Pumzika kwa amani John Pombe Magufuli uliyoyafanya ndio yameanza kufanyika Marekani 2025

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,468
Reaction score
31,952
Hakika Tanzania,Afrika na Dunia haitoacha kukumbuka mazuri yako.
Leo hii Marekani inapiga vita dhidi ya ushoga,vita visivyo na tija,NGO s uchwara zinazoneemesha wachache kwa kisingizio cha huduma.
Uliondoa wafanyakazi feki leo hii marekani wameanzisha kitengo maalumu cha kuangazia ufanisi wa wafanyakazi DOGE.

Hakika umejenga ujasiri si tu nchini bali hata kimataifa.

R.i.E.P John Joseph Pombe Magufuli.
 
Wewe zimo kweli ?
 
Angekuwa amefanya mambo mazuri na makubwa sifikirii Kama angeogopa uchaguzi
 
Hakika Tanzania,Afrika na Dunia haitoacha kukumbuka mazuri yako.
Leo hii Marekani inapiga vita dhidi ya ushoga,vita visivyo na tija,NGO s uchwara zinazoneemesha wachache kwa kisingizio cha huduma.
Uliondoa wafanyakazi feki leo hii marekani wameanzisha kitengo maalumu cha kuangazia ufanisi wa wafanyakazi DOGE.

Hakika umejenga ujasiri si tu nchini bali hata kimataifa.

R.i.E.P John Joseph Pombe Magufuli.
Nyumbu wakisikia jina Magufuli wanatimua mbio
 
Hakika Tanzania,Afrika na Dunia haitoacha kukumbuka mazuri yako.
Leo hii Marekani inapiga vita dhidi ya ushoga,vita visivyo na tija,NGO s uchwara zinazoneemesha wachache kwa kisingizio cha huduma.
Uliondoa wafanyakazi feki leo hii marekani wameanzisha kitengo maalumu cha kuangazia ufanisi wa wafanyakazi DOGE.

Hakika umejenga ujasiri si tu nchini bali hata kimataifa.

R.i.E.P John Joseph Pombe Magufuli.
mambo gn hayo yanafanyka huko ambayo aliyaona yule muuwaji? Tapeli alikuwa anakopa na kugawa hela barabarani halafu anasema fedha za ndani, tapeli alisema wapnzan wanatuchelewesha akavuruga uchaguz bunge na kata na vjiji yakajaa maccm hatuon jipya yanafanya, haya ndo yanafanyka marekani au siyo.
 
Hakika Tanzania,Afrika na Dunia haitoacha kukumbuka mazuri yako.
Leo hii Marekani inapiga vita dhidi ya ushoga,vita visivyo na tija,NGO s uchwara zinazoneemesha wachache kwa kisingizio cha huduma.
Uliondoa wafanyakazi feki leo hii marekani wameanzisha kitengo maalumu cha kuangazia ufanisi wa wafanyakazi DOGE.

Hakika umejenga ujasiri si tu nchini bali hata kimataifa.

R.i.E.P John Joseph Pombe Magufuli.
You could be sick!!
 
John Pombe, Rais aliyewapenda watanzania na Tanzania
 
Kuwa bora na kukubalika ni vitu viwili tofauti
Kubabalika inachagizwa na unavyojitangaza kwa watu Ila kuwa bora ni vile unafanya .

Magufuli alikuwa anakubalika kwakuwa alitumia nguvu kubwa kujitangaza na kusifiwa na machawa hivyo hii ilipelekea akakubalika kwakuwa watanzania wengi wana uwezo hafifu wa kuutambua ukweli na propaganda.

Ila kuhusu ubora Magufuli hakuwa kiongozi bora , alikuwa mkurupukaji ,mjuaji na mtu asiyekuwa na maono
 
Hakika Tanzania,Afrika na Dunia haitoacha kukumbuka mazuri yako.
Leo hii Marekani inapiga vita dhidi ya ushoga,vita visivyo na tija,NGO s uchwara zinazoneemesha wachache kwa kisingizio cha huduma.
Uliondoa wafanyakazi feki leo hii marekani wameanzisha kitengo maalumu cha kuangazia ufanisi wa wafanyakazi DOGE.

Hakika umejenga ujasiri si tu nchini bali hata kimataifa.

R.i.E.P John Joseph Pombe Magufuli.
Hili andiko ni Kwa wenye akili tu!!

Hakika tunamkumbuka JPM
 
Hakika Tanzania,Afrika na Dunia haitoacha kukumbuka mazuri yako.
Leo hii Marekani inapiga vita dhidi ya ushoga,vita visivyo na tija,NGO s uchwara zinazoneemesha wachache kwa kisingizio cha huduma.
Uliondoa wafanyakazi feki leo hii marekani wameanzisha kitengo maalumu cha kuangazia ufanisi wa wafanyakazi DOGE.

Hakika umejenga ujasiri si tu nchini bali hata kimataifa.

R.i.E.P John Joseph Pombe Magufuli.
Mwamba kweli kweli apumzike kazi zinaonekana...!
 
Back
Top Bottom