Sasa Nafanya Darasa La Kweli
Jinsi Ya Kufungua Inner Powers By Third Eye Chakra..
Chapter 1:
Kufungua Au Kutafuta Nguvu Zako Za Ndani...
Naanza Na Sheria Ya Kwanza...
1.1: USILAZIMISHE, USINGANGANIZE, USIJISUKUME
TULIA NA UWE MUELEWA WA MAMBO:
Kuanza:
Kila Aliyewahi Kufungua Hizi Nguvu Kwanza Aliweka Nia Ya Sababu Kufungua Nguvu Hizi..
Unachotakiwa Kufahamu Hizi Ni Nguvu Ambazo Zina Muendelezo Yani Zinaendelea Kukua Na Kukua Zaidi Jinsi Muda Na Umri Wako Unavyozidi Kusogea...
Inafahamika Kuwa Binadamu Hutumia Kiasi Kidogo Sana Cha Nguvu Ya Fikra Walionayo.. Mihemko, Hisia Na Vinginezo Katika Mwili Wake.. Ikiwa Mtu Atatumia Nguvu Hata Robo Ya Nguvu Ya Fikra Alionayo Ndio Tunapata Watu Kama Bill Gates, Apple, Emanuel, Alexander Bell & Ben Carrison Na Wengineo Wengi.. Kwa Hapa Tanzania Nitawapa Mfano Wa Bakhressa,Diamond Phantom,Gachuma, Kakobe, Rwakatale N.k..
Mnaweza Kusema Wengine Washirikina Lakini Jiulize Kwanza Source Yake Ipi?? Na Wengine Hawajijui Lakini Zinafanya Kazi Bila Wao Kufahamu Mf: Diamond Platnumz Ni Telepathy Ila Yaweza Kuwa Anajijua Au Hajitambui Sio Absolutely Lakini Ni Telepathy Kwa Kiasi Fulani.. Nisiingie Sana Huko Maana Maswali Mtakayo Uliza Yataanza Kututoa Kwenye Mada...
Lakini Pia Baada Ya Kufikisha Robo Ya Ukubwa Wa Fikra Walizonazo Watu Wengi Huishia Hapo Kutokana Na Mafanikio Au Matokeo Walioyapata...
Kuna Aina Mbili Ya Powers Sizirudii Pasco Kazungumzia Sana Dark & Light...
Mimi Huwa Naziita Black & White..
Kila Mtu Ana Two Side Black & White.. Before Hujazifungua Powers Zako Unatakiwa Ujue Unazifungua In Which Side.. White Or Black?? Sikushauri Black Maana Inazidiwa Sana Na White Na Pia Ni Darkside... Hivyo Kabla Cjafika Mbali Asiniulize Mtu Jinsi Ya Kufungua Powers By Using DarkSIDE.. Sitajibu...
Lengo La Kuwafundisha Hili Somo Ni Mpate Kuona Ulimwengu Ulivyo Na Jinsi Ya Kuelewa Mbivu Na Mbichi.. Si Hivyo Tu.. Hata Kwa Asietaka Kujua Real World Pia Itampa Faida Zingine Nyingi Kama Kumuepusha Na Magonjwa,Dhiki Na Kuhaha...
Nitawapata Mfano Wahindi.. Kwao Nazi Ni Alama Kubwa Kabisa Ya Third Eye Kwamba Ina Macho Matatu.. Mawili ni Kipofu Kwamba Hayakufanyi Ufikie Maziwa, Wakati La Tatu Linaweza Kutoboka Na Kutoa Au Kuonyesha Ndani.. Hapa Tunachukua Mfano Huo Kwamba Kumbe Third Eye (jicho La Tatu) ni mfano wa geti linalokuongoza kufika kwenye ulimwengu wa ndani... Hivyo Hili Jicho Litakufanya Ujijue Ndani Yako Kuhusu Wewe Na Mengine Mengi Yanayokuzunguka Ndani Yako Na Ubongo Wako.. Kufungua na Kuliendeleza Au Kutumia Jicho La Tatu Kutakufanya Uongeze Na Kutanua Uwezo Wa Ubongo Wako Kufanya Kazi Zaidi Na Utajionea Maajabu Yako Ni Rahisi, Rahisi Haimaanishi Kuna Ni Laini Laini Hapana.. Inataka Mazoezi Wewe Kufikia Leo Utalolihitaji...
Usichanganywe Au Kushangazwa Na Utakayoyaona Kwenye Jicho La Tatu.. Matukio Yako Ya Kila Siku Na Kweli.. Ukweli Wako Ndio Utakao Uona Mambo Yako Mwenyewe Yaliyohifadhiwa Kwenye Ubongo Wako Ndio Utayaona.. Huhitajiki Kuyafanya Yaonekane Utayaacha Yatajionyesha Yenyewe Dhahiri. Kumbuka Kutakuwa Kama Kuna Mapambano Kati Yako Na Ubongo Jambo La Kufanya Ni Kuacha Ukuonyeshe Unayotaka Kuyaona Na Yaondoke Maana Unaweza Kushtuka Kwamba Hili Nilisha Sahau.. Hivyo Silaha Yako Kubwa Ni Kuacha Yaende..
Kama Ni Kweli Haya Mambo Mpaka Mtu Utumie Nguvu Kukariri Na Kuunda Picha Unadhani Nini Kitatokea??
Utakuwa Umeunda Picha Tayari Ambayo Unataka Ikutokee.. Mfano Utajua Hapa Nimefanya Hivi Atatokea Dem Au Handsome Matata Sana Anipige Bonge La Busu.. Ndugu Yangu Ukilazimisha Ubongo Iwe Hivyo Itakuwa.. Na utaona Imetokea Kweli... Unatakiwa Usi Force, Concertrate.. Unatakiwa Uwe Aware.. Usifanye Chochote We Tulia Wacha Mambo Yatokee Yenyewe Na Uende Nayo Sambamba.. Kumbuka Huo Ni Ulimwengu Wa Roho Yako Kila Kitu Kinajionesha Tofauti Na Ulimwengu Wa Mwili Wako Ukitaka Kitu Uelewe Mpaka Ukikazanie... Kudhania Weka Pembeni Na Ukabiliane Na Uelewa..
Kuwa Tu Muelewa Na Kila Kitu Kitajitokeza Chenyewe...
Hii Ndio Mbinu Na Sheria Ya Kwanza Kufungua Jicho La Tatu...
1.2 HAKUNA KUUNDA VIDEO YOYOTE, HAKUNA KUFIKIRIA/KUDHANIA CHOCHOTE WALA KUREKEBISHA TASWIRA..
KUWA MUELEWA TUU..
Kuna Picha Zaweza Kuanza Kutokea Kwa Wanaoanza Kufanya Hii Mambo... Sasa Usiirekebishe Wala Kuibadilisha Iache Hivyo Hivyo Hatakama Ni Maluweluwe Yani Mfano Wa Picha Iliyomo Ndani Ya Maji.. Usiimagine kwamba Huyu Ni Fulani Hapana Iangalie Tu, Mpaka Itakapojireta Yenyewe.. Kama Ni Mwanga,Spiritual Au Chochote Kinakujia Kwenye Picha Acha Vije.. Hiyo Haina Shida.. Lakini Usiziunde Wewe Kwa Akili Yako, Usizifanye Ziseme Au Kucheza Ziache Zijionyeshe Zenyewe...
Moja Ya Sababu Ni: Em Fikiria Mfano Ndo Malaika Kaja Kwenye Hiyo Picha Unamuona, Kweli.. Kama Ulikuwa Unamfikiria Kila Siku Asubuhi Kwa Miezi Kadhaa Iliyopita Utajuaje Kama Ni Malaika Kweli Au Ni Yule Uliekuwa Ukimuunda Kwenye Ubongo Wako Kila Siku...
Tatizo Si Kupata Picha Au Mwanga.. Kama Umeweka Mbinu Katika Mazoezi, Muonekano Utakuja..
Tatizo La Kweli Ni Utawezaje Kujua Kwamba Unachoona Ni Kweli Na Sio Kile Ambacho Wewe Umekuwa Ukikifikiria?
Hivyo La Kufanya Kuwa Muelewa Zaidi Na Usiunde Picha Yoyote Au Video Yoyote Kukutokea.. Hii itakufanya Uvuke Stage Ya Kuona Picha Yenyewe Unayotakiwa Kuiona Kirahisi.. Kwa Hiyo Sheria Ya Pili Nayo Kumbe Tunaona Imeturudisha Kwenye Uelewa Na Sio Kingine..
Imefikia hapa Sheria Ya Pili..
1.3 AMINI UZOEFU WAKO
Kitu kizuri Kukumbuka Ni Kwamba Wakati Huna Chochote unacho amini,.. Haina Haja Ya Kubishana Na Ubongo Wako Vile Hujaunda Taswira Yoyote Usipoteze Muda Kuhofia Kwamba Labda Ni Kweli Unachoona?.. Amini Ulivyozoea Kuamini.. Endelea Kufanya Mazoezi Na Uwezo Wako Wa Kusense Utazidi Kustawi, na kadri itakavyozidi kujirudia itakuwa rahisi na rahisi kuziamini picha au video uzionazo....
Maana Wengine Huona Kama Wanaota Vile..
1.4 USICHAMBUE WAKATI UNAANGALIA HIZO PICHA AU VIDEO:
Usichambue yani kukagua ile unayoona vinginevyo utapoteza tukio unaloona upesi, maana utajikuta kama ulikuwa unahesabu pumzi umeacha na kuzubalia picha hivyo itapotea na utajikuta umerudi kwenye fikra ya kawaida na kuanza upya.. Moja Ya Ufunguo Wa Kuelewa Hutakiwi Kureact Kitu Kikikutokea Ukaanza Kuzubaa Tulia Acha Papala.. Ukimaliza Ndio Unaweza Kuanza Kuangalia Tena Picha Uliokuwa Unaiona Lakini Sio Kuiona Pale, Ni Kama Mbegu Hizo Video Au Picha Unavyozidi Kuzifanyia Utulivu Ndivyo Unavyozidi Kuvuna...
1.5 Ulinzi Wa Kiakili
Watu Wengi Hawajilindi Kiakili.. Kwa Sababu Kuu Mbili.. Kwanza Wanashindwa Kuelewa Na Kuona Wakati Mvuto Hasi Umewazunguka Na Tahadhari Inahitajika.. Pili hawajafundishwa Kufunga Aura Zao vema ili mwili ukae katika hali ya usawa si baridi c joto... Hizi Mbinu Hazikufanyi Tu Uweze Kufungua Jicho La Tatu Lakini Pia Zinakuweka Sana Kufunga Aura Yako...
1.6 Practise, Practise Practise..
Ñimeirudia Mara Tatu Kuonyesha Unatakiwa Uwesilious Kiasi Gani Katika Kupractise Usifanye Utani Wala Mchezo Na Inabidi Angalau Hata Upractise Mara Mbili Kwa Siku For The Best Results...
1.7 Kwa Nini Muda
Unatakiwa Ujitahidi Kufanya Mapema Na Uwe Unajua Kwamba Tomorrow Means Never.. Whatever Can Be Done, Do It Right Now..
Wasted Time Known By God..
Unatakiwa Usipoteze Muda Kwamba Utafanya Kesho Liwezekanalo Leo Lisingoje? Kupoteza Muda Ni Machukizo Hata Kwa Mungu..
1.9 Baki Na Imani Yako..
Wengine Wanapofungua Nguvu Hizi Huona wamekuwa manabii Tayari Hivyo Nakukumbusha Usijejiona Na Wewe Ni Nabii Mpya Ujue Unaakili Mbovu..
Principles Nimezimaliza Zisome Uzielewe Next Time Tutaendelea Na Chapter Too... Muda Wa Futari Sasa Hivi.. Alamsiki
Chapter 2: Maajabu Ya Kolomelo kidaka tonge (larynx) mahusiano yake Na Kufungua Power...
Hapo Mwanzo Kulikuwako Neno.. Na Neno Alikuwa Kwa Mungu. Nae Neno Alikuwa Ni Mungu??
John 1:1
And He Had In His Right Hand Seven Stars: And Out Of His (MOUTH) Went A Sharp Two-Edged Sword.
Revelation 1:16
Nimetolea Mfano Mimi Sio Mkiristo.. Hapo Lilizungumziwa Neno na Mdomo.. Mi Navitumia Hapa Kwenye
CHAPTER 2: MAAJABU YA KOO
Coming Soon......
Rakims