Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 13,075
- 11,682
Kama mwanachama mzuri wa CCM, swali hili ungewauliza viongozi wako lakini kwa kufuata taratibu na miongozo ya chama chako.Kwenye uzi huu nilitoa angalizo fulani na kuna kitu sikukimalizia ila kuna kitu Imma kazengua, natamani kukijua!.
Anayejua kosa la mtu huyu ni nini atushirikishe tujue maana...
P
Utaratibu wa chama chetu ni vikao, natakiwa kuuliza kwenye mkutano wa shina, swali lipelekwa mkutano wa tawi, kisha mkutano wa tarafa, wilaya, mkoa, ndipo lifike secretarieti CC, NEC na mwisho Mkutano MkuuKama mwanachama mzuri wa CCM, swali hili ungewauliza viongozi wako lakini kwa kufuata taratibu na miongozo ya chama chako.
Amandla...
Huoni kama ni mambo ya 2030? Mbona harakati za kumtoa zilikuwa kitambo tu! Tena kabla ya Uchaguzi wa Oct 29.Kwenye uzi huu nilitoa angalizo fulani na kuna kitu sikukimalizia ila kuna kitu Imma kazengua, natamani kukijua!.
Anayejua kosa la mtu huyu ni nini atushirikishe tujue maana...
P
Patience is a virtue Mkuu. Tutakusubiri tu. Wakati huo huo unaweza ku challenge huu ukiritimba. Kwa kupitia vikao pia.Utaratibu wa chama chetu ni vikao, natakiwa kuuliza kwenye mkutano wa shina, swali lipelekwa mkutano wa tawi, kisha mkutano wa tarafa, wilaya, mkoa, ndipo lifike secretarieti CC, NEC na mwisho Mkutano Mkuu
itakuwa lini?.
P
Mwandishi Mkongwe huwezi kukosa namba za Emma.....kama vipi muulize mhusika nini kimemsibu?..Utaratibu wa chama chetu ni vikao, natakiwa kuuliza kwenye mkutano wa shina, swali lipelekwa mkutano wa tawi, kisha mkutano wa tarafa, wilaya, mkoa, ndipo lifike secretarieti CC, NEC na mwisho Mkutano Mkuu
itakuwa lini?.
Kuna kitu nilisema hapa na kuna sikusema, kimetokeaWanabodi,
Mtu mcha Mungu, mpole, mnyenyekevu wa type hii, akitibuliwa na akatibuka... JPM atakuwa ni mtakatifu!. Kama alivyo sema mwenyewe kuhusu uwezo wa macho yake yale.... yanaona hayo!, na akasema wazi yeye sio mtu wa kufoka foka na akatoa onyo tusimzengue "mkinizengua, tuta zenguana" Wito Kama ilivyokuwa kwa JPM, alikuwa ni chaguo la Mungu kwa Tanzania, na baadae Mungu akabadili mawazo na kuamua kumuita kwake, na badala yake sasa Mungu ametuletea Samia, hivyo kwa sasa Samia ndio chaguo la sasa la Mungu kwa Tanzania, hivyo natoa wito kwa sisi wana Jf, la Watanzania kwa ujumla lets give her time, tumpe muda wa kutosha kuisuka nchi. Lets not take upole wake, unyenyekevu wake na humbleness yake for granted tukaanza kumzengua... She will be....Naomba nisimalizie Nakutakia Jumapili Njema. Paskali