Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?


Na mimi navihitaji vitabu hivyo 0655608067
 
Pasco kwa nini kila nnapofanya meditation kichwa kinauma sana..?
Jawilat, pole, utakuwa ni nervous yaani umepania mno!. Unatakiwa na simple meditation kama pranayana ( breathing ) kwa kulala tuu huku umerelax, unavuta hewa kwa pua na kuitoa kwa mdomo!, usipanie sana ku relax, utakuwa na tention. Hivyo ili uweze ku meditate, kwanza ni lazima uweze kurelax.
Pasco
 

asante nimefanya tena and it works well
 
sasa wanaotibu kwa kuoteshwa dawa nao ndo kundi lipi hapo
Precognition, premonition and precognitive dreams - Perception of events before they happen.
Energy medicine
- Healing by channeling a form of energy.
Psychic surgery - Removal of diseased body tissue via an incision that heals immediately afterwards
Divination - Gaining insight into a situation via a ritual.[SUP][7]
[/SUP]Clairaudience - receiving messages in thought form from another frequency or realm. It is considered a form.

Baadhi ya waganga ni kweli wananguvu hizi, ila wengi zaidi ni wasanii, wameishajua the powers anazo mgojwa, anachofanya ni make belive kuwa kaoteshwa, anachokupa is nothing, wala hakitibu!, kinachotibu ni imani yako!, kama kikombe cha Babu!. Anayeponyesha sio mganga, bali mwili unajitibu na kujiponya kwa nguvu zako mwenyewe, anachofanya yeye ni kukusaidia tuu wewe kufungua milango ya nguvu zako kufanya mambo!.
Pasco.
 
Ni kweli kabisa kama mtu akiweza kutumia mind yake vizuri then that is where the real power lies. But the benefit of mind power will only be realized if we feed our thinking, which eventual feed the subconscious mind the right thinking. Kama watu wa computer wanavyosema Garbage In Garbage Out...hapo ndipo wengi tunapochemka.Self talk which we do has got a lot to contribute... Na kitu kibaya mawazo mengi tunayoyapeleka kwenye sub conscious mind yanakuwa kama ndio true belief hata kama ukweli hauko hivyo. Kufanikiwa au kuwa tofauti lazima tuweze kuwa na strong affirmations supported by visualization of the reality of our goals
 

Imani yao hawa Monks inapingana au inashabihiana vp na imani ya kikristo na/au uislam?
 
Dah we pasco ni noma sana mbona unajaribu kuniamisha kwamba Mungu hayupo bali mimi mwenyewe ndo Mungu! Ooh noo pasco kumbuka mimi ni kiumbe ninayeishi kwa muda tu katika dunia hii na hiyo nguvu iliyomo ndani yangu inakoma mara.Anyway kwakuwa hujaniambia ni nani /nini aliye/kilicho install hiyo nguvu ndani yangu basi hutanitoa kwenye imani yangu kwa sababu imani yangu na msahafu wake ofcoz umeniambia habari za kuwa na uungu ndani yangu, nzuri zaidi imeniambia ni nani aliye install uungu huo ndani yangu na kwa kusudi gani. Ok ndivyo ilivyo kwangu Mungu amenifanya mimi pia mungu!
 
Dah we pasco ni noma sana, mbona unajaribu kuniamisha kwamba Mungu hayupo bali mimi mwenyewe ndo Mungu! Ooh noo pasco! kumbuka mimi ni kiumbe ninayeishi kwa muda tu katika dunia hii na hiyo nguvu iliyomo ndani yangu inakoma mara pumzi ya mwisho inapokata.Anyway kwakuwa hujaniambia ni nani /nini aliye/kilicho install hiyo nguvu ndani yangu, basi hutanitoa kwenye imani yangu kwa sababu imani yangu na msahafu wake ofcoz imeniambia habari za kuwa na uungu(nguvu) ndani yangu, nzuri zaidi imeniambia ni nani aliye install uungu huo ndani yangu na kwa kusudi gani. Ok ndivyo ilivyo kwangu Mungu amenifanya mimi pia mungu!
 
Mkuu mshana jr, kwanza asante sana kwa michango yako kwenye uzi huu, hakika wewe ni mwalimu!, nakufuatilia kwa makini. Kiukweli mimi binafsi bado natatizwa kidogo na the dividing between powers from within zinazofanya mambo mazuri, na powers from within zinazofanya uchawi, wanga, satanisim na evil spirits!.
Pasco
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…