Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
- Thread starter
-
- #121
Mkuu Chesco, Mzee wa Matunda, darasa lipo na malipo ni bure, tembelea hapa Mafunzo ya Meditation Bure. Ni Kupitia Brahima ... - JamiiForumsInanihusu sana mada Hii nikisikiasikia mtu Ana darasa last aina kama hili, nami mwanafunzi wake, tushituane tuu wadau. ...........
Mkuu MC RAS PAROKO, hii inatwa De-javu, yaani unakutana na mtu unajiona uliisha wahi kumuona!, au unafika mahali papya kwa mara ya kwanza, unajiona kama uliishawahi kufika hapo!.Mh hapa sasa ndio penyewe nimekua nikifanya kitu nahisi kama kuna siku nilishakifanya lakin tatizo sikumbuki ni wapi na lini kwa mfano naweza kukutana na mtu popote pale iwe njiani au kwenye gari na tukianza kupiga piga stori nakuwa kama napata picha ya hayo tunayozungumzia yalishapita lakini kiuhalisia haijawahi kutokea, hapa nitakua katika kundi gani mkuu Pasco
Mkuu Billio, nimeisha itaja hapo posti iliyotangulia.vipi kuhusu reencanation?
Mkuu Amri kuu ni Upendo, kuna vitu havijaandikwa popote kuhusu source of power za Mungu au za Shetani!.Pasco hebu nifafanulie hapa, kulingana na mada yako; huku kwenye imani/dini yangu kuna wakati tunapambana na hizo nguvu ulizoziita za giza pamoja na wachawi kwa ujumla. Katika mapambano haya siku zote tunazishinda na kuwashinda wachawi kwa kutumia JINA LA YESU na Maandiko ya Biblia Takatifu. Je, kama kweli hizo nguvu hazimo katika jina hili na Biblia yetu, kwanini hao wachawi wasinishinde siku zote endapo nguvu zetu binafsi ndizo zinazopambana? Ufafanuzi pls!
Mkuu Sabayi, hawa monks wamevuka stage ya imani!, they are powers!. Kama hukujua unajua baada ya kukufuka Yesu iliishi wapi?. Alitembeaje?!. Alikulaje?, hayo ndio maisha ya hawa monks!, Yesu alitembea juu ya maji!, hawa jamaa wanatembea juu ya maji!. Yesu alikuwa akiibuka na kupotea, hawa jamaa wanatokea na kupotea!. Yesu alikuwa akitembea kwa kupaa!, hawa jamaa wanatembea kwa kupaa!. Ukristo ni wa juzi tuu! na Uislamu ni wa jana tuu, dini ya hawa jamaa ilikuwepo kitambo sana!.Imani yao hawa Monks inapingana au inashabihiana vp na imani ya kikristo na/au uislam?
mkuu hiki kitabu una softcopy yake au link maana nimeki gugo hamna kitu??? Kama uko nacho naomba tuwekee hapa...brings out the magic in yout mind by al koran
mkuu hiki kitabu una softcopy yake au link maana nimeki gugo hamna kitu??? Kama uko nacho naomba tuwekee hapa...
mkuu hiki kitabu una softcopy yake au link maana nimeki gugo hamna kitu??? Kama uko nacho naomba tuwekee hapa...
Mkuu Utali, usemayo ni kweli, mimi nilifikia stage ya kujiungana Illuminati waitwa Rosecrusins, hawa ndio the most powerful of all, wanaweza kuchange their body vibration at will na kuwa invicible!. Tatizo lao wanataka kwanza lazima ufanyiwe ukubali kula kiapo cha usiri, ndipo ufanyiwe initiations ndipo uwe member!. Hili la kiapo na initiations liliniogopesha!. Freemasons ni cha mtoto!.Mimi huogopa kwa kweli kuingia deep katika haya mambo kwa sababu huwa yanaogopesha sana. Wakati mwingine yanakuwa kama yanakinzana na Imani tulizolelewa nazo.
Big up kwako Pasco na wadau wengine wenye nia na hii elimu ya ufahamu. Mimi naitumia selectively kwa mambo machache.
Huwa nasoma vitabu vya mind & psychology na kugundua mambo mengi sana.
Mkuu Utali, usemayo ni kweli, mimi nilifikia stage ya kujiungana Illuminati waitwa Rosecrusins, hawa ndio the most powerful of all, wanaweza kuchange their body vibration at will na kuwa invicible!. Tatizo lao wanataka kwanza lazima ufanyiwe ukubali kula kiapo cha usiri, ndipo ufanyiwe initiations ndipo uwe member!. Hili la kiapo na initiations liliniogopesha!. Freemasons ni cha mtoto!.
Kiukweli lazima uwe very selective, unatafuta powers zipi kwa sababu za Mungu na za shetani ziko hapo hapo from within!.
Pasco.
Billioness, monks wa Tibet ni habari nyingine!, wanaitwa shaven heads, wanavaa shuka ya orange huku wamenyoa vipara, saa zote wanatembea na tasbihi huku wakifanya mantra!.
Hawa monks kwanza wanatembea peku!, kwenye milima ya ncha kali bila hata scratch miguuni mwao!. Pili wanatembea kwa miguu hadi kilometa 600 kwa siku!, kinachofanyika ni kuonekana kama wanatembea, wakati i actual case wanapaa!, miguu haigusi chini, wanatembea hewani japo wanachapa miguu!. Kula yao pia ni issue!. Wanaweza kupiga 40 days bila chakula, bali ni maji tuu na vijani fulani, wanatumia powers fulani kusimamisha metabolisim na hata ku control heatbeat!.
Hawa monks ni miongoni mwa noble kweli kama aliowazungumza Yesu, hawabebi begi la safari, wala mfuko wa chakula, kila wafanyacho kitajiseti chenyewe mbele kwa mbele, Temple yao iko Kisutu opp. Kisutu Sec.
Pasco.
Mkuu Mpigania Uhuru, tangu nimeanzisha hii mada, wewe ndio wa kwanza mwenye higher powers, wengine tunazo tunazo ila ni za kawaida!. Hapo ulipo wewe tayari ni bilionea ila tuu, hujayatia mkononi mabilioni yako. Yi have some of top powers, hivyo mtafute Uri and off you go!, wewe sio mwenzetu!.Mimi ninazo 2:
- Astral projection: Nimewahi kuhama kutoka ndani ya mwili wangu kama mara 2 hivi, moja ni pale nilipokuwa natembea barabarani halafu nikajaribu kuhama kutoka kwenye mwili, nilipourejea nikaukuta umelala chini kwenye vumbi katikati ya barabara, sikufurahia tendo hilo zaidi ya kuogopa! Pili, ni pale nilipokuwa nimekaa kwenye kiti nikisikiliza mziki laini na kujaribu kuzama kwenye huo mziki na kuuacha mwili wangu ambao baadaye nilijikuta nimelala sakafuni!
- Hii ya pili bado sijaijua jina au haipo kwenye list hapo juu: Nina uwezo wa kuwaona watu walio uchi ambao wenzangu huwa hawawaoni kila ninapojaribu kuwaonesha, wamefikia mahali wanadhani mimi ni mchawi!
Nimeipenda mada hii, nadhani ni ukweli mtupu ingawa inaweza kuonekana kituko kwa wengine!
Mkuu Sixga, sio kweli kuwa nina akili kihivyo, bali hivi vitu nimevisoma tuu!.Asee mkuu pasco una akili nyingi na wewe sii wa kawaida. Hivi hawa Illuminat na free manson wana tofauti gan?
Nliwahi kusoma kitabu cha Dan Brown "the lost symbol" kuna professor flan mule ndan anaitwa Langdon anaonesha kwamba freemanson is just a secret societ ambay fundamentaly wana gud intention na dunia na watu wake. Sema wanahis kuna knowledge ambazo haziwez kuwa revealed, ni kw ajili ya wachache wenye uadilifu na nia njema na dunia.