Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 8,442
- 10,464
Soma jina analotumiaWewe zimo kweli ?
Soma jina analotumiaWewe zimo kweli ?
apumzike jehananu kwa kuwaua watu wengiHakika Tanzania,Afrika na Dunia haitoacha kukumbuka mazuri yako.
Leo hii Marekani inapiga vita dhidi ya ushoga,vita visivyo na tija,NGO s uchwara zinazoneemesha wachache kwa kisingizio cha huduma.
Uliondoa wafanyakazi feki leo hii marekani wameanzisha kitengo maalumu cha kuangazia ufanisi wa wafanyakazi DOGE.
Hakika umejenga ujasiri si tu nchini bali hata kimataifa.
R.i.E.P John Joseph Pombe Magufuli.
| Azory Gwanda | |
|---|---|
| Born | ca. 1975 Kibiti, Rufiji District, Pwani Region, Tanzania |
| Disappeared | November 21, 2017 Kibiti, Rufiji District, Pwani Region, Tanzania |
| Status | Missing for 7 years, 3 months and 13 days |
| Occupation | Print/Internet journalist |
| Employer(s) | Mwananchi Communication Ltd, Mwananchi and The Citizen |
| Spouse | Anna Pinoni |
| Mother | Eva Mpulumba |
Nipo nduguMkuu jinga lao ulipotea sana naona umeibuka tena. Enzi hizo trump tulimuita magufuli wa marekani kutokana na trump kuwa na misimamo kama ya magufuli. Nadhani magufuli angekuwepo kipindi hiki tungeshuhudia uozo mwingi ukikomeshwa
ninyi na vibaraka wenu wa kueneza uongo mnapumulia mashine ...fedha za uchochezi kupitia NGO s zimesitishwaapumzike jehananu kwa kuwaua watu wengi
View attachment 3273635
Azory Gwanda Born ca. 1975
Kibiti, Rufiji District, Pwani Region, TanzaniaDisappeared November 21, 2017
Kibiti, Rufiji District, Pwani Region, TanzaniaStatus Missing for 7 years, 3 months and 13 days Occupation Print/Internet journalist Employer(s) Mwananchi Communication Ltd, Mwananchi and The Citizen Spouse Anna Pinoni Mother Eva Mpulumba
whatever, the truth is Jiwe was a KILLERninyi na vibaraka wenu wa kueneza uongo mnapumulia mashine ...fedha za uchochezi kupitia NGO s zimesitishwa
Mwacheni apumzike sasa maana kifo hakina rivasiHakika Tanzania,Afrika na Dunia haitoacha kukumbuka mazuri yako.
Leo hii Marekani inapiga vita dhidi ya ushoga,vita visivyo na tija,NGO s uchwara zinazoneemesha wachache kwa kisingizio cha huduma.
Uliondoa wafanyakazi feki leo hii marekani wameanzisha kitengo maalumu cha kuangazia ufanisi wa wafanyakazi DOGE.
Hakika umejenga ujasiri si tu nchini bali hata kimataifa.
R.i.E.P John Joseph Pombe Magufuli.
Apumzike Kwa Amani Hayati John MagufuliHakika Tanzania,Afrika na Dunia haitoacha kukumbuka mazuri yako.
Leo hii Marekani inapiga vita dhidi ya ushoga,vita visivyo na tija,NGO s uchwara zinazoneemesha wachache kwa kisingizio cha huduma.
Uliondoa wafanyakazi feki leo hii marekani wameanzisha kitengo maalumu cha kuangazia ufanisi wa wafanyakazi DOGE.
Hakika umejenga ujasiri si tu nchini bali hata kimataifa.
R.i.E.P John Joseph Pombe Magufuli.
Umeongea kwa fact sana mkuu..!!Sijui ubora na ushujaa wa magufuli unatokana na nini, kwangu yeye ni worst president ambae hajawahi tokea Nchini mwetu, Yes ana mazuri yake ila mabaya ni mengi kuliko mazuri.
Mtu alieharibu mfumo wote wa ajira Nchi hii anakuwaje mzuri? Kipindi cha Mzee Nyerere hadi Kikwete hakukuwa na tatizo la ajira kiasi hiki, Nakumbuka walimu,manesi,wauguzi na madaktari walikuwa wanaajiliwa moja kwa moja baada ya kumaliza elimu zao na kupangiwa vituo vya kazi. Baada ya kuingia yeye huu mfumo wote aliuua na mpaka leo imekuwa kilio kwa vijana wengi, Kama watangulizi wake waliweza yeye alishindwa nini kuendeleza mazuri ya watangulizi wake?
Kuua sekta binafsi (Azasi) hapa ndio aliboronga zaidi, Sekta binafsi ndio msingi bora zaidi wa upatikanaji wa ajira Duniani ila yeye alihakikisha kuwa sekta binafsi anaziua kabisa badala ya kuzipa nguvu, nadhan alisahau kuwa watu wengi wameajiliwa na sekta binafsi, kwa ambao hatukuajiliwa serikalini basi hizi sekta binafsi zilituokoa sana, Firm nyingi sana za utafiti zilikufa na baadhi kufungwa kipindi cha Jiwe, Dodoso muhimu sana kwenye utafiti alizuia, Nadhan mtakuwa mnakumbuka Aidan Ayakuze wa Twaweza alichopitia na tafiti ya Sauti za Wananchi.
Kuua Upinzani ndani ya ccm na nje ya ccm, Jiwe alihakikisha anakuwa malaika au Mungu mtu, hakutaka kukosolewa wala kusahihishwa na makosa aliofanya, mtu au kikundi chochote kilichothubutu kumkosoa basi kiliipata, Refer ya Nape mnauye, January makamba n.k na kwa wapinzani ilikuwa ni balaa tupu, ukiachana na ya Ben saanane na Lissu, kuna kundi kubwa sana la vijana kuuawa kwa kujaribu kumkosoa.
Mtu asiezingatia utawala bora hawezi kuwa shujaa wa Taifa, aliapa kuilinda katiba yetu so kama mwenyewe alishiriki kuisigina katiba basi hafai kuwa bora miongoni mwa walio bora. Dead and gone, Mungu amlaze panapostahili
JPM alikua time Traveller. Hata kwenye Afya, alikua mbele ya muda kuliko wanasayansi wengi. Alikua critic mkubwa wa Chanjo za COVID-19 na quarantine kama ilivyokua kwa Trump na waziri wake wa Afya kwa sasa, Robert Kennedy jr.Hakika Tanzania,Afrika na Dunia haitoacha kukumbuka mazuri yako.
Leo hii Marekani inapiga vita dhidi ya ushoga,vita visivyo na tija,NGO s uchwara zinazoneemesha wachache kwa kisingizio cha huduma.
Uliondoa wafanyakazi feki leo hii marekani wameanzisha kitengo maalumu cha kuangazia ufanisi wa wafanyakazi DOGE.
Hakika umejenga ujasiri si tu nchini bali hata kimataifa.
R.i.E.P John Joseph Pombe Magufuli.
Its seem hufahamu hata DOGE wanafanya nn, maguful never attempted that . Usimbebeshe sifa zisizo zakeHakika Tanzania,Afrika na Dunia haitoacha kukumbuka mazuri yako.
Leo hii Marekani inapiga vita dhidi ya ushoga,vita visivyo na tija,NGO s uchwara zinazoneemesha wachache kwa kisingizio cha huduma.
Uliondoa wafanyakazi feki leo hii marekani wameanzisha kitengo maalumu cha kuangazia ufanisi wa wafanyakazi DOGE.
Hakika umejenga ujasiri si tu nchini bali hata kimataifa.
R.i.E.P John Joseph Pombe Magufuli.
Awamu hii unaionaje lakiniKuna mwanasiasa angeweza kumshinda Magufuli kwenye uchaguzi?
Kuna mtu nilimwambia Trump na elon wanachofanya USA wameiga playbook ya MagufuliHakika Tanzania,Afrika na Dunia haitoacha kukumbuka mazuri yako.
Leo hii Marekani inapiga vita dhidi ya ushoga,vita visivyo na tija,NGO s uchwara zinazoneemesha wachache kwa kisingizio cha huduma.
Uliondoa wafanyakazi feki leo hii marekani wameanzisha kitengo maalumu cha kuangazia ufanisi wa wafanyakazi DOGE.
Hakika umejenga ujasiri si tu nchini bali hata kimataifa.
R.i.E.P John Joseph Pombe Magufuli.
Yule miaka 6 aliyokopa VS miaka 4 ya mama yako..................utajua kama wewe unatakiwa kubakwa bila kilainishi..........mambo gn hayo yanafanyka huko ambayo aliyaona yule muuwaji? Tapeli alikuwa anakopa na kugawa hela barabarani halafu anasema fedha za ndani, tapeli alisema wapnzan wanatuchelewesha akavuruga uchaguz bunge na kata na vjiji yakajaa maccm hatuon jipya yanafanya, haya ndo yanafanyka marekani au siyo.
Broo JPM alitumia pesa nyingi za ndani .mambo gn hayo yanafanyka huko ambayo aliyaona yule muuwaji? Tapeli alikuwa anakopa na kugawa hela barabarani halafu anasema fedha za ndani, tapeli alisema wapnzan wanatuchelewesha akavuruga uchaguz bunge na kata na vjiji yakajaa maccm hatuon jipya yanafanya, haya ndo yanafanyka marekani
au siyo.
wewe umesomea mass journalism wakati uhitaji ni ARCHTECTURER Unatarajia nini?Sijui ubora na ushujaa wa magufuli unatokana na nini, kwangu yeye ni worst president ambae hajawahi tokea Nchini mwetu, Yes ana mazuri yake ila mabaya ni mengi kuliko mazuri.