Psychoanalysis Trends za Viongozi Wetu, Humbleness ya Rais Samia ni Bonafide Genuine, ni asili yake, ni nature yake, ndivyo alivyo, Ila...

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
53,857
Reaction score
121,995
Wanabodi,
Moja ya topic ngumu sana humu JF, ni topic za kitu kinachoitwa Trends Readings za psychoanalysis trends, kinacho tokana na ku Psychoanalyse Trends kisaikolojia kwa kutumia tabia za mtu za nyuma, tabia zake za sasa kuweza ku détermine tabia zake za huko tunakwenda na ni nini kitakachokuja kutokea baadae in near future in short term, médium term na long term.

Trends Reading ni Nini, na Zina Kazi Gani, na Zina Faida Gani?.
Kwa kifupi, trends ni mielekeo, hivyo trends readings ni kusoma mielekeo, faida ya kusoma mielekeo, au direction, na kuangalia kule mliko toka, hapo mlipo mlipo, ili kujua kule mnakokwenda. Ni kama somo la Historia, ni kujifunza mambo ya zamani, kule tulikotoka, kulinganisha ya sasa hapa tulipo, hivyo kuweza kujua kule tuendako. History is the study of the past in relation to the present, to determine the future. Hivyo faida kubwa kabisa ya trends reading is the determination of the future. The future haijiji tuu kama kudra ya Mwenyezi Mungu, inakuwa determined na matendo yako ya nyuma, matendo yako ya sasa, hivyo kuipanga kesho yako iweje.

Trends Reading Sio Utabiri, Sio Ubashishiri, Ni Usomaji wa Mienendo na Mielekeo, Matokeo ya Trends ni Uhakika Zaidi Kuliko Utabiri na Ubashiri.
Kuna watu wanachanganya ubashiri, utabiri na trends readings. Japo yote matatu, yanaweza kusema kitatokea nini in future, mtabiri yeye anatumia mizimu kuuliza na kuona kitatokea nini, hawa wanaitwa scorchers, kuna wasoma nyota wanaoweza kukuambia yajayo kwa kusoma nyota yako, hawa wanaitwa astrongers, kama Sheikh Yahaya Hussen. Kuna wabashiri, hawa ni watu wa kubahatisha tuu kama bahati nasibu, Simba na Yanga zikicheza, kuna matokeo matatu tuu, au kushinda, kushindwa na sare. Wabashiri wanabahatisha lolote likitokea, wanakula bingo kwenye betting. Trends Readers, sio wanajimu, sio wabashiri ni watu wa kawaida tuu ambao ni wasoma mielekeo, trends na kuweza kusema kitatokea nini in future kutokan na matendo au matukio ya nyuma, matukio ya sasa na hivyo kujua matukio yajayo.

Kwa vile mimi ni mtu wa mastori mastori, kwa wapenda mastori, sasa kwa faida ya wenzetu wasio penda long stories, mnaweza kuishia hapa, na kwenda kusoma conclusion.
Kwa wale tunao endelea tuanze na Psychoanalysis ni nini na ya kazi gani au inasaidia nini?.
Conclusion
Trends za Samia, zinaonyesha tunaelekea kwenye Tanzania njema yenye rais humble, mpole, mnyenyekevu, mstahimilivu, na hata kule UN, tumemshuhudia katika hotuba yake, amehutubia UN akiwa humble vile vile. Once humble, always humble!.
Mungu ambariki sana, Mama Samia aendelee na hii humbleness yake asibadilike.

Mtu mcha Mungu, mpole, mnyenyekevu wa type ya Mama Samia, akitibuliwa na akatibuka... JPM atakuwa ni mtakatifu!.

Kama alivyo sema mwenyewe kuhusu uwezo wa macho yake yale.... yanaona hayo!, na akasema wazi yeye sio mtu wa kufoka foka na akatoa onyo tusimzengue "mkinizengua, tuta zenguana"
Wito
Kama ilivyokuwa kwa JPM, alikuwa ni chaguo la Mungu kwa Tanzania, na baadae Mungu akabadili mawazo na kuamua kumuita kwake, na badala yake sasa Mungu ametuletea Samia, hivyo kwa sasa Samia ndio chaguo la sasa la Mungu kwa Tanzania, hivyo natoa wito kwa sisi wana Jf, la Watanzania kwa ujumla lets give her time, tumpe muda wa kutosha kuisuka nchi. Lets not take upole wake, unyenyekevu wake na humbleness yake for granted tukaanza kumzengua...

She will be....
Naomba nisimalizie

Nakutakia Jumapili Njema.

Paskali
 
Wanabodi,
Moja ya topic ngumu sana humu JF, ni topic za kitu kinachoitwa Trends Readings za psychoanalysis trends, kinacho tokana na ku psychanalyse Trends kisaikolojia kwa kutumia tabia za mtu za nyuma...
Amka kunywa supu, ondoa hangover then andika vizuri, muda huo nitakua nimetoka ibadani. Kwasasa naona ni Kvant ndio imeandika sio Wewe
 
Unyeyekevu wake unatokana na malezi yake bora aliyo yapata.

ni mtu mcha Mungu mwenye hofu ya Mungu, anaye amini kuwa cheo au madaraka vyote hivyo haviwezekani isipokuwa kwa Mkono wa Mungu.

Hivyo kiongozi anayejua hayo kamwe hawezi kuinua mabega juu. Rais Mama Samia ni mfano mzuri sana kwa viongozi wengine wa juu, wa chini na hata wananchi wa kawaida, kama Amiri Jeshi Mkuu anakuwa mnyenyekevu kwa kila mtu kiasi hiki! sembuse mimi na wewe!

kwa wenye akili tayari wamejiongeza lkn kwa wenye akili nusu kikombe wanaweza kujenga dharau na udhaifu kumbe sivyo.

Kiongozi yeyote anayejua maaana ya uongozi lazima awe mnyenyekevu.
 
Mkuu Pascal Mayalla! wewe nyoosha tu maelezo ya kwamba Rais Samia Suluhu Hassan, anaurejesha rasmi utawala wa JK! Na kwa sasa tunakaribia kabisa kurudi enzi zileeee za miaka ya 2005 mpaka 2015.

Na ni vyema ungewashauri MATAGA kuchukua hatua sahihi mapema kabla ya kuondolewa wote kwenye utafunaji wa keki ya Taifa. Mifano ni mingi, muda ni mchache!

Kweli kutesa kwa zamu! No JPM, no MATAGA!
 
Pasco nakumbuka trend reading zako zilisema Askofu Gwajima atachanjwa, mpaka sasa zimebuma 🤣
 
Probably PASKALI MAYALA at his best.
Ni Afrika tu tuna Marais wacha Mungu, Marais wa wanyonge na wanyenyekevu japo hawapendi haki, Marais wetu huingia madarakani kwa njia rahisi na wskiingia husema watafuata nyayo za aliyemuachia kijiti, hii imamaana vitendo vyake havitabadilika; Ninaamini waingekuwa wanaingia kirahisi tusingekuwa hapa tulipo na kila mmoja asingetabirika mwelekeo wake.
 
Katiba mpya is the only solution' periodd!
Mkuu LoyalTzCitizen , huyu Mama, atatupatia katiba mpya, ila wakati wa kipindi chake cha pili cha 2025- 2030.
Hivyo nyie wote mnaotaka katiba mpya, kama mnaitaka kwa dhati, then 2025 twende na Mama.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…