Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

Kuamini uwepo wa Mungu si maarifa, kama ulivyosema "kuamini". Ni kuamini tu. Basi. Ukiweza kutenganisha imani na maarifa/knowledge hatuna ubishi. Mwanzisha mada amesema "psychic powers, positive thinking, etc " zinafanya kazi. Nilichosema ni kuwa mambo hayo yanaweza kuaminiwa tu, kama Mungu anavyoaminiwa. Hayathibitiki kisayansi, hivyo si maarifa hasa kama mwanzisha mada anavyotaka tuelewe.

Sijui sikumuelewa vizuri mleta mada..hivi kuna sehemu mleta maada kasema hizo powers can be provided scientifically...??
 
Hope Pasco baada ya kuweka vifungu hivi hawa watu hawatarudi tena na arguments zao zisizokua na mbele wala nyuma wakitaka justifications kwa vitu ambavyo ni obvious.
Mi nawashaangaa sana hawa walokole wa humu JF wanajifanya wanamjua Yesu sana as if wana copyright ya hilo jina...hivi nani aliwambia Yesu anayetajwa hapa ndio huyo huyo mnayemwamini nyie...
swala la interpretation ya Bible ni la mtu binafsi na Roho yake hakuna general rule ya kuconstrue Bible...
Msitake kulazimisha mnayoyajua nyie kwny Biblia baasi watu wote wafall huko...tumejaribu kuwavumilia na kuwaomba basi amishieni mjadala wenu kwny jukwa la Dini ili mkarumbane vizuri huko sisi tuachieni mjadala huu tuendele kujifunza yanayotuhusu hamtaki..kwa kweli mmetuboa..katika mafundisho yangu ya Ukristo niliwai fundishwa kuwa mvumilivu na kuheshimu mawazo ya wengine na hii ndio inamtofautisha mkristu na Dini zingine...ye sio mtu wa kukaa majukwaani na kuwanyoshea vidole watu wa dini zingine kama ndugu zetu hawa wengine wafanyavyo...
Kwa kweli ndugu zangu wote mnaoleta mabishano ya kidini na kukosoa kosoa kila tamko la Pasco (mnajijua haina haja ya kuwataja) mnatukera vilivyo...ebu tupeni fulsa wengine tujifunze kupitia kwa Pasco ka ni mnaona anaudhalilisha Ukristu hata sisi ni wakristu hatujaona jambo hilo na kwa kuwasaidia nyie anzisheni uzi wenu utakaongelea Psych power ni mambo ya shetani

Labda kama Pasco atafungua temple mkutane huko, lakini kama uzi utaendelea kuwepo hapa tutazidi kuujadili tu. Na hivyo vifungu unavyovipongeza hata havihusiani na hiki anachokifundisha humu. Vinginevyo ungeshavisoma au kuvisikia kanisani kwako siku nyingi tu. Tatizo common sense haiko common kama inavyoitwa. Wewe subiri hiyo spoonfeeding na uvivu wako wa kutafiti mambo. Hizi eastern mysticism India ndio haswa asili yake, hivyo ingetarajiwa kwamba asilimia kubwa ya watu wa huko wawe maisha bora. Lakini ajabu ukweli ni tofauti kabisa. Why?

Warning: kama hii elimu yenu itaendelea kutumia Biblia, jueni kwamba itakuwa ime-qualify kuwa imani ya kidini, hivyo mafundisho yake yataendelea kuhojiwa tu.
 
Last edited by a moderator:
Sijui sikumuelewa vizuri mleta mada..hivi kuna sehemu mleta maada kasema hizo powers can be provided scientifically...??
Powers hizi zinaitwa ESP, yaani Axtra Sensory Perception, hazijaweza kuwa proved scientifically lakini matokeo yake ni visible with naked eyes na wakati ziki act on something, there is a slight rise in temprature!.

Mmmoja wa mabingwa wa Psychic, ni Myahudi Uri Geller, huyu sasa ni bilionea siku nyingi!, amekuwa akifanya maonyesho ya metal bending mbele za watu hadi kwenye Royal Wedding alivipindisha visu na umma za gold masharusi walizozawadiwa, kwa kuvitazama tuu huku maharusi wamevishika!, bibi harusi alipoona umma inajikunja huku inakuwa ya moto, akaitupa chini kwa uoga akidhani ni uchawi!.

Watu wagonjwa kibao, ambao wamekuwa medicaly proven ni wagonjwa, viwete wametembea, vipofu wameona, viziwi wamesikia!, wenye proven cases za HIV+ wamekutwa HIV-!, kidakitari wameshindwa kutambua uponyaji umefanyika vipi!, hivyo ni miujiza!.
Watu wanafanya miujiza ya uponyaji!-Faith Healing.
Watu wana wanapaa angani!-Levitation
Watu wanavuta vitu vinakuja vyenyewe!-Aspotation.
Watu wana uwezo wa kufanya miujiza kibao!, soma hizo links juu!, na chini vile ni vitabu!.
NB Kwenye vitabu, vya Mungu vipo!, na vya shetani pia vipo hadi uchawi nimeuweka ili kutenganisha nguvu za Mungu na za shetani!.
Pasco
 
kuwa scientifically proved ni kuweza kuwa reproduced katika controlled environment. Haya majaribio na vitu unavyosema kuwa vimefanyika hivikuwa peer reviewed kama kweli vimefanyika. Fraud ni nyingi sana kwenye miujiza mingi ya manabii na mitume wa leo kiasi kwamba haya yote unayoyashuhudia hapa nyingi ni hearsay tu! Science inasifiwa kwa sababu methods zake ni rigorous. Claim kama hizi zipo kwa miaka na miaka lakini siku zote matokeo yake hayawezi kuwa dependable - si knowledge. Knowledge can be learnt. Can be reproduced. Hayo unayosema huwa yanafanyika kama mazingaombwe tu! Si Mambo halisi ila ni matendo yanayofanywa kwa nia ya kuwa hadaa watu juu ya kitu fulani. Shida zake ni zile zile - they cannot be reproduced in equally controlled environment. Ni mazingaombwe!
 
Sijui sikumuelewa vizuri mleta mada..hivi kuna sehemu mleta maada kasema hizo powers can be provided scientifically...??

Kama ulimaanisha proved, basi hakusema hivyo. Alichosema ni kuwa hayo mambo ni halisi na yanafanya kazi. Ninachosema ni kuwa hayo mambo si halisi, si maarifa na hayafanyi hicho anachodai yanafanya. Kama psychic powers zingekuwepo kweli na zikawa na uwezo huo wa kufanya hayo yanayodaiwa - sayansi ingeshathibitisha hivyo. Majaribio yoote ya kisayansi ya kuthibitisha hayo madai yalishindwa. Kwa hiyo, hayo ni mambo ya kuaminiwa tu. Wanaoyaamini wanajinasibisha nayo, lakini matokeo yake siku zote ni si halisi. Ndo maana yangu ya kusema hayajathibitika kisayansi.
 
Usichekeshe watu wewe. Ni siri gani hizo mlizojaliwa nyie kuzijua? Huko mnakoingia watu washatoka siku nyingi sana. Na hii dini mnayo propagate si mpya, bali ninyi nfio wapya. Tafsiri potofu ya maandiko ndiyo inayotualika hapa kunyoosha mambo. La mkiacha kutumia biblia, hakika hatutawagusa.

Kahtaan, ninakushauri kama unataka kupata ufafanuzi basi tumia lugha ya kiungwana, usiogope eti kuwa ukiuliza kiungwana utaonekana hujui kitu! Ni kwa sababu hawa maamuma wanakuita Dr? Of-course, ninajua kuwa kwenu ninyi wale wasio na uwezo wa kuchanganua (analyze) mambo huitwa maamuma na kila kitu kitakachosemwa na wanaowafundisha ni lazima wakubali! But, don't apply this formula to anyone! Any way, nitakujibu baadhi: Siri tulizojaliwa sisi kuzijua ni pamoja na kujua juu ya nguvu za kiroho alizonazo binadamu (nje ya mwili) ambazo zinamuwezesha kuwa karibu na mazingira ya ki-Mungu kama alivyokuwa Musa, Eliya na Manabii wengine. Wewe unayefuata Msahafu huwezi kuhoji maandiko ndani ya Biblia ambayo ipo miaka zaidi ya 600 kabla ya kitabu chako unachokiamini kuwepo! You're kidding me bcoz you know exactly kuwa maandiko mengi mmeazima kutoka kwenye Biblia hiyo hiyo! All-in-all, sijikiti sana kwenye maandiko ya vitabu hivyo kwani nami pia nina uwezo wa kuandika hata zaidi ya hivyo vitabu! Cheers!
 
Kama ulimaanisha proved, basi hakusema hivyo. Alichosema ni kuwa hayo mambo ni halisi na yanafanya kazi. Ninachosema ni kuwa hayo mambo si halisi, si maarifa na hayafanyi hicho anachodai yanafanya. Kama psychic powers zingekuwepo kweli na zikawa na uwezo huo wa kufanya hayo yanayodaiwa - sayansi ingeshathibitisha hivyo. Majaribio yoote ya kisayansi ya kuthibitisha hayo madai yalishindwa. Kwa hiyo, hayo ni mambo ya kuaminiwa tu. Wanaoyaamini wanajinasibisha nayo, lakini matokeo yake siku zote ni si halisi. Ndo maana yangu ya kusema hayajathibitika kisayansi.

Nashukuru kwa marekebisho kweli nilimaanisha proved...hila kitu chochote kinachoinvolve imaani ni kazi kupima uhalisia wake kwa scientific methods ni sawa nakuanzia kutaka proof ya Yesu aliwezaje kupaa mbinguni...kushwinda kutoa ushahidi wa kisayansi imaanishi kuwa Yesu hakupaa mbinguni
 
kuwa scientifically proved ni kuweza kuwa reproduced katika controlled environment. Haya majaribio na vitu unavyosema kuwa vimefanyika hivikuwa peer reviewed kama kweli vimefanyika. Fraud ni nyingi sana kwenye miujiza mingi ya manabii na mitume wa leo kiasi kwamba haya yote unayoyashuhudia hapa nyingi ni hearsay tu! Science inasifiwa kwa sababu methods zake ni rigorous. Claim kama hizi zipo kwa miaka na miaka lakini siku zote matokeo yake hayawezi kuwa dependable - si knowledge. Knowledge can be learnt. Can be reproduced. Hayo unayosema huwa yanafanyika kama mazingaombwe tu! Si Mambo halisi ila ni matendo yanayofanywa kwa nia ya kuwa hadaa watu juu ya kitu fulani. Shida zake ni zile zile - they cannot be reproduced in equally controlled environment. Ni mazingaombwe!
Mkuu Kipima Pembe, kwanza nakubaliana na wewe kuwa psychic powers, zimeshindwa kuwa scientifically proven beyond reasonable doubt na claims nyingi za paranormal zimekuja kuwa proven ni hoax, fake au hypnotism!.

Mfano ili kupata waumini wengi, watu wanadanganyika kwa miujiza, ili to win people's faith, baadhi ya wahubiri hujikuta wanalazimika to fake miujiza majukwaani/makanisani au kwenye mikutano ya injili!. Most of the times wale wanaojifanya kuponywa wanakuwa set, kujifanya, vipovu, viziwi, vilema au maradhi yoyote including kufake vyeti vya ukimwi na ku claim wameponywa, only with sixth sense you can tell the fake from the truth!. Kiukweli wengi wa wahubiri wetu are fake na kwenye the little truth wanatumia nguvu za giza !. Wawanatumia TV kujionyesha to make believe!, just to win people's faith and make followers wengi, at the end utaona number za kuchangia kwa kila mtandao wakiongozwa na M-pesa!.

The same applies kwa waganga fake na wanaotumia nguvu za giza!, ni pesa mbele!. Wahubiri wa kweli with real powers wanafanya kama Yesu alivyofanya!, wanaponya free kisha wewe mponywaji utawiwa kumshukuru Mungu, na kupeleka sadaka ya shukrani, kwa kadri ya uwezo wako.

Vivyo hivyo kwa waganga wa kweli wenye uwezo wa Mungu, ni kweli waganga wengi wana telepathy hivyo kuona tatizo lako kabla hujafika!. wale wanaotumia nguvu za Mwanga they'll charge you nothing!, na hawakupa masharti yoyote zaidi ya kumcha Mungu au Mola wako kwa dini yako na ukiishafanikiwa utapeleka shukrani mwenyewe according to ulivyo fanikiwa!. Wanatumia nguvu za giza watakupa masharti ya kufuata na hata kukuchanja chale na kukuvisha mahirizi, mipete etc!.

Miaka ya 2000 nilipata tenda ya kuwa MC kwenye harusi ya Kiislamu ya mtoto pekee, (binti) wa mama mmoja pale jirani na club ya Yanga. Nilipofika kwake kwanza nyumba ni ya udongo!, paa la madebe yenye kutu mwanzo mwisho!, nikaofia kwa ulala hoi ule huyu bibi ataziweza rates zangu?!. Kwa hali niliyoiona hapo nikajua hadhi ya sherehe yake ni harusi ya mnanda ukumbi kibarazani!. Ndipo mama akanieleza kuna mfadhili amejitolea kugharimia harusi ya maana kwenye kumbi za kisasa hivyo wameamua kutafuta MC wa maana (enzi hizo niliwahigi kuwa MC kwenye harusi ya Mtoto wa Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Lowassa, etc). Mimi kusikia hivyo roho ikatulia, nikampa zile bei zenyewe haswa!, Tena nikapewa tenda ya MC, Muziki, Picha, Video, Tarumbeta na gari ya Maharusi!, gharama ilivuka six figures!. Mama hakusema hata nimpunguzie!, kila nilichosema kiliandikwa na bi harusi !, mwisho mama yule akaamka akaingia chumbani, nikijua naletewa advance, mama alikuja na kumpa binti fungu ahesabu, lilikuwa fungu kamili!, wala sikutakiwa sijui niandike mahali wala nilete risiti, mimi nilitakiwa tuu kufanikisha sherehe ya binti yake, anayeolewa ni binti, mama binti ndio anagharimia kuanzia kombe, ndoa, na reception!.

Ni baada ya sherehe ndipo nikajulishwa kumbi yule mama ni "fundi!" na harusi ile yote imegharimiwa na kigogo mmoja mkubwa serikalini ambaye mama alimyooshea mambo yake!. Nilipita juzi juzi mitaa ile, pale kwenye kile kijumba cha udongo na bati kutu za madebe cha bibi yule, limesimama jumba la kisasa la ghorofa 7, nikamuulizia yule bibi nikijua atakuwa aliisha "chomoka!" hivyo binti kauza kijumba kwa matajiri wa Kiarabu!, nikaelezwa hilo jumba ni la bibi yule yule!, kajengewa na mteja wake mmoja aliyemnyooshea mambo yake, aliitwa hadi Uarabuni akafanya mambo kwa tajiri mmoja kule, kama shukrani, tajiri kateremka bongo, akamshushia hiyo kitu kama shukrani!.

Hivyo miujiza ya kweli ipo japo haipimiki kisayansi bali inafuata law of cause and effects, japo huwezi kupima kilichofanyika, matokeo yake yanaonekana wazi, vipofu wanaona, viziwi wanasikia, viwete wanatembea, wagonjwa wanapona na watu wanatajirika!, mjumba wa ghorofa upo ule unaonekana, nenda tuu pale club ya Yangu ulizia kwa "fundi!".

Psychic, PSI au Paranormal powers are real!, they exists inside us!, hazionekaniki!, hazipimiki!, hazijaribishiki !, lakini matokeo yake yanaonekana wazi kwa naked eyes!.

Ndugu Pasco, Kutojua muujiza behind yule bibi haina maana kuwa hizo hearsay zinazosemwa juu yake ni za ukweli. Hapo kuna siri. Mbona wewe hukuenda huyo bibi akakutengenezea na wewe mambo yako yakawa sawa? Mhhhh, story kama hizo ziko nyingi sana sana lakini zote ukiuliza maswali mawili matatu tu, zinaisha mwisho. Ndugu yangu, hapo kwenye simulizi yako kuhusu huyo bibi hakuna chochote cha kuthibitisha miujiza, telephathy, au nguvu ya psychic powers au paranomal. Je wataka tuamini kuwa bibi huyo anatumia nguvu hizo kuwasaidia hao wanasiasa au huyo tajiri wa uarabuni unayesema alimjengea ghorofa? Mhhh, hapo ndo unapoona kuwa hii si kweli; kwanza bibi mwenye hizo nguvu hadi aletewe hela na hao wanaonufaika nazo, pili hao wanaonufaika na hizo nguvu hawajipambanui kunufaika nazo. Lakini vile vile wewe mwenyewe hukujiridhisha ni kwa jinsi gani huyo bibi anatumia hizo nguvu, sana sana na wewe umeangukia kwenye kusikia hearsay halafu unasimulia wengine, na wengine wanasimulia wengine, n.k. Hivyo ndivyo uchawi, ushirikina, n.k. unavyofanya kazi. Ukichimba undani wake hutaona jipya, sana sana utakutana na mitandao ya uhalifu.
 
Hope Pasco baada ya kuweka vifungu hivi hawa watu hawatarudi tena na arguments zao zisizokua na mbele wala nyuma wakitaka justifications kwa vitu ambavyo ni obvious.
Mi nawashaangaa sana hawa walokole wa humu JF wanajifanya wanamjua Yesu sana as if wana copyright ya hilo jina...hivi nani aliwambia Yesu anayetajwa hapa ndio huyo huyo mnayemwamini nyie...
swala la interpretation ya Bible ni la mtu binafsi na Roho yake hakuna general rule ya kuconstrue Bible...
Msitake kulazimisha mnayoyajua nyie kwny Biblia baasi watu wote wafall huko...tumejaribu kuwavumilia na kuwaomba basi amishieni mjadala wenu kwny jukwa la Dini ili mkarumbane vizuri huko sisi tuachieni mjadala huu tuendele kujifunza yanayotuhusu hamtaki..kwa kweli mmetuboa..katika mafundisho yangu ya Ukristo niliwai fundishwa kuwa mvumilivu na kuheshimu mawazo ya wengine na hii ndio inamtofautisha mkristu na Dini zingine...ye sio mtu wa kukaa majukwaani na kuwanyoshea vidole watu wa dini zingine kama ndugu zetu hawa wengine wafanyavyo...
Kwa kweli ndugu zangu wote mnaoleta mabishano ya kidini na kukosoa kosoa kila tamko la Pasco (mnajijua haina haja ya kuwataja) mnatukera vilivyo...ebu tupeni fulsa wengine tujifunze kupitia kwa Pasco ka ni mnaona anaudhalilisha Ukristu hata sisi ni wakristu hatujaona jambo hilo na kwa kuwasaidia nyie anzisheni uzi wenu utakaongelea Psych power ni mambo ya shetani

Hayo ni ufafanuzi Wa mafungu ndani ya bible yenye kuzungumzia mambo mbalimbali. Wa si kitu kigeni.

Labda nikuulize na wewe, Mungu analingana na shetani?
 
Last edited by a moderator:
Hayo ni ufafanuzi Wa mafungu ndani ya bible yenye kuzungumzia mambo mbalimbali. Wa si kitu kigeni.

Labda nikuulize na wewe, Mungu analingana na shetani?
Mkuu Ntuzu, yangu yote kuhusu Mungu na shetani, mbona nilikwisha sema?!, au unataka tuu ligi?!.
Pasco.
 
Ndugu Pasco, Kutojua muujiza behind yule bibi haina maana kuwa hizo hearsay zinazosemwa juu yake ni za ukweli. Hapo kuna siri. Mbona wewe hukuenda huyo bibi akakutengenezea na wewe mambo yako yakawa sawa? Mhhhh, story kama hizo ziko nyingi sana sana lakini zote ukiuliza maswali mawili matatu tu, zinaisha mwisho. Ndugu yangu, hapo kwenye simulizi yako kuhusu huyo bibi hakuna chochote cha kuthibitisha miujiza, telephathy, au nguvu ya psychic powers au paranomal. Je wataka tuamini kuwa bibi huyo anatumia nguvu hizo kuwasaidia hao wanasiasa au huyo tajiri wa uarabuni unayesema alimjengea ghorofa? Mhhh, hapo ndo unapoona kuwa hii si kweli; kwanza bibi mwenye hizo nguvu hadi aletewe hela na hao wanaonufaika nazo, pili hao wanaonufaika na hizo nguvu hawajipambanui kunufaika nazo. Lakini vile vile wewe mwenyewe hukujiridhisha ni kwa jinsi gani huyo bibi anatumia hizo nguvu, sana sana na wewe umeangukia kwenye kusikia hearsay halafu unasimulia wengine, na wengine wanasimulia wengine, n.k. Hivyo ndivyo uchawi, ushirikina, n.k. unavyofanya kazi. Ukichimba undani wake hutaona jipya, sana sana utakutana na mitandao ya uhalifu.
Usemayo yanaweza kuwa na ukweli ndani yake!.
Mimi sikwenda kwa sababu I don't believe mambo hayo!.
Nikiwa kijana mdogo nikifanya kazi RTD miaka ile ya 90s, nimemaliza form 6, nina diploma ya Journalism, niliposema nataka utangazaji, walishangaa!, by that time watangazaji wengi walikuwa form four, kama hawakuzungusha, then, wameponea chupu chupu!. Nikatishiwa kulogwa!. Sikutishika!.

Baada ya mwaka mmoja kazini, nikiwa ndani ya basi la dala dala natoka Kariakoo kuelekea Mwenge, huku nimeshika bomba baada ya kukosa siti, tulipokuwa tunakaribia eneo la Magomeni Mapipa, babu mmoja emevaa kibalaghashia na ndevu kama za Osama, akasimama akijiandaa kushuka aliponifikia nimpishe, akanisalimia kwa majina yangu yote mawili!, akaniambia nina kufahamu, wewe si ni fulani ndio maana nimekuita kwa jina lako, tena una matatizo makubwa kazini!, nikazidi kushangaa, ila kiukweli kazini sikuwa na matatizo yoyote!, akaniuliza kwani unakwenda wapi?!, nikamjibu nyumbani, akanishauri nishukie hapo kituo cha mapipa, anieleze matatizo yangu ya kazini na jinsi atakavyo nisaidia!. Du kusema ukweli, kama nimelogwa, nikajikuta huyo nashuka nae Mapipa!.

Pale kituoni tukasimama pembeni, babu akafunguka, yeye anauwezo wa kuona matatizo ya watu na nimewasidia wengi tuu, tatizo langu kazini ni eti sauti yangu haina ladha!, eti nikitangaza watu wanazima redio!, enzi hizo redio moja tuu RTD!, hivyo malalamiko hayo yameishafikishwa kwa Mkurugenzi, David Wakati, ninachosubiri ni taratibu tuu za kufukuzwa kazi!. Kiukweli nilistuka!. Ila kimoyo moyo najiuliza mbona sikuwahi kusikia malalamiko yoyote ya hivyo!. Akaniambia nitakusaidia ila kwanza tufike nyumbani kwake! ni karibu tuu hapo mtaa wa pili wa Idirisa na Mikumi!. Nikamwambia tutapanga nije siku nyingine!, akasisitiza twende ukapaone ili ukija usipate taabu kupatafuta!, nikasita kidogo, nikajikuta nimekubali, mimi huyoo, babu mbele mimi nyuma!.

Kufika kwake sebuleni, kuna sebule kubwa haina kiti hata kimoja, kuna zulia jekundu tuu kuu kuu na kabati moja la kioo!. Karibu.. hukae chini, au hujazoea tukakuletee kit!?, kiukweli kukaa chini ni issue kidogo, akanipa mto nikajiegemeza ukutani!, akaniagizia chai, au kahawa nikamjibu asante, basi maji, nikasema asante!. Mazungumzo yakaanza!.

Yeye ni mtaalamu wa nyota, ameona nyota yangu inangaa sana, hivyo kwa elimu yangu, nitafika mbali na RTD, hivyo watangazaji wenzako wanakuonea kijicho, hivyo wamekuendea kinyume!, wameitia kiza nyota yako!. Akauliza wewe una gari ya kutembelea?, nikamjibu hapana, una nyumba yako, nikamjibu hapana bado naishi home!, unaona?!, wameamua kukukwamisha kabisa!, saa hizi ulipaswa uwe una gari na nyumba nzuri!. Nikawaza kidogo, mishahara ya serikali enzi hizo, nimefanya kazi mwaka mmoja niwe na gari na nyumba!, enzi hizo, mtangazaji mwenye gari, ni wale tuu waliotoka kwenye exchange program za redio za nje, BBC, Ujerumani, VOA, Japan etc. Nikajifanya kukubaliana nae.

Akaniambia kazi ya kwanza ni kusafisha nyota yangu ingare!, sauti yangu iwe tamu kama asali kuisikiliza!, du!, nikasita kidogo kumkubalia!, nikamuuliza umawahi kuwasaidia kina nani?!, he came out with a long list of names za watangazaji!, aliwataja karibu wote waliokwenda ulaya!. Almanusura nikubali!, wakati akiendelea kuongea, kikachomosa kipanya kidogo nyuma ya kabati, kinakuja usawa wake!, amini usiamini, mimi siogopi nyoka!, ila panya!. Nikataka kuamka akasema usiope, hawa ni panya wangu tuu hawana madhara, hata wakija kukupandia, usiwaogope!, akanyoosha mkono kama kukiita kile kipanya kije, kikaja kaja kisha kikakimbia!.

Ule uoga wa panya, ukanifanya nijisikie sitaki tena hata kusaidiwa nikaaga kuondoka na kuahidi nitakuja siku nyingine!, jamaa anashangaa vipi, mimi naamka!, akaamka kunitoa huku akiendelea kutaja majina ya wakubwa aliowasaidia kunyoosha mambo yao!, nikiiangalia hali yake na hapo kwake!, mimi nyota iliyotiwa kiza ni afadhali!.

Sikurudi tena, na kazini hakukuwa na tatizo lolote!, ila ile listi alionitajia amewasafishia nyota zao, kiukweli walikuwa wanapisha ulaya!, mtu anatoka BBC anatulia kidogo anapelekwa Ujerumani, akirudi hajakaa sawa huyo Japan!, sisi wengine ni Tandahimba na Kimanzichana na Chole Samvula!, ila nilikubali kuna watu na bahati zao!.

Mafundi wa kusafisha yota mambo yako yakunyookee wapo!, ila nguvu za kweli za kunyoosha mambo yako, ziko ndani yako mwenyewe, ukiamini yatanyooka, yananyooka yenyewe na sio lazima kwenda kwa wasafisha nyota kuyanyoosha!. Mafundi safisha nyota, wanatumia nguvu za giza kusafishia, hivyo hata mambo yakikunyookea, ni kwa muda tuu!, lakini yakikunyookea kwa nguvu za Mungu zilizo ndani yako, ni yamenyooka jumla!.
Pasco
 
Mkuu Ntuzu, yangu yote kuhusu Mungu na shetani, mbona nilikwisha sema?!, au unataka tuu ligi?!.
Pasco.

Mkuu Mimi nilikua namjibu Yule mtu ambae alikua anasifia Yale mafungu ya Bible! Na ndie nilie muuliza Hilo swali! Kama umeona nimetokeza tena kwenye Uzi wako ukafiri Ninataka ligi, hapana Mkuu. Mimi saiz nasoma hoja zenu tu! Ntachangia pale napoona pananifaa!
 
Hivi uliamini kuwa hao watu aliokutajia ni kweli walifika kwake???? Hiyo ni fraud nambari moja ya wachawi na washirikina wote. Ungejaribu ku-test tu kuwa je hii kitu ni ya ukweli. Ungetembelea waganga watano au sita amini usiamini wote wangekutajia list hiyo hiyo ya waliofanikiwa na kukuhakikishia kuwa wao ndo waliowafanyia mambo yao yanyoke.

Mhhhh, kila anayejiita msafisha nyota, ukifika kwake kwanza lazima akutajie orodha ya waliofanikiwa kwake. Tatizo letu huwa tunaamini tu na huo ndo ugonjwa wa imani!!! Yaani huyo ulikutana na msanii wa ukweli, tapeli na muongo. Lakini alivyokuambia tu kawasaidi kina fulani na fulani basi ukaamini kuwa ni kweli kawatengenezea!!! Nilishafanya utafiti kidogo kwa mambo kama hayo, ni full uongo na uzushi. Hizo ni pseudo science at work. Bila shaka wewe mwenyewe ulimshitukia huyo babu. Na hao panya ilikuwa ni njia ya kukufanya umuone mwenye uwezo wa ajabu.

Psychic powers, n.k. hazifanyi kazi zenye matokeo yanayoonekana kamwe, ndo maana yameshindwa kuthibitika kisayansi. Njia za kisayansi si kwamba zinakutaka uamini. Njia za kisayansi zinakutaka uelewe, uwe na maarifa. Kama nilivyosema mwanzoni maarifa yanafundishika, yanarudiwa na yanaeleweka. Maarifa yana mantiki ndani yake. Ukishaona unaelewa na wala huhitaji kukariri au kuamini. Unajua. Ndo tofauti ya maarifa na hayo ma pseudo science. Hayo si maarifa, si elimu, si ujuzi - ni imani katika visivyokuwepo.
 
Naomba nikuulize, braza ... Unaamini uwepo wa mungu ? :A S-coffee:
 
Naomba nikuulize, braza ... Unaamini uwepo wa mungu ? :A S-coffee:[/QUO

Hata kama naamini, kuamini kwangu hakumfanyi mungu awepo. Ninachoweza kukuambia ni kuwa hakuna maarifa juu ya uwepo wa mungu. Wewe huna, Mimi sina.
 
Back
Top Bottom