Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

Pasco..! Darasa La Psychic Powers Wanafunzi Watafutie Walimu Wengine Me Nimejitoa
Maana We Talk About The Inner Powers, Na Tumeamua Kuwafundisha Light Inner Powers.. Still Tunaitwa Washirikina Me Cfundishi Tena Watafutie Ticha Mwingine.. I Quit... Ndio Maana Wengine Hawajitokezi Kwa Kuona Kila Ticher Anaambiwa Mshirikina.. Simo Humu Tena.. Acha Na Mi Niende Kwenye Chitchat, mapenzi na Siasa I Think Its All They Know.. Msiniulize lolote kuhusu powers pm.. Ctajibu i quit

Rakims

Pasco Mwalimu Ameamua Kujitoa Bila Kutueleza Nani Amemwita Mshirikina Na Upande Upi Kaitwa Mshirikina,nafikiri Tufike Mahali Tutumie Busara Za Kiutu Uzima Za Kugundua Kwamba Washirikina Wanaofanya Wenzao Mambo Ya Kishenzi Ndio Wanajaribu Kuwakatisha Tamaa Wale Ambao Wamejitolea Kutoa Elimu Hii Kwa Umma Hofu Imewaingia Kuona Watapoteza Wateja Sasa Nyie Mnaojua Haya Mambo Mkiingia Hofu Kwao Ni Ushindi Sasa Tusiruhusu Uovu Uushinde Wema
Cc; Rakims
Cc; Wengine Wote Wenye Ujuzi Wa Elimu Hii
 
Pasco..! Darasa La Psychic Powers Wanafunzi Watafutie Walimu Wengine Me Nimejitoa
Maana We Talk About The Inner Powers, Na Tumeamua Kuwafundisha Light Inner Powers.. Still Tunaitwa Washirikina Me Cfundishi Tena Watafutie Ticha Mwingine.. I Quit... Ndio Maana Wengine Hawajitokezi Kwa Kuona Kila Ticher Anaambiwa Mshirikina.. Simo Humu Tena.. Acha Na Mi Niende Kwenye Chitchat, mapenzi na Siasa I Think Its All They Know.. Msiniulize lolote kuhusu powers pm.. Ctajibu i quit

Rakims
kaka usifanye ivo pls
 
Hii kali...tena ya mwaka... PASCO kajitoa...??? Naamin tumeasirika wengi sana....ila hakuna shaka,yawezekana ndio shetani kajiinua kwa PASCO kupitia kwenye hasira.....Duuuuh nimesikitika sana....!!
 
pasco pasco pasco, ukowap kaka uendeleze uz wako bhana manake rakm ka2acha njia panda
 
Rakims na Pasco,rudini huku;acheni kutuzingua.Nani kakuiteni washirikina? Au maujanja ndo kwishney? Ooh no! no! p'se com'on.Darasa ndo kwanza lilikuwa linanoga.
 
Pasco..! Darasa La Psychic Powers Wanafunzi Watafutie Walimu Wengine Me Nimejitoa
Maana We Talk About The Inner Powers, Na Tumeamua Kuwafundisha Light Inner Powers.. Still Tunaitwa Washirikina Me Cfundishi Tena Watafutie Ticha Mwingine.. I Quit... Ndio Maana Wengine Hawajitokezi Kwa Kuona Kila Ticher Anaambiwa Mshirikina.. Simo Humu Tena.. Acha Na Mi Niende Kwenye Chitchat, mapenzi na Siasa I Think Its All They Know.. Msiniulize lolote kuhusu powers pm.. Ctajibu i quit

Rakims

Mkuu Rakims, nani kakurushia hilo tope? Uki quit hata mimi nitakuita mshirikina maana sijaona popote ulipotukanwa au umejishtukia?
 
Posco rudi bana.Usibebee negative energy toka kwa wapuuzi wachache humu.
 
Meditation By The Help Of Throat Chakra & Hand.... Coming Soon.. Msijali Wakuu I Promise After 17hrs

Rakims

Mkuu karibu. Kuna Chakra 7 ya utosini,ya paji la uso, ya koo,ya moyo, ya solar plexis, ya bandama,na ya chin, katikati ya miguu, inaitwa root chakra. Tupe nondo mkuu
 
Kuna mengi ya kufanya lakini nakupa basics kwanza ukifaulu hii hatua ya kwanza nijulishe

Hapo ulipo tafuta Sehemu kimya na utulivu kwa kwenye kiti au jamvi usikunje mgongo weka mikono mapajani kwa kurelax au lala chali kwa kulerax fumba macho halafu anza kuhesabu pumzi

Ili inhale hesabu moja uki exhale mbili endelea na mchakato huo, utaona utakapoanza tu kuhesabu yatakuja mambo kibao utakumbuka mambo ya jana, mipango ya kesho changamoto zako yaani matukio yatakuja kama mkanda wa sinema

Unachotakiwa kufanya ni kustick kwenye pumzi tu, hayo matukio yanayopita ndio takataka zilizojaa kwenye bongo yako


Pia kuna kitu kinaitwa empty meditation: hii unakaa kwakurelax na kuangalia ukuta tu usifikirie chochote zaidi ya kuuangalia huo ukuta, utajikuta huoni ukuta bali unaona mawazoni yako, chanamoto zako mipango yako madeni yako nk nk nk
aya yote ndio takataka zilizojaa kwenye ubongo, Kwahiyo zinacompress mind na kuifanya ishindwe kufanya kazi sawasawa


Unachotakiwa kufanya uwapo kwenye breathing au empty meditation ni kufocus tu kwenye kile ukifanyacho kwa Wakati huo kila kinachojaribu kuja kwenye mind unakifukuza na kurudi kwenye concentration yako ni kazi ngumu mno kutaka kuistation mind kwenye kitu kimoja kwa Wakati mmoja but with serious practice utaona mabadiliko. ...ukiiweza hatua hii ya kwanza nijulishe tuendelee

Mkuu Mshana Jr, nini FAIDA za MEDITATION? Nimesha develop interest za kufanya hivyo lakini kindly nisaidie kujua FAIDA na pengine MADHARA yake pia. Asante!
 
Pasco..! Tutafutie Sehemu Yetu.. Chap Chap Mzuka Wa Kufundisha Hii Makitu Umeanza Kunipanda... Nataka Nifundishe Chakra Chache Tu Ambazo Ni Powerful Ones..... Kila Mtu Atapata Ahueni Ya Maisha Na Maamuzi Yake.. Tuweke Kando Maisha Ya Kuigiza..

Rakims
 
Pasco..! Tutafutie Sehemu Yetu.. Chap Chap Mzuka Wa Kufundisha Hii Makitu Umeanza Kunipanda... Nataka Nifundishe Chakra Chache Tu Ambazo Ni Powerful Ones..... Kila Mtu Atapata Ahueni Ya Maisha Na Maamuzi Yake.. Tuweke Kando Maisha Ya Kuigiza..

Rakims

Pasco Please Deal With As An Extra Urgent Matter,

Mkuu Rakims Haya Ndio Maamuzi Ya Ushindi Tuliyokuwa Tunayasubiri,karibu Jukwaani Endeleza Somo Kama Zamani,
 
Pasco Please Deal With As An Extra Urgent Matter,

Mkuu Rakims Haya Ndio Maamuzi Ya Ushindi Tuliyokuwa Tunayasubiri,karibu Jukwaani Endeleza Somo Kama Zamani,

when i'm Started Following About This Staffs The First Thing I've Learn Was That "With Great Powers Comes Great Responsibility" naomba Yoyote Atakaefungua Powers Zake Asiumize Wengine.. Sio Kweli Hizo Alizotaja Pasco Hapo Ndio Zote Hapana Kuna Nyingi Hajataja Kaanza Kwa Kutaja Baadhi... Kuna Zingine Ni Untouchable.. Kama Seeng Through Objects Na Confessor na Nyinginezo.... Zinakuwa Hatari Kama Zipo Kwa Watu Wenye Roho Mbaya... Unatakiwa Kwanza Uielewe Hiyo Sentensi Wewe Na Wengineo...
Sio Kweli Mtu Anapower Moja.. Ukianza Kuitumia Zinafunguka Mpya So Unatakiwa Ujikinge Ubongo Wako Kabla Ya Kupokea Powers Kwa Ghafla...

Rakims
 
when i'm Started Following About This Staffs The First Thing I've Learn Was That "With Great Powers Comes Great Responsibility" naomba Yoyote Atakaefungua Powers Zake Asiumize Wengine.. Sio Kweli Hizo Alizotaja Pasco Hapo Ndio Zote Hapana Kuna Nyingi Hajataja Kaanza Kwa Kutaja Baadhi... Kuna Zingine Ni Untouchable.. Kama Seeng Through Objects Na Confessor na Nyinginezo.... Zinakuwa Hatari Kama Zipo Kwa Watu Wenye Roho Mbaya... Unatakiwa Kwanza Uielewe Hiyo Sentensi Wewe Na Wengineo...
Sio Kweli Mtu Anapower Moja.. Ukianza Kuitumia Zinafunguka Mpya So Unatakiwa Ujikinge Ubongo Wako Kabla Ya Kupokea Powers Kwa Ghafla...

Rakims
Hilo hapo angalizo linapaswa kupewa uzito wa kipekee katika haya mambo,isiwe watu wanachangamkia kujifunza haya mambo kumbe wana nia mbaya na wewnzao mtatumaliza, so please naamini ushauri umezingatiwa mwalimu,karibu tuendelee na darsa
 
JF never disppoint me, and never will. Yaani nyanga unazokata hapa Pasco acha kabisa. You have made my day aisee. Ninachokiona hapa, wachungaji wameshagundua hili la powers from within. Wamezi grab na kisha kufungua makanisa. Sasa wanafanya miujiza na kujikusanyia utajiri toka kwa waumini wao.

And I like the way you are explanining these things. Hata layman anaelewa kabisa. Nadhani mojawapo ya nguvu ulizonazo, ni hii ya jinsi ya kuelezea mambo mazito katika lugha rahisi.

Na Kwa Kugundua Kwamba Pasco Na Rakims Wanawatoa Watu Kwenye Nira Za Kuibiwa Sadaka Wanaleta Vitisho Kuzuia Somo Lisiendelee,wanaleta Hoja Dhaifu Za Kidini Na Matusi Ili Waendelee Kutudhulumu Kamkate Kadogo Tunakookota Jamani,hawa Watu Wanaojifanya Wahubiri Wenye Kufungua Watu Na Waganga Bwana
Haya Pasco Na Rakims Tupeni Darasa Hilo Tuendelee Wakuu
 
Last edited by a moderator:
Sasa Nafanya Darasa La Kweli

Jinsi Ya Kufungua Inner Powers By Third Eye Chakra..

Chapter 1:

Kufungua Au Kutafuta Nguvu Zako Za Ndani...
Naanza Na Sheria Ya Kwanza...

1.1: USILAZIMISHE, USINGANGANIZE, USIJISUKUME

TULIA NA UWE MUELEWA WA MAMBO:

Kuanza:
Kila Aliyewahi Kufungua Hizi Nguvu Kwanza Aliweka Nia Ya Sababu Kufungua Nguvu Hizi..
Unachotakiwa Kufahamu Hizi Ni Nguvu Ambazo Zina Muendelezo Yani Zinaendelea Kukua Na Kukua Zaidi Jinsi Muda Na Umri Wako Unavyozidi Kusogea...

Inafahamika Kuwa Binadamu Hutumia Kiasi Kidogo Sana Cha Nguvu Ya Fikra Walionayo.. Mihemko, Hisia Na Vinginezo Katika Mwili Wake.. Ikiwa Mtu Atatumia Nguvu Hata Robo Ya Nguvu Ya Fikra Alionayo Ndio Tunapata Watu Kama Bill Gates, Apple, Emanuel, Alexander Bell & Ben Carrison Na Wengineo Wengi.. Kwa Hapa Tanzania Nitawapa Mfano Wa Bakhressa,Diamond Phantom,Gachuma, Kakobe, Rwakatale N.k..

Mnaweza Kusema Wengine Washirikina Lakini Jiulize Kwanza Source Yake Ipi?? Na Wengine Hawajijui Lakini Zinafanya Kazi Bila Wao Kufahamu Mf: Diamond Platnumz Ni Telepathy Ila Yaweza Kuwa Anajijua Au Hajitambui Sio Absolutely Lakini Ni Telepathy Kwa Kiasi Fulani.. Nisiingie Sana Huko Maana Maswali Mtakayo Uliza Yataanza Kututoa Kwenye Mada...

Lakini Pia Baada Ya Kufikisha Robo Ya Ukubwa Wa Fikra Walizonazo Watu Wengi Huishia Hapo Kutokana Na Mafanikio Au Matokeo Walioyapata...

Kuna Aina Mbili Ya Powers Sizirudii Pasco Kazungumzia Sana Dark & Light...
Mimi Huwa Naziita Black & White..
Kila Mtu Ana Two Side Black & White.. Before Hujazifungua Powers Zako Unatakiwa Ujue Unazifungua In Which Side.. White Or Black?? Sikushauri Black Maana Inazidiwa Sana Na White Na Pia Ni Darkside... Hivyo Kabla Cjafika Mbali Asiniulize Mtu Jinsi Ya Kufungua Powers By Using DarkSIDE.. Sitajibu...

Lengo La Kuwafundisha Hili Somo Ni Mpate Kuona Ulimwengu Ulivyo Na Jinsi Ya Kuelewa Mbivu Na Mbichi.. Si Hivyo Tu.. Hata Kwa Asietaka Kujua Real World Pia Itampa Faida Zingine Nyingi Kama Kumuepusha Na Magonjwa,Dhiki Na Kuhaha...

Nitawapata Mfano Wahindi.. Kwao Nazi Ni Alama Kubwa Kabisa Ya Third Eye Kwamba Ina Macho Matatu.. Mawili ni Kipofu Kwamba Hayakufanyi Ufikie Maziwa, Wakati La Tatu Linaweza Kutoboka Na Kutoa Au Kuonyesha Ndani.. Hapa Tunachukua Mfano Huo Kwamba Kumbe Third Eye (jicho La Tatu) ni mfano wa geti linalokuongoza kufika kwenye ulimwengu wa ndani... Hivyo Hili Jicho Litakufanya Ujijue Ndani Yako Kuhusu Wewe Na Mengine Mengi Yanayokuzunguka Ndani Yako Na Ubongo Wako.. Kufungua na Kuliendeleza Au Kutumia Jicho La Tatu Kutakufanya Uongeze Na Kutanua Uwezo Wa Ubongo Wako Kufanya Kazi Zaidi Na Utajionea Maajabu Yako Ni Rahisi, Rahisi Haimaanishi Kuna Ni Laini Laini Hapana.. Inataka Mazoezi Wewe Kufikia Leo Utalolihitaji...

Usichanganywe Au Kushangazwa Na Utakayoyaona Kwenye Jicho La Tatu.. Matukio Yako Ya Kila Siku Na Kweli.. Ukweli Wako Ndio Utakao Uona Mambo Yako Mwenyewe Yaliyohifadhiwa Kwenye Ubongo Wako Ndio Utayaona.. Huhitajiki Kuyafanya Yaonekane Utayaacha Yatajionyesha Yenyewe Dhahiri. Kumbuka Kutakuwa Kama Kuna Mapambano Kati Yako Na Ubongo Jambo La Kufanya Ni Kuacha Ukuonyeshe Unayotaka Kuyaona Na Yaondoke Maana Unaweza Kushtuka Kwamba Hili Nilisha Sahau.. Hivyo Silaha Yako Kubwa Ni Kuacha Yaende..

Kama Ni Kweli Haya Mambo Mpaka Mtu Utumie Nguvu Kukariri Na Kuunda Picha Unadhani Nini Kitatokea??

Utakuwa Umeunda Picha Tayari Ambayo Unataka Ikutokee.. Mfano Utajua Hapa Nimefanya Hivi Atatokea Dem Au Handsome Matata Sana Anipige Bonge La Busu.. Ndugu Yangu Ukilazimisha Ubongo Iwe Hivyo Itakuwa.. Na utaona Imetokea Kweli... Unatakiwa Usi Force, Concertrate.. Unatakiwa Uwe Aware.. Usifanye Chochote We Tulia Wacha Mambo Yatokee Yenyewe Na Uende Nayo Sambamba.. Kumbuka Huo Ni Ulimwengu Wa Roho Yako Kila Kitu Kinajionesha Tofauti Na Ulimwengu Wa Mwili Wako Ukitaka Kitu Uelewe Mpaka Ukikazanie... Kudhania Weka Pembeni Na Ukabiliane Na Uelewa..
Kuwa Tu Muelewa Na Kila Kitu Kitajitokeza Chenyewe...
Hii Ndio Mbinu Na Sheria Ya Kwanza Kufungua Jicho La Tatu...


1.2 HAKUNA KUUNDA VIDEO YOYOTE, HAKUNA KUFIKIRIA/KUDHANIA CHOCHOTE WALA KUREKEBISHA TASWIRA..
KUWA MUELEWA TUU..

Kuna Picha Zaweza Kuanza Kutokea Kwa Wanaoanza Kufanya Hii Mambo... Sasa Usiirekebishe Wala Kuibadilisha Iache Hivyo Hivyo Hatakama Ni Maluweluwe Yani Mfano Wa Picha Iliyomo Ndani Ya Maji.. Usiimagine kwamba Huyu Ni Fulani Hapana Iangalie Tu, Mpaka Itakapojireta Yenyewe.. Kama Ni Mwanga,Spiritual Au Chochote Kinakujia Kwenye Picha Acha Vije.. Hiyo Haina Shida.. Lakini Usiziunde Wewe Kwa Akili Yako, Usizifanye Ziseme Au Kucheza Ziache Zijionyeshe Zenyewe...
Moja Ya Sababu Ni: Em Fikiria Mfano Ndo Malaika Kaja Kwenye Hiyo Picha Unamuona, Kweli.. Kama Ulikuwa Unamfikiria Kila Siku Asubuhi Kwa Miezi Kadhaa Iliyopita Utajuaje Kama Ni Malaika Kweli Au Ni Yule Uliekuwa Ukimuunda Kwenye Ubongo Wako Kila Siku...
Tatizo Si Kupata Picha Au Mwanga.. Kama Umeweka Mbinu Katika Mazoezi, Muonekano Utakuja..
Tatizo La Kweli Ni Utawezaje Kujua Kwamba Unachoona Ni Kweli Na Sio Kile Ambacho Wewe Umekuwa Ukikifikiria?

Hivyo La Kufanya Kuwa Muelewa Zaidi Na Usiunde Picha Yoyote Au Video Yoyote Kukutokea.. Hii itakufanya Uvuke Stage Ya Kuona Picha Yenyewe Unayotakiwa Kuiona Kirahisi.. Kwa Hiyo Sheria Ya Pili Nayo Kumbe Tunaona Imeturudisha Kwenye Uelewa Na Sio Kingine..
Imefikia hapa Sheria Ya Pili..

1.3 AMINI UZOEFU WAKO

Kitu kizuri Kukumbuka Ni Kwamba Wakati Huna Chochote unacho amini,.. Haina Haja Ya Kubishana Na Ubongo Wako Vile Hujaunda Taswira Yoyote Usipoteze Muda Kuhofia Kwamba Labda Ni Kweli Unachoona?.. Amini Ulivyozoea Kuamini.. Endelea Kufanya Mazoezi Na Uwezo Wako Wa Kusense Utazidi Kustawi, na kadri itakavyozidi kujirudia itakuwa rahisi na rahisi kuziamini picha au video uzionazo....
Maana Wengine Huona Kama Wanaota Vile..

1.4 USICHAMBUE WAKATI UNAANGALIA HIZO PICHA AU VIDEO:

Usichambue yani kukagua ile unayoona vinginevyo utapoteza tukio unaloona upesi, maana utajikuta kama ulikuwa unahesabu pumzi umeacha na kuzubalia picha hivyo itapotea na utajikuta umerudi kwenye fikra ya kawaida na kuanza upya.. Moja Ya Ufunguo Wa Kuelewa Hutakiwi Kureact Kitu Kikikutokea Ukaanza Kuzubaa Tulia Acha Papala.. Ukimaliza Ndio Unaweza Kuanza Kuangalia Tena Picha Uliokuwa Unaiona Lakini Sio Kuiona Pale, Ni Kama Mbegu Hizo Video Au Picha Unavyozidi Kuzifanyia Utulivu Ndivyo Unavyozidi Kuvuna...

1.5 Ulinzi Wa Kiakili
Watu Wengi Hawajilindi Kiakili.. Kwa Sababu Kuu Mbili.. Kwanza Wanashindwa Kuelewa Na Kuona Wakati Mvuto Hasi Umewazunguka Na Tahadhari Inahitajika.. Pili hawajafundishwa Kufunga Aura Zao vema ili mwili ukae katika hali ya usawa si baridi c joto... Hizi Mbinu Hazikufanyi Tu Uweze Kufungua Jicho La Tatu Lakini Pia Zinakuweka Sana Kufunga Aura Yako...

1.6 Practise, Practise Practise..

Ñimeirudia Mara Tatu Kuonyesha Unatakiwa Uwesilious Kiasi Gani Katika Kupractise Usifanye Utani Wala Mchezo Na Inabidi Angalau Hata Upractise Mara Mbili Kwa Siku For The Best Results...

1.7 Kwa Nini Muda

Unatakiwa Ujitahidi Kufanya Mapema Na Uwe Unajua Kwamba Tomorrow Means Never.. Whatever Can Be Done, Do It Right Now..
Wasted Time Known By God..
Unatakiwa Usipoteze Muda Kwamba Utafanya Kesho Liwezekanalo Leo Lisingoje? Kupoteza Muda Ni Machukizo Hata Kwa Mungu..

1.9 Baki Na Imani Yako..

Wengine Wanapofungua Nguvu Hizi Huona wamekuwa manabii Tayari Hivyo Nakukumbusha Usijejiona Na Wewe Ni Nabii Mpya Ujue Unaakili Mbovu..

Principles Nimezimaliza Zisome Uzielewe Next Time Tutaendelea Na Chapter Too... Muda Wa Futari Sasa Hivi.. Alamsiki

Chapter 2: Maajabu Ya Kolomelo kidaka tonge (larynx) mahusiano yake Na Kufungua Power...

Hapo Mwanzo Kulikuwako Neno.. Na Neno Alikuwa Kwa Mungu. Nae Neno Alikuwa Ni Mungu??
John 1:1

And He Had In His Right Hand Seven Stars: And Out Of His (MOUTH) Went A Sharp Two-Edged Sword.
Revelation 1:16

Nimetolea Mfano Mimi Sio Mkiristo.. Hapo Lilizungumziwa Neno na Mdomo.. Mi Navitumia Hapa Kwenye

CHAPTER 2: MAAJABU YA KOO

Coming Soon......

Rakims
 
Oogh!Give Thanks And Praise To The Lord!
Hapa Sasa Ndio Tulipokuwa Tunahitaji Kufika Mkuu Rakims,asante Sana Kwa Darasa Hili Mazingatio Yatawekwa Katika Kila Hatua Na Ninatoa Wito Wale Viherehere Wenye Tabia Ya Kuvuruga Tunaomba Mkae Kimya Sasa Watu Wanataka Kufanya Mambo Hapa Jukwaa Hili Sasa Kama Maswali Ni Kwa Hoja Aliyoileta Mwalimu Na Akaonyesha Kwamba Hiyo Ikihojiwa Haitatutoa Nje Ya Mada Tafadhali.
The Home Of Great Thinkers Ionekane Hapa Sasa .
Thanks Rakims And Welcome Again
 
Back
Top Bottom