Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
- Thread starter
- #141
Mbeky, hili la Steve Jobs na Buddhaism silijui, ila powers hazina dini!. Ya india nitayawekea thread yake infuture ili nikiwa Dheli nilikuwa napost threads humu jf, sema sizikumbuki.Au kaka ndio maana Steve Jobs yule founder Apple Inc. Kabla ya uzinduzi wa Apple comptures alienda India kwanza kujifunza Buddahism na inasemekana Jobs hakuwa anapenda kuvaa viatu kama Monks. Je kwa elimu uliyoipata wewe uko South hizi dots nazojaribu kuziunganisha hapa zinaweza kuwa ndio mafanikio ya Steve Jobs na Apple kwa ujumla.
Kitu kingine kama ombi binafsi ebu endelea kutupa experince ya uliyojifunza India..na sehemu zote ulizawai pita vitu vipi vya kustajabisha na kufurahisha ulivyowai viona.
Na nimeshawai ona CNN hawa Monks wa Tibet wakijichoma moto hadhalani kama njia ya kudai uhuru wao kutoka China..hii inakuaje?
Kitu kingine mi ni mpenzi wa busara za Dalali Lama huyu kiongozi wa Tibet vipi nae anauwezo ka hao Monks wengine au ye kajikita kwenye politics tu
Kiukweli sijawahi sikia miujiza yoyote ya Dalai Lama, ila hawa monks wa Tibet wana fly na kujigeuza invisible tatizo, hawasemi, wala hawaonyeshi!. Kinachofanya wanafly, wana uwezo wa kustop gravitational force kwenye miili yao hivyo wana float hewani!, ukiwaona utawaona kama wanatembea maana wanachapa miguu ukidhani wanakanyaka ardhi, kumbe wanakanyaka upepo, huko kutembea ni ili tuu watu wasijue kuwa they fly!.
Pasco.