Psychoanalysis Trends za Viongozi Wetu, Humbleness ya Rais Samia ni Bonafide Genuine, ni asili yake, ni nature yake, ndivyo alivyo, Ila...

Ungekuwa magereza muda huu wala usingemsifia, huyu bibi ni mtu hatari sn kuliko hata Dikteta aliyepita
 
Maanake Katiba ni hisani yake na siyo hitaji letu
 


Hongereni kwa kupulizia kinyesi perfume. Tuna akili zetu timamu sio wa kutekwa na hizo propaganda za kichovu.
 

Sisi tunaitaka katiba mpya sasa, hiyo ya 2025 akupe wewe na wanaccm wenzio na wazanzibari wenzake.
 
Kwa hiyo Pascal,hii kesi ni mpango wa nani
 
Sawa mkuu lakini mimi nakufahamu vizuri tokea tukiwa wote Ilboru sekondari,Unajitahidi Sana hongera pia kwa uzalendo wako kwa Nchi yetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbowe sio gaidi
 
Ungekuwa mwanasaikolojia ningesema uliandika ukiwa umelewa ila kwa kuwa sie. Unaajenda yako binafsi.
 
Mtu mcha Mungu, mpole, mnyenyekevu wa type ya Mama Samia, akitibuliwa na akatibuka... JPM atakuwa ni mtakatifu!.
Wanabodi, ni katika kukumbushana tuu, eti sasa ndio kuna watu wanashangaa!. Wangesoma uzi huu kabla, wasinge shangaa!.
Kama alivyo sema mwenyewe kuhusu uwezo wa macho yake yale.... yanaona hayo!, na akasema wazi yeye sio mtu wa kufoka foka na akatoa onyo tusimzengue "mkinizengua, tuta zenguana"
JYN kazengua,.. kazenguliwa!
Wito
, hivyo natoa wito kwa sisi wana Jf, na Watanzania kwa ujumla wetu, lets give her time, tumpe muda wa kutosha kuisuka nchi.
Tumempa muda na sasa kazi imeanza, kazi naendelea!
Lets not take upole wake, unyenyekevu wake na humbleness yake for granted tukaanza kumzengua...

She will be....
Naomba nisimalizie

Paskali
Hata sasa naomba nisimalizie...
P
 
Wanabodi, ni katika kukumbushana tuu, eti sasa ndio kuna watu wanashangaa!. Wangesoma uzi huu kabla, wasinge shangaa!.

JYN kazengua,.. kazenguliwa!

Tumempa muda na sasa kazi imeanza, kazi naendelea!

Hata sasa naomba nisimalizie...
P
Tumekuskia mkuu.

Unajua wewe una uwezo mkubwa sana kaka mkubwa. Tatizo nahisi utawala ule ulikuwa ni moto haswa. Ukaamua kukimbiza bawa lako.

Wewe ni kunguru mjanja Paskali.
 
Heading ndeefu sana iliyochomekewa maneno matano ya lugha ya kigeni pasipo ulazima.
trends, psychoanalysis, bonafide, genuine, dah!
paskal una mbwembwe!

Cha kushangaza baadhi ya wanaokukejeli nao wanajikomba kwa rais kupitia post zao humu jf.

Tofauti yako na wenzako ni moja..wewe ulikuwa loyal kwa awamu ya tano na umeendelea kuwa hivyohivyo kwa awamu ya hii.

Akisifia mayala ni kujipendekeza..wakisifia wengine ni sincerity.
 
Heading ndeefu sana iliyochomekewa maneno matano ya lugha ya kigeni pasipo ulazima.
trends, psychoanalysis, bonafide, genuine, dah!
paskal una mbwembwe!
Mkuu Anonymous Caller , kwanza asante kwa observation yako, kiukweli Kiswahili hakina misamiati ya kutosha, hivyo baadhi ya maneno ya kizungu, ukiyatumia kwa kizungu, yanakolea zaidi.
Mfano naomba unisaidie Kiswahili cha
  1. psychoanalysis
  2. trends
  3. humbleness
  4. bonafide
  5. genuine
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…