje Ikiwa Utaweka Hapa Utaratibu Mzima Wa Kufuata Katika Kufanya Taamuli Au Meditation Yaani Ile Hatua Kwa Hatua Kwa Aina Zingine Tofauti Na Hii Uliyoelekeza Hapo Juu?Na Ili Kufikia Kilele Ama Utimilifu Wa Hiyo Hali Unapaswa Ufanye Kwa Muda Gani Mfululizo Maana Sdhani Kama Hizo Dk 15 Siku Ya Kwanza Na Ya Pili Au Tatu Mti Anaweza Kupokea Hizo Nguvu,waalimu Hebu Tiririkeni Watu Wanataka Kupata Ujuzi Hapa Bila Gharama Ati.
 
Ahsanteni! Ipo Njia Ya Pili Hii Ni Rahisi Isipokuwa Yataka Uwezo Kuifanya..... Nitatoa Moja Moja Mpaka Zifike Zote Saba

NJIA YA PILI KWA UPANDE WANGU: MEDITATE BY CALM MIND...
Fuata Hatua Zifuatazo Kufanya Meditation Itakayo Fungua Jicho La Tatu & Psychic Power Zako Kwa Muendelezo...

HATUA:
1: Jiande Siku Au Saa Ambayo Baada Ya Hapo Utalala Kupumzisha Mwili...
2: Puliza Au Washa Udi Au Marash Yoyote Unayoyapenda Au Usitumie Chochote Kama Harufu Iliyopo Inakuridhisha

3: Vaa Mavazi Yasiyobana Wala Kukubughudhi Mwili, Na Hata Kama Unapete Cheni Heleni, Saa,mkanda au Chochote Chenye Kubana Kama Umesuka Subiri Siku Ukifumua Hii Husaidia Kuacha Mwili Wako Huru Na Uelewa..

4: Kaa Kwa Mtindo Miguu Wa X, Au Kaa Kwenye Kiti, Au Kaa Mtindo Wa Baadhi Ya Watu Kwa Kuikalia Miguu Juu Yaani Kama Vile Umepiga Magoti Kwa Kukalia.. Chagua Moja Kati Ya Hii Mitindo Utakao Ona Umekaa Hakuna Maumivu Sehemu Yoyote Ya Mwili..

5: hakikisha Mgongo Umenyooka Ili Kuzihesabu Chakra Zote Zimekaa Sawa.. Mgongo Ukiwa Umenyooka Chakra Zote Waweza Kuzihesabu.. Ndio Maana Tunasema Katika Ufunguzi Wa Third Eye Ndipo Unaweza Kucontrol Pia Chakra Zote...

6: Angalia Mbele Kwa Kufocus Vuta Pumzi Ndefu Mara 6 Yani Tatu Nje Tatu Ndani... Hakikisha Unapovuta Ndani Kifua Kinajaa Bila Kubakisha Sehemu na Unapotoa Toa Yote.... inapofika Ya Sita Nje Fumba Macho Taratibu..

7: Anza Kufuta Pumzi Za Kawaida Ila Zenye Kueleweka Na Anza Kuhesabu Kutoka 100,99,98-1... Ukivuta 100, ukitoa 99,vuta98, toa 97... Hakikisha Hauirudii Mara Mbili Namba Ukikosea Hata Kama Bado 4 Umalize Anza Tena 100 usifikirie kingine zaidi ya pumzi na namba...

8: Wakati Umeanza Kuhesabu Iangalie Sehemu Ya Third Eye Chakra, Humo Umefumba Macho Angalia Kwa Kupandisha Macho Yako Eneo La Katikati Ya Nyusi Zako Jitahidi Usikunje Ndita..

9: Pindi Utakapofika 3,2,1 eneo hilo ulioangalia utahisi kama kihali flani hivi wengine huhisi kama kisu kimemchana au wembe hali flani nzuri huwa haielezeki... Hapo utaona kama vile macho yako yamefumbukia kwa ndani...

10: utaona kama video game ya matukio uliowahi kuyafanya inacheza mbele yako usinogewe sana sawa? Iache Icheze Ufunguo Au Remote Yako Ni Hewa Unayoivuta Endelea Kuvuta Huku Ukiangalia Matukio Yako Ya Humo Ndani...

10: hizo ndio takataka zilizokujalia kwenye ubongo.. Zitaanga kupotea Moja Moja Na Utafikia Sehemu Utaona Kama Nyota Zinatoka Chini Zina Panda Juu Hizo Ndio Tunaita Spirits Za Crown Chakra Stage Hiyo Unaweza Kuomba Unachotaka Na Kikaja Kabla Ya Wiki Kuisha.. Ikitoka Hiyo Stage Utaona Zile Nyota Zimeshapanda Zote.. Hakuna Kingine Sasa Hapo Ndio Utaanza Kuhisi Kama Mvua Inapenya Katikati Ya Utosi Na Kusambaa Mwili Mzima.. Unataka Kujua Hicho Ni Nini?? ndiyo Charge Ya Pyschic Power Zako Inaanza Kuingia Ikadirie Isiingie Nyingi Kupita Kiasi Zikaja Kuwa Kero Baada Ya Kutoka Kwenye Meditation... Hakikisha Hii Ni Mara Yako Ya Kwanza Usifanye Zaidi Ya Dk 15-20.. Utakavyozidi Kufanya Siku Zingine Muda Wako Wenyewe Utaanza Kijiongeza Baadae Unaeza Hata Kufanya Saa Zima..
Ukitaka Kutoka Vuta Pumzi Ndefu Kama Ulivyoingia Mara 6 na gonga kidole chako kuashiria unatoka fumbua macho yako taratibu na uanze kuelewa eneo uliopo usikurupuke tulia macho yatambue kwamba umefumbua.. Utajisikia furaha sana, na utajiskia mwili unanguvu na mwepesi zikumbuke ndoto ulizoota siku hiyo zilete hapa tutakusaidia...

ZOEZI LlKIENDA TOFAUTI fanya Haya:
Ukiwa Katikati Ya Meditation ukahisi Eneo Unaloliangalia Linachemka Gonga Kidole utoke Utafanya Muda Mwingine.. Hii huwatokea sana wenye msongo wa mawazo.. Taratibu tutafika... Ukihisi vibration kwenye eneo la third eye usiogope ni system inaanza kufunction... Ukiwaunaangalia matukio yako pale pale ukahisi eneo la third eye linachemka gonga kidole na utoke.... Hvyo unapofikia sehemu ukahisi utajua tu paji la uso linachemka maana utaanza kuhisi jasho pia gonga kidole na utoke... Hivyo Njia Ya Kukwepa Unexpected Things Unagonga Kidole Tu Unatoka... Kumbuka Usiunde Kitu Maana Huo Ni Ubongo Wako Sio Mtu Wala Kiumbe Utakacho Unda utakupeleka Huko huko usiwaze kitu kuwa muelewa maana wengine huanza imagination hapa utakuwa hufanyi meditation... Hakikisha hakuna makelele ulipokaa... Maswali Tafadhali..
 
Asante Sana Kwa Njia Ya Pili Tunaomba Uje Na Njia Nyingine Walau Baada Ya Masaa 36 Hivi Itakuwa Poa

NJIA YA PILI KWA UPANDE WANGU: MEDITATE BY CALM MIND...
Fuata Hatua Zifuatazo Kufanya Meditation Itakayo Fungua Jicho La Tatu & Psychic Power Zako Kwa Muendelezo...

HATUA:
1: Jiande Siku Au Saa Ambayo Baada Ya Hapo Utalala Kupumzisha Mwili...
2: Puliza Au Washa Udi Au Marash Yoyote Unayoyapenda Au Usitumie Chochote Kama Harufu Iliyopo Inakuridhisha

3: Vaa Mavazi Yasiyobana Wala Kukubughudhi Mwili, Na Hata Kama Unapete Cheni Heleni, Saa,mkanda au Chochote Chenye Kubana Kama Umesuka Subiri Siku Ukifumua Hii Husaidia Kuacha Mwili Wako Huru Na Uelewa..

4: Kaa Kwa Mtindo Miguu Wa X, Au Kaa Kwenye Kiti, Au Kaa Mtindo Wa Baadhi Ya Watu Kwa Kuikalia Miguu Juu Yaani Kama Vile Umepiga Magoti Kwa Kukalia.. Chagua Moja Kati Ya Hii Mitindo Utakao Ona Umekaa Hakuna Maumivu Sehemu Yoyote Ya Mwili..

5: hakikisha Mgongo Umenyooka Ili Kuzihesabu Chakra Zote Zimekaa Saw
 
Hii Itasaidia Sana Wale Walio Makini Na Suala Hili Ku practise Hatua Itakayokuwa Muafaka Kwa Muhusika Sababu Naamini Sio Watu Wote Wanaohitaji Kufanya Taamuli Wanaweza Kutumia Aina Moja Ya Taamuli Kwani Njia Moja Inaweza Ikaonekana Ngumu Kwa Mmoja Ikafaa Kwa Mwingine Karibu Tena Kwa Darasa Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…