Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Nabii ni mtu aliye tumwa na Mwenyeezi Mungu kuja kuwaambia watu neno lake Yesu ni Bwana Yesu au pia ni Nabi Yesu. Kama hujuwi bora uulize upate kujibiwa.kuna tofauti gani kati ya nabii na yesu? Jibu wewe usichafue uzi wa watu, kwa imani yako?
hyo inaitwA mediumship ni power yakutumia spirits wakuonyeshe future na future yenyewe huwa haifikishi hata dk 1 ni some seconds tu hii future yake ni tofauti na precognition mwenyewe...
#rakims
:Meditation:
1: Haibagui Dini
2: Haibagui Rangi
3: Haibagui Kabila
4: Haibagui Hali =Maskini/Tajiri
5: Haibagui Uwezo =Wagonjwa/Wazima
6: Haibagui Ujinzia
7: Haibagui Umri
8: Haibagui Uzuri Au Ubaya
9: Haibagui Aliesoma Au Asiesoma
10: Haibagui Chochote..
Meditation Ni Mfano Wa Soulmate Unachopenda Wewe, Unachotaka Wewe.. Ndio Nayo Inakubali Na Kukupeleka Huko, Ukifanya Meditation Uwe Mchamungu Utaabudu Sana Ukifanya Uwe Mjukuu Wa Iblis Utakuwa Sana....
Everyone Has A Free Will The Choice Is Yours....
Nadhani Nimeeleweka Asitokee Mtu Akajihisi Genius Alete Udini Kuna Jukwaa Limeandikwa Dini/Imani Wakaanze Mjadala Wa Meditation Ni Machukizo Ya Bwana Yesu, Au Ni Makatazo Ya Uislamu Mtawapata Wengi Tu...
By #Rakims

Endelea, mkuu ... Mimi kila nikitulia kufanya meditation, huwa napenda kufanya nikiwa nimefumba macho, so huwa nikitulia sana huwa naona mfano wa mawingu meupe yanakuja usoni mwangu, yaani kama mfano wa mtu ambaye amekaa sehemu yenye moshi mwingi mweupe, ambao huwa unakuja kutoka mbele yangu, kunielekea mimi. Pia sometimes huwa naona kama nyota inayong'aa, inaweza ku-shine mara moja, then inaondoka, nikiendelea ina-shine tena kisha inaondoka. Je, inaashiria nini ? Ninafanya vizuri au nakosea ?
Ni sawa lakini Watu Wa meditation huwa hawana imani na mungu.

Rakims# Naomba ufafanuzi# Jana nimeota nipo ktk shimo la mgodi wa dhahabu na dogo ambaye sikumjua mara tukapata bonge la dhahabu lkn tulipoigonga ndani ilikuwa udongo, nikajikuta nabatizwa na mchungaji wangu ila ubatizo haukuusisha maji ila ni maziwa ya Ng'ombe na nilifanyiwa hivyo kwakuwa nimemaliza mafunzo ya imani ya kikristo
Kwanza Nakupa Hongera Kupata Moja Ya Matokeo Mazuri..
Pili Nakupa Pole Kwa Kukimbia Kile Ubongo Unachotaka Kukuonyesha..
Tatu Maana Yake: Unapoona Mawingu Ujue Third Eye Chakra Inaanza Kufunction, Yale Mawingu Ukiendelea Kufanya Meditation Bila Kuyachunguza, Yataanza Kukuretea Picha Kwa Kujikusanya..
Ukiona Nyota.. Hii Hutokea Kwa Watu Ambao Wana Spirits Pia Ndani Yao Yani Majini.. Lakini Pia Inapotokea Hii Upande Wa Meditation Tunaitwa Spirits Ambazo Zikingaa Kama Nyota Nyota Na Kupanda Juu Basi Hapo Ndio Upo Katika State Ya Kuomba Chochote Na Ukakipata..
Endelea Mkuu Ni Dalili Tu Bado Hujafungua..
#Rakims