Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
- Thread starter
- #81
Hilo tangazo pia nimelisikia, mmoja wa shiriki ni Aunt Sadaka, huyo ukimsikia ni very powerful woman with full of powers.
Mara yangu ya kwanza kusoma kuhusi hizi PSI Powers ni kitabu cha Arthur C. Clarke's Mysterious World / World of Strange Powers , then nikaja kumsoma [h=3]Uri Geller - "The Power of the Mind vs Science - Uri Geller: Psychic", "Fortune Secrets, na "TheStrange World of Uri Geller".
[/h]Kuhusu Tendo la ndoa na utajiri/umasikini nilimsoma Linda Goodman's Love Signs , uki do na mwanamke mwenye mkosi, utakumbwa na ma balaa, mikosi na umasikini. U do na mwenye bahati, mambo yakunyookea!.
Kipimo cha kujua mwenye balaa, unaona kila dalili za kumkosa zinatokea ila unalazimisha, mara ya kwanza mtapanga siku ikifika anakuja na kukumbia "zimenianza ghafla!", utaahirisha, mkipanga tena mara unajikuta huna pesa za guest au kinatokea kitu, mara ya tatu yuko oke, uko ok, pesa unazo, unazunguka guest/hoteli moja hadi nyingine unakuta vyumba vimejaa!, au unapata chumba, then "co.." hakuna!, ujue hizo zote ni dalili za kukuepusha, ukilazimisha ujue unatafuta majanga!.
Tena usithubutu kutoka bila kuoga ndio makubwa yatakufika, unaweza kupata pancha ya kwanza, hujafika petrol station inapata ya pili, unaweza kupata ajali, au mkosi wowote!, ndio maana timu huweka kambi kabla ya mechi muhimu ili kuzuia wachezaji wasi duu wakaleta mikosi!, japo Ronaldo alikiri huwa ana do kabla ya mecho zote kubwa!.
Tendo la ndoa likitumika vizuri, ni baraka, likitumika vibaya ni balaa!.
Pasco.