Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?


Mkuu Rakims,tunazo ulimwengu mbili, ulimwengu wa mwili, physical world, na ulimwengu wa roho, spiritual word. Kwenye ulimwengu wa mwili, ndiko hapa tulipo, tunapoonana physically na kugusana etc, mwili ukishakufa ndipo unahamia katika ulimwengu wa roho.

Kama ulivyo ulimwengu, miili yetu nayo inazo sehemu mbili kuu, the physical body, ambao ndio mwili huu wa nyama, na the spiritual body ambao ni mwili wa roho, astral body.

God, devil, malaika, majini, wanga, mashetani, ni spirits hivyo they act on spiritual bodies. Lucifer ndie alikuwa malaika mkuu, anaitwa malaika pale tuu anapotenda mema, lakini anapotenda maovu ndio huitwa shetani, majini pia ni hao hao malaika na ndio hao hao mashetani, jini la ulinzi au la mafanikio ndio malaika wema na jini la maangamizi ndio mashetani, the dividing line between malaika na jini ni very thin so does the dividing line between Mungu na shetani, na nguvu za Mwanga na nguvu za giza.

Nguvu za mwanga ni wale wote wanaotumia nguvu za Mungu kutenda mema, sala, maombezi, uponyaji, mafanikio, etc, ila pia shetani nae ana nguvu na ana penda sana kuji disguise kama ndie Mungu, hivyo wapo wanaotumia nguvu za giza kufanya maombezi, uponyaji au kupata mafanikio huku wakilitaja jina la Mungu jut to make believe kuwa ni Mungu, lakini kiukweli ni shetani!.

Utawatambuaje hawa kama ni miujiza ya nguvu za Mungu au ni miujiza ya nguvu za giza au za shetani, utawatambua kwa namna mbili tuu.

1. Matendo yao: Ukiwafuatilia utawakuta wanahubiri Neno la Mungu madhabahuni, tuu, lakini nje ya madhabahu, wanatafuta utajiri, ni wazinzi na waasherati wakiendekeza ngono, utawaona wakivaa mawazi nadhifu ya kuonekanika, wakitembelea magazi ya kifahari, wakimiliki utajiri mkubwa majumba, madhahabu, fedha na vitu vingine vya kuonekanika, huku wakilipia airtime mahubiri yao yaonekane kwenye ma TV huku kistari ya mbele wakiwapanga matajiri etc!. Wahubiri wanaotumia nguvu za giza wako arrogant na huhubiri kwa ku shout!, Wahubiri wa kweli wanaotumia nguvu za mwanga wako humble and down to earth!, huomba kwa kuzungumza na Mungu, very sofltly and humbly!.

2. Mafanikio, miujiza, uponyaji toka kwa Mungu ni unconditional! tunaokolewa kwa neema tuu na sio matendo, ukipona utaambia imani yako ndio imekuponya na credits zote za uponyaji zsiende kwa Mungu, lakini uponyaji, au mafanikio ya nguvu za giza ni conditioner!, utaambiwa ili upone lazima ufanye abcd!, lazima usali kanisa fulani, mhubiri yule hujifanya yeye ndio mwenye hizo nguvu za uponyaji hivyo wewe umtegemee yeye, na sometimes huandamana na material things, maji ya baraka, mara leta nguo,mara jishike hapa ili mradi lazima utawekewa conditions na the bottom line ni sadaka!, makusanyo!.

Mungu alipotuumba ulitupa Umungu hivyo yupo ndani yetu spiritually na kila muujiza wa kweli wa Mungu, comes from within!. Shetani nae ni spiriti ila yuko without, anajitahidi sana akuingie ili Roho wa Mungu akutoke!, Mungu na shetani hawakai pamoja, hivyo ukimpokea shetani, umempoteza Mungu!, kuna wengi wetu wanamtumikia shetani bila kujijua wakiamini kuwa wanamtumikia Mungu!.

Pasco.
 

kaka yangu mpendwa naona escrow inaendelea kukuneemesha,kwenye mada naona unajichanganya kdogo,umesema shetani alikuwa ni malaika mkuu,hapa it meanz ukuu wa umalaika wake ni cheo tu lakini ni malaika kama wenzake,ukaja kusema kuwa dividng line kati ya jini na malaika ni narrow,kwa logic ya kawaida it meanz malaika na shetani hawana tofaut kubwa kiuwezo ukiacha tabia,sasa kwa logic ya hapo juu ni kuwa unataka kusema the line dividng malaika na mungu ni ndogo kitu ambacho nashndwa kukuelewa,tafadhal rudi utoe ufafanuz
 
Yes, nina maana shetani hapo mwanzo alikuwa malaika!, alipoasi, alifukuzwa tuu mbinguni lakini hakunyanganywa powers zake!. Tofauti kati ya shetani na malaika ni majukumu tuu, lakini make up, is the same kila kitu!.

Pasco
 

Kinaitwaje hiko kitabu????
 
Last edited by a moderator:

Japo nafurahia kupata elimu lakini naona tofauti kati ya Pasco na Rakim ni za kiimani,mnaelimisha vizuri lakini kuna chembe za mapokeo ya mafundisho tofauti katika kila imani ya mmoja na mwingine,ndo maana muafaka sijauona bado
 
Japo nafurahia kupata elimu lakini naona tofauti kati ya Pasco na Rakim ni za kiimani,mnaelimisha vizuri lakini kuna chembe za mapokeo ya mafundisho tofauti katika kila imani ya mmoja na mwingine,ndo maana muafaka sijauona bado
Mimi na Rakims tuko sawa in principles, tofauti zetu mmoja ni Mkisto na mwingine ni Muislamu!.
Wakristo na Waislamu ni watoto wa Baba mmoja Nabii Ibrahim.
Pasco
 
Mimi na Rakims tuko sawa in principles, tofauti zetu mmoja ni Mkisto na mwingine ni Muislamu!.
Wakristo na Waislamu ni watoto wa Baba mmoja Nabii Ibrahim.
Pasco

Tukishafikia tu hapo ndipo hua natafakari kwa kina nakosa jibu.mwingine husema muislam hafai na muislamu husema mkristo ni khafiri hafai,binafsi naamini tunaenda kumoja kupitia njia tofauti...ila naamini alichosema pasco katika uzi huu,kiukweli mara kadhaa ukitest kutumia power iliyo ndani yako kama kuomba jambo fulani na ukaamini,mwisho wa siku ulichoomba hujikuta kinajipa bila ww kujua na unastuka ya kua kuna siku uliwahi kulitiisha jambo hilo katika maisha yako.isipokua penye mtihani ni kwenye IMANI..hapa ni kizungu zungu kwa wengi
 
Yes, nina maana shetani hapo mwanzo alikuwa malaika!, alipoasi, alifukuzwa tuu mbinguni lakini hakunyanganywa powers zake!. Tofauti kati ya shetani na malaika ni majukumu tuu, lakini make up, is the same kila kitu!.

Pasco

tafadhali pasco,nataka kujua tofauti kati ya malaika na mungu,usiöne narudia rudia,kuna connectns natafuta,tafadhali rudia swali langu hapo juu
 


Rankim hii umeitoa wapi? Ndio kwanza naisikia kwako!
 
Rankim hii umeitoa wapi? Ndio kwanza naisikia kwako!

Si Kazi Yangu Kushawishi Wala Kubadili Mtu Wala Kuchochea Chochote Bali Natoa Experience Nilionazo Katika SUALA la Powers... Wewe Pia Unahaki Ya Kuongea Kile Ulichoexperience Usiigize Cha Mwenzio Hata Kama Utakuwa Sahihi Hautakuwa ABSOLUTELY Maana Hukufanya Fikra Pevu Hivyo utakapo hitajika kukifikisha sehemu hautakifikisha sawia kwa maana sio chako...

Ushauri Wangu Kwa Mwenye Kutaka Kujua Kweli Basi Lazima Aichimbe ilipo vinginevyo Atabakia Kuona Mambo Mapya Kila Siku Hali Ya Kuwa yapo siku nyingi..

Na Tukiendelea Kuingia Ndani Zaidi Na Pasco Itakuwa Kila Mtu Anavutia Upande Wake Maana NITASEMA Kwa upande Wangu na Yeye ATASEMA kwa Upande Wake Ambapo Baadae Itaondoa Maana Sahihi Ya Psychic POWERS...

Soma Kama Unataka Kujua Kweli Na Usichague Unasoma Nini Soma Ili Uelewe Usisome Ili Ujue...

NB: Kila Kitu Kipo Ubongoni Mwako Kazi Ni Kuvifungua Tu Na Kuvisoma...

"Rakims"
 
Mkuu pasco nilikuwa naidharau sana hii post yako, ila naona kuna kitu nimekipata kwa kutumia haya makitu yako, kabla sijakuuliza maswali zaidi ngoja niipitie thread nzima ili nisije uliza yaliyoishajibiwa, kwani naona kuna vitu bado vyanchanganya!

Halafu mkuu kumbe ulishawahi gongewa na ukagundua, kwa wengine hii ni ngumu kumesa labda na manguvu haya yawe na uwezo na kinicontrol hasira!
 

Kaka Rakim mbona unatumia nguvu nyingi kujidefend? sio kila anayekuuliza swali anataka kukukosoa, haya mambo ya imani ni bora kuelimishana zaidi na zaidi kwani kwa wengine huchukua muda kidogo kuukubali ukeri na wengine ni akina Gedion ambao mpaka immtokee yeye ndo aamini.
 

Mkuu Huenda Hujajua Text Ni Nini Text Hazielezi Hisia Za Mtu Wala Hazionyeshi Mtu Yupo Katika hali gani Labda anacheza au amechukia sijui umenifahamu? ukisoma quotes ya mtu kishari utaona yupo kishari na ukisoma kishwari utaona yupo kishwari think....

kitu kingine imani ni jambo zito sana na hamna alieimasta wewe unaweza kuwa mfia kristo au islam ukasema jambo ukaona upo sahihi lakini wenzio humo humo kwenye dini wakaanza kusema ona pimbi hiyo imeongea pumba...

Relax Dude My Mood State Normal nimeona pasco anasema tupo tofauti kimapokeo kama amelijua hilo ndio nikajitoa hapo....

"Rakims"
 


Aisee hii nimeipenda zaidi
 
Yaani watu wanaingizwa kwenye uchawi kidogo kodogo bila kujijua halafu naona ni mamia ya watu...Tunahitaji neema sana ya YESU KRISTO ikae pamoja na roho zetu.

Teh Teh teh...!
haitamki kauli mtu isipokuwa yule mwenye uzoefu nayo.. (fumbo)

"Rakims"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…