Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

Mkuu Nyani, nimekuambia kula bullsheet sio lazima mpaka kwenye mchicha tuu!. Nakuhakikishia bullsheet, umekula sana tuu!, ila kwa vile wewe ni nyani, na nyani huo haoni ..., wewe unaona tuu "bullshit" tunaolisha wenginei!, nina uhakika 100% chini ya 100% nyani amekula sana bullshit!, endelea kubisha tuu ili kujifurahisha!.
Uwezo wa kujifurahisha nao pia ni powers, zinaitwa affimatives, kwa kujiplease "this is bullshit!", hao ndio wenye "bullshit", "mimi nyani sijala bullshit" kwa sababu inapatikana kwenye mchicha tuu, na mimi sili mchicha, hivyo huwa sili"bullshit!". This is not bullshit!, its Big Bull, Bullshit!.
Pasco.

Sorry mkuu hii mada nmeona niifufue kwan natamani sana nikuulize maswali kwan kuna mambo kuhusu maisha yangu nataman tushirikiane
 
Sema tu sipendi kuzingatia ila naweza ongea na baba na mama yangu ambao walishatangulia na wakati mwingine wananipa maelekezo ambayo mara nyingine siyafanyii kazi.

Naweza kujuwa mahali nilipo like job panatokea msiba au hata ukaguzi n.k.

Naweza ona mtu ninayemjuwa kafa na kweli anakufa

Sipendi kuvizingatia.
 
Kuna watu wana hizi powers mkuu ila zimekua mfu kutokana na wao kutozitambua na kuzitumia

Je, mtu anawezaje kuactivate hizi powers ndani yake na kuzitumia? Naomba ukipita hapa unijibu kwa namna rahisi mkuu, nami nitakuelewa haraka sana!
 
Sema tu sipendi kuzingatia ila naweza ongea na baba na mama yangu ambao walishatangulia na wakati mwingine wananipa maelekezo ambayo mara nyingine siyafanyii kazi.

Naweza kujuwa mahali nilipo like job panatokea msiba au hata ukaguzi n.k.

Naweza ona mtu ninayemjuwa kafa na kweli anakufa

Sipendi kuvizingatia.
Mamndenyi, kwanza hongera kwa kujitambua, na pili nakuunga mkono, hivi vitu sio vya kuvizingatia sana, ila pia sio vya kupuuzia!.

Kitu wengi wasichokijua, everybody has these powers, na hayo matumizi uliyoeleza, they are channels of power, ukiweza kuzicontroll na kuzidirect kukufanyia mambo mengine makubwa zaidi, unaweza, hizo unazotumia ni channel moja tuu ya communication, information is power, ukiwa na uwezo wa ku access information, then you can access vital info, and use it for your advantage!. Kuna Myahudi, Uri Geller yeye ni psychic, alianza kwa metal bending's kwenye sherehe mbali mbali, sasa hivi ni multi billionaire, anazitumia powers zake kufanyia dowsing, ya madini, Mafuta, etc kwa kupewa shares, makampuni ya madini na Mafuta, wana save a lot kwenye exploration kwa kumtumia huyu, anaelekeza exactly where to drill!.

P.
 
unaweza nipa majina ya vitabu ambavyo vinaweza kuni guide kutambua power zangu

P.
 
Mamndenyi, kwanza hongera kwa kujitambua, na pili nakuunga mkono, hivi vitu sio vya kuvizingatia sana, ila pia sio vya kupuuzia!.

Kitu wengi wasichokijua, everybody has these powers, na hayo matumizi uliyoeleza, they are channels of power, ukiweza kuzicontroll na kuzidirect kukufanyia mambo mengine makubwa zaidi, unaweza, hizo unazotumia ni channel moja tuu ya communication, information is power, ukiwa na uwezo wa ku access information, then you can access vital info, and use it for your advantage!.

P.

Kuongea na wafu umempa
Hongera.!

Nadhani toka Dunia ilipoanza
Mpaka leo hii, idadi ya wafu
Hata Mimi na wewe hatuifahamu.!

Na sidhani kama wote wanapenda wapendwa wao
Wateseke.(kama wapo lakini)

Pia sijafahamu vile unavyopendelea kuzungumzia
izo NguVu kwa kutamausha
Kiasi kwamba Mtu anaona ni
Za kipekee mno

Kwamba anaweza kuzitumia
Ili kumletea MAFANIKIO.(ni hatari.!)

Binadamu wanapenda Sana
Mitelemko.[emoji20]Ni Shaka langu
lakini labda sijakuelewa
 
P.
Nataka nisome haya mambo
 
Enyi wadanganyika kama kuna mtu anajihisi ana hizo nguvu za ajabu kama mnavyosimuliana hata kama ni bibi yako huko kijijini mtafutie hela mpeleke USA akashiriki The One Million Dollar Paranormal Challenge linalodhaminiwa na James Randi Educational Foundation (JREF) otherwise mnafanya porojo za kwenye ghahawa tu!!..
NOTE:
shindano limeanza toka 1964 lakini hakuna mshindi hata mmoja, yawezekana mnakaa kupiga porojo kumbe hizo shirki mnaweza zitumia kupiga hela!(Tafakari Millioni Moja ya USA ukiileta kibongo)
 
Daaa wakuu hio mada Si kuiona mda ila kwangu huwa Kuna mda may be napiga story na mtu katika ya maongezi Naona kabisa hio sehemu nimewahi kuwepo na hizi habari nimewahi kuziongelea siku ya nyuma huwa nakumbuka kabisa

Mfano nilikua nakaa na kaka Yangu ila tukatifautiana ikabidi niondoke kwake ila Si kuondoka kwa amani nikaenda kupanga sehemu ila sehemu sikuwahi kufika kabisa lakin siku moja nikawa na rafiki Yangu tunaongea katkat ya maongezi nikaona kabisa hio sehemu nimewahi kufika na hili swala limewahi kunitokea na nikamwambia yule jamaa kwamba aisee hapa tumewahi kuja najiona kabisa nimewahi kuja yule jamaa akaniambia cha wenge ww hebu achana na hizo habari

Sasa basi hili ni tatizo au Niko mwenye kundi gani mana ni hali inayonitokea Mara kwa Mara na haijaanza Leo ingawa saizi ndio huwa najiona wazi wazi zamani nilikua napotezea

Je Kuna shida au Kuna tatizo au nifanyeje ili kuwa vizuri katika Haya mambo
 
Wataka kuwa mchawi?
 
Back
Top Bottom