Psychoanalysis Trends za Viongozi Wetu, Humbleness ya Rais Samia ni Bonafide Genuine, ni asili yake, ni nature yake, ndivyo alivyo, Ila...

Sawa mkuu.
Nitakuwa Dar Leo na kesho naomba nkuone unifunze mawili matatu
Duh...!, usitake kuniponza bure!, yaani week end!, please no!. Nitakupm tupange kukutania mahali sio Dar, sio kwako! ila mimi ni kweli ni mwalimu mzuri kwa kutoa mafunzo ya mawili matatu na uzuri wangu ni kuishia kwenye mafunzo tuu na sio kazi na dawa!.
Nikutakie weekend njema.
P
 
I will be waiting. Ngoja niku-PM mimi maana yangu imefungwa.
 
Nami nijiunge na Watanzania wenzangu kumtakia Happy Birthday President Mama Samia Suluhu Hassan.
P
 
Punguza shobo
 
Wanabodi,

Conclusion
Trends za Samia, zinaonyesha tunaelekea kwenye Tanzania njema yenye rais humble, mpole, mnyenyekevu, mstahimilivu
Paskali
Wanabodi,
Hii humbleness ya huyu Mama, na being down to earth, nimeiona tena jana, kwenye kuhitimisha Nane Nane Mbeya.

Baada ya kukamilisha kuhutubia, wakati anaondoka, badala ya kuelekea direct kwenye gari, akatuzungukia wananchi huku tukipo, mimi nikamwamkia kwa sauti, akageuka, akanitazama, akaijibu shikamoo yangu, tena I think...naomba nisimalizie maana...

Na wakati anahitimisha hotuba yake kuhitimisha Maonyesho ya Nane Nane Viwanja vya John Mwakangale, Mbeya kuna kitu sio cha kawaida, Rais Samia amekifanya, hakijawahi kufanywa na rais wetu mwingine yoyote, ukimuondoa Nyerere.

Siku zote kwenye matukio rasmi, viongozi wanatayarishiwa hotuba kwa kuandikiwa na Viongozi huhutubia ama kwa kusoma hotuba alioandikiwa, ama kwa kutumia talking points.
Lakini licha ya rais kuandikiwa hotuba, kuna baadhi ya vitu huwa anavisema kwenye hotuba ni vyake mwenyewe kutoka moyoni na sio kuandikiwa,

Wengi wa wenye uwezo wa to read in between the lines, pia wana uwezo to listen in between the world's hivyo Mama anapohutubia, ma psychoanalysits wenye uwezo wa kubaini hili ni ameandikiwa na hili ni lake kutoka moyoni.

Kwenye hotuba ya jana kule mwisho, aliwashukuru madereva.

Ukimuondoa Nyerere na hotuba zake za kulihutubia taifa kwa njia ya redio, hii ndio mara yangu ya kwanza kumsikia rais wetu yoyote akiwashukuru publically madereva!.

Wasio na jicho la roho, jicho la ndani, wanaweza kuona this is a small thing!. It's not!.

Hii shukrani kwa madereva kila mtu huwa anaitoa kwa dereva wake akifika salama, lakini ile shukrani kuwashukuru madereva publically for the first time, japo inaonekana ni shukrani tuu, kwa sisi ma psychoanalysits, sio shukrani tuu, ile ni shukrani ya appreciation ya being arrived safely out of ...

Kwenye shukrani hizi, kuna kitu hapa Rais Samia amekisema bila kukitamka, uwezo wa kumwelewa rais wetu bila hata kutamka kitu ni plus kwenye utawala wa nchi.

Katika shukrani hizi za rais, Rais Samia kawasifu na kuwapongeza madereva wa msafara kwa umahiri wao na car control.

Sijui ni wangapi kati yetu wana uwezo wa kusoma facial expressions wakati mtu akiongea!, Rais Samia amewashukuru madereva kwa kuwafikisha salama na kushukuru Mungu kufika salama.

Kitu ambacho Mama Samia hakukisema ni the speed of msafara was very high, mnamuweka Mama Roho Juu!.

Kwa vile tumetawaliwa na wazungu, watu wetu wa usalama wanafunzwa msafara kwenda kwa kasi ya ajabu hivyo hivyo na wao kuiapply hivyo hivyo hata kama in reality Tanzania haina security threat kwa rais wetu kivile!.

Kwenye msafara wa rais kuna rake 3, kabla ya msafara, hivyo madereva wanakimbiza msafara kwa speed ya ajabu for what?!.

Halafu unaambiwa eti wanakijiji au wananchi wa eneo fulani wamezuia msafara!.

All and all, asante sana Mama kuonyesha concern for this.
Hata hii democrasia tunayoitumia ni imposed democracy, kama sasa tunaotumia the African Democracy ambapo nchi ya vyama vingi vya siasa, vinaweza kufanya uchaguzi Mkuu na chama kimoja kikashinda Kwa 99% na uchaguzi huo ukawa huru wa haki na wa kidemocrasia, tuachane na imposed security protocols, to embrace African security protocols, viongozi wetu wakimaliza wanasalimia na kujichanganya kidogo na watu.
P
 
Wanabodi,
Conclusion
Trends za Samia, zinaonyesha tunaelekea kwenye Tanzania njema yenye rais humble, mpole, mnyenyekevu, mstahimilivu, na hata

Paskali
Hii issue sasa inahusishwa na kutumbuliwa kwa MFA Balozi Mulamula, naendelea kusisitiza Rais Samia ni simple, humble na down to earth kama nilivyo muelezea hapa Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!”
Mkuu Sexless , kwanza naungana na wewe kwenye the quest for information, we are living in a world of information Science, akiteua atoe sababu na akitumbua pia atoe sababu. Kwa vile hatujahi ku demand rais atoe sababu za kumteua fulani, siku akitumbua pia hatuna justification ya ku demand kupewa sababu!.

Nimekuleta hapa ili kukujulisha kuwa huyu Mama ni very humble and down to earth, hivyo hana tatizo kabisa na ile issue ya London bus kama nilivyo eleza hapa Hakuna ubaya wowote wala ajabu yoyote Marais kupanda pamoja! Tulipanda basi moja na Rais Mkapa nchini Sweden
Hivyo issue ya MFA Balozi Mulamula sio lazima iwe ni ametumbuliwa, inaweza kuwa ni ame pumzishwa tuu.
P
 
Kwa vile leo ni birthday ya Rais Samia, nawaomba wana jf well wishers, tuungane kumu wish a Happy Birthday this lovely lady Rais wetu mpendwa, Rais wetu mpenzi, Rais wetu kipenzi, Rais Dr. Samia Suluhu Hassan, Chifu wa kabila kubwa kuliko makabila yote Tanzania, ambayo Kanda ya kabila hilo ndio Kanda determinant ya kura za urais wa JMT, Chifu Hangaya.

Happy Birthday

P
 
Leo ndio siku yenyewe ya wanawake duniani, hongera sana kwa wanawake wote duniani akiwemo Mwanamke huyu!.
P
 
Hii ni zawadi yangu kwa Birthday ya Mama leo, nilipanga kumpa wiki ya mwisho ya October 2025,

Ili zawadi hii iwe na manufaa kwake, nikisubiri mpaka hiyo 2025, it might be a bit too little too late, kuna ubaya hiyo zawadi, kutolewa mapema mwaka huu ili iweze kutumika mwaka kesho?.

Zawadi yenyewe ni Salaam tuu za Birthday zenye ki parcel fulani!

HBD Mhe. Rais Samia kwa kutimiza miaka 64!, nakupongeza sana na kukuombea afya njema!.

Mwakani 2025 utakuwa unatimiza umri wa miaka 65 na 2030 utakuwa na umri wa miaka 70, hivyo zawadi yangu ya pekee kwako ni HII na kukusisitizia, sio lazima kuizingatia saana kivile, ila ni muhimu kuisikiliza na kujisikilizia kama na wewe pia uliambiwa kama nilivyoambiwa mimi, kwasababu yule YEYE, sometimes ana tabia na mtindo wa kuwaambia watu wake, kupitia kwa watu wengine!, hivyo just listen and try to make sense of this, a think about it, if makes any sense to you, ikitokea it doesn't make any sense to you, then dismiss it as just another set of crap!.

Ila ikitokea na wewe pia uliambiwa, but you are not very sure kama ni YEYE au ni yeye, then don't take a chance!, usipuuze!, maana hicho kitu chenyewe, is nothing compared!.

If this being the case, then tunakuomba sana sana sana, ututekelezee haya mambo tunayokulilia nayo tangu umeingia kwenye usukani, tekeleza tuu yale yaliyomo ndani ya uwezo wako, maana kusubiria post 2025, it might be too little too late!. Please Mama!.

Na ikitokea wewe hujaambiwa mpaka 2025 inaingia na hujawahi kuambiwa na mtu mwingine yeyote, then ipuuze HII itakuwa sio sauti yake YEYE bali itakuwa ni sauti ya yeye tuu ambaye sio YEYE!.

Hivyo endelea na ule mpango wako wa 2025!, na Watanzania wanaolitakia mema taifa letu hili, wote tutakuwa Tuko nyuma yako,
Tuko pamoja nawe,
Tuko nawe!.

Mungu Akubariki Sana!.
HBD Mamaa!.
Paskali
 
Jilazimishe kutumia neno NIKO nawe, tumia TUPO endapo tu upo ushahidi kuwa ulitumwa na wengine, acha kulazimisha watu wewe ni mwanasheria.
 
Wanawake wote duniani kesho ni siku yenu, be humble.
P
 
HBD Rais Samia!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…