Psychoanalysis Trends za Viongozi Wetu, Humbleness ya Rais Samia ni Bonafide Genuine, ni asili yake, ni nature yake, ndivyo alivyo, Ila...

Huyu Mama, atatupatia katiba mpya, ila wakati wa kipindi chake cha pili cha 2025- 2030.
Hivyo nyie wote mnaotaka katiba mpya, kama mnaitaka kwa dhati, then 2025 twende na Mama.
P
What! No, viongozi wetu wanaendesha nchi kwa kundi la utashi binafsi, hawawajali wananchi isipokuwa makundi yao.
Atatupatia katiba kwenye kipindi chake cha pili! Hicho cha pili tayari mmekwisha msimika mkiamini nchi hii ni yenu sisi ni watwana.
 
Poti umeongea kwa kujificha ficha kuna kitu unataka kufikisha ila Masanzu mengi sana....ooh mala macho mala zaidi ya yule
Masanzu = Vichaka
 
Aliyetabiri JPM atakua president ni member anaitwa MAGAMBA MATATU cheki hii thread ya mwaka 2012


Pasco acha sifa za kijinga
 
Asante kaka Paskali bandiko ni zuri. Mantiki katika upole na ukarimu wa Rais wetu mpendwa nimeulewa. Once humble, always humble.
 
Na hii reply tunasave for coming references
 
Ngoja tuone...

Tabia ni kama ngozi, once you are humble you will always remain humble...
 
Hahaha nicheke mimi

Mayala embu muangalie huyu Mama Waziri Mkuu akiongea hapo UNGA alafu mrejee Samia.
Your browser is not able to display this video.
 
Umenena mkuu
 
Mtu mcha Mungu, mpole, mnyenyekevu wa type ya Mama Samia, akitibuliwa na akatibuka... JPM atakuwa ni mtakatifu!.


Paskali

Mkuu Mayalla Gawiza!!! ... from the basis of your comparison kwa mtazamo wako without reasonable doubts hapa umemlinganisha SSH na JPM

Ikiwa comparison items zilizotumika ni Jumla ya maneno ("MCHAMUNGU" "MPOLE" "MNYENYEKEVU") kwa upande wa muhusika wa kwanza ambae ni SSH

Dhidi ya neno ("MTAKATIFU") kwa upande wa muhusika wa pili ambae ni JPM

Kwa mlinganisho huo ina maana kuwa ikiwa SSH atabadilika nankuwa MSHENZI, MKALI na KIBURI maneno ambayo ni kinyume cha UCHAMUNGU, UPOLE na UNYENYEKEVU basi JPM atakuwa MTAKATIFU

Lakini kwa kuwa SSH hajabadilika, bado ni MCHAMUNGU, MPOLE na MNYENYEKEVU inamaana JPM hakuwa MTAKATIFU ???

Kwa msingi huo wa kinyume cha ulinganisho huo hivyo JPM alikuwa MSHENZI, MKALI na KIBURI tofauti na alivyo SSH ???

[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Pascal unaongelea kuwa humble wakati things are falling apart....?....kuongoza nchi kuelekea kwenye maendeleo ya kweli lazima uwe aggressive na seriously committed sio lelemama mzee.
Ona wizara ya Nishati....kinachofanyika ni utata mtupu...nani hamjui mafuru na mchechu....unataka kuniambia Tanzania hakuna human resource ya kutosha mpaka urudishe watu ambao walifeli na kufisadi mashirika tena na ushahidi upo wazi?
Sawa tuendelee kusifia kuwa humble....lakini muda utaongea.
 
Pasko kuwa Usalama wa Taifa basi anajionaga Kama Mungu eti anaongeaga yanayokuja kutokea .Sasa kama ni hivo mbona watu wengi hasa wazee wanafahamu haya mambo ya utawala yanaendaje na ni nini kitatokea kwa kipindi gani?Mbona tunajua kiunabii Sasa hivi Taifa letu lipo gizani ? Tatizo lako ni much know unapenda Sana sifa.Tunajua unapewaga briefing uzilete hapa na unafanya uandishi kama cover tu.Tunajua baada ya hili Giza Taifa litapata mwanga .Na pia kuhusu JPM kuwa Rais ni wengi tu walikua wanafahamu Hilo Jambo hivo acha kijikweza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu masare, kwanza asante kunitambulisha bandiko la MAGAMBA MATATU, la mwaka 2012. Kwanza nimelisoma, ni kweli amemtaja JPM, lakini kama mmoja miongoni mwa wengi. He/she was not specific. Tembelea bandiko hili, la mwaka 2012 wakati wa upepo wa EL, uangalie nilisema nini kuhusu EL na kusema kama sio EL CCM imsimamishe nani.
Watu trends tulizianza zamani!.
P
 
Pasko kuwa Usalama wa Taifa basi Tunajua unapewaga briefing uzilete hapa na unafanya uandishi kama cover tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Babe la mji , duh...!, yaani Pasco ni TISS!, uandishi ni kuzuga tuu!, kiukweli hii kali na kubwa kuliko!. Tiss anayeikosoa serikali yake mitandaoni!.

Kiukweli mimi najihesabu ni mtu mwenye bahati kuzaliwa familia ya TISS kwa baba na mama. Mzee Mayalla ndiye alikuwa RSO wa Mwanza ile 1976 wakati wa sekeseke ya Kesi ya Mauaji Mwanza.

Kwa vile kuna dhana ya mwana wa nyoka ni nyoka, na sisi kwetu tumezaliwa 8, we can't all be nyokas!. Ndugu zangu 5 wako serikalini na sisi watatu tuko sekta binafsi. Siwezi kuwasemea wengine, lakini mimi ningekuwa TISS nisingeweza kupandisha mabandiko kama haya.

P
 
Amka kunywa supu, ondoa hangover then andika vizuri, muda huo nitakua nimetoka ibadani. Kwasasa naona ni Kvant ndio imeandika sio Wewe
Mkuu Bwana PGO, mimi sio mtu wa K vant, mimi ni kijana wa Joni Mtembezi Alama Nyeusi, ni kitu very fine, haina nang over na hauamki nazo, bali stimu hukata after few hours na una kuwa uko fersh kabisa.
P
 
Mkuu zandrano , naunga mkono hoja.
P
 
Kitendo cha kubambikia watu mashitaka hakijapokelewa vyema na watanzania. Tutende HAKI siku zote. Kuwaonea watu na kuwaweka watu magerezani huku wewe ukila na kushiba ni kumkosea Muumba mbingu na Dunia.
Mkuu Akasankara , kwani ni yeye?, maadam kesi inasikilizwa, nashauri tusiingilie uhuru wa mahakama, nadhani hata Mama hapendi hizo mambo.
Wewe usiwe kama wale mabeberu kudhania hiyo kesi ni mpango wa Mama.
Mimi kwa maoni yangu, hii wiki inayoanza kesho haiishi kabla DPP hajapeleka Nolle!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…