Aibu? Hii machawa republic kuna cha Aibu?Kuna watu wanaona aibu kusema hili
Hahahah haya ni mashindano ya kuijua doge au kutofautisha alichokifanya magufuli na doge?Huna uwezo wa kuijua DOGE kuliko mimi bwa mdogo
Mbona chura kiziwi amwekwa kwenye mabango nchi nzima na bado ikija kwenye ulinganisho JPM anamgalagaza chura kiziwi ingawa jpm ni marehemuKubabalika inachagizwa na unavyojitangaza kwa watu Ila kuwa bora ni vile unafanya .
Magufuli alikuwa anakubalika kwakuwa alitumia nguvu kubwa kujitangaza na kusifiwa na machawa hivyo hii ilipelekea akakubalika kwakuwa watanzania wengi wana uwezo hafifu wa kuutambua ukweli na propaganda.
Ila kuhusu ubora Magufuli hakuwa kiongozi bora , alikuwa mkurupukaji ,mjuaji na mtu asiyekuwa na maono
Sasa hivi tunanunua Umeme Toka Ethiopia kwa Senti 7.7 za Dola kwa kWh... Mwaka uliopita Songas amepigwa chini kuuza Umeme wake kwa Senti 6.5 za Dola kwa kWh, kwa madai kuwa ni gharama.Kubabalika inachagizwa na unavyojitangaza kwa watu Ila kuwa bora ni vile unafanya .
Magufuli alikuwa anakubalika kwakuwa alitumia nguvu kubwa kujitangaza na kusifiwa na machawa hivyo hii ilipelekea akakubalika kwakuwa watanzania wengi wana uwezo hafifu wa kuutambua ukweli na propaganda.
Ila kuhusu ubora Magufuli hakuwa kiongozi bora , alikuwa mkurupukaji ,mjuaji na mtu asiyekuwa na maono
Kweli ila pole kwa hali ilivyokulazimu kuchanjwa na kuwahamasisha wengine pia !JPM alikua time Traveller. Hata kwenye Afya, alikua mbele ya muda kuliko wanasayansi wengi. Alikua critic mkubwa wa Chanjo za COVID-19 na quarantine kama ilivyokua kwa Trump na waziri wake wa Afya kwa sasa, Robert Kennedy jr.
Miaka kadhaa baada yake, dunia imekuj kujua ukweli juu ya Corona na namna watu walivyoitumia kutimiza agenda zao.
Moja ya kitu ninachojuta maishani, ni kuchoma na kushauri watu wachome chanjo ile.
Magufuli hayupo vipi mmeacha kutekwa na kuuawa?apumzike jehananu kwa kuwaua watu wengi
View attachment 3273635
Azory Gwanda Born ca. 1975
Kibiti, Rufiji District, Pwani Region, TanzaniaDisappeared November 21, 2017
Kibiti, Rufiji District, Pwani Region, TanzaniaStatus Missing for 7 years, 3 months and 13 days Occupation Print/Internet journalist Employer(s) Mwananchi Communication Ltd, Mwananchi and The Citizen Spouse Anna Pinoni Mother Eva Mpulumba
Hakuna bora kwenye mbovu, Tanzania haijawahi kuwa na rais bora ila Magu na huyu mwenzake ndio wa hovyo kuwahi tokea hapa TzWatu wengi hawamkubali JPM, ila weka kura ni rais yupi bora kutawala Tz ndo utapata jibu sahihi 😂
Samia na ccm wanaendesha nchi kihuni sana.Sasa hivi tunanunua Umeme Toka Ethiopia kwa Senti 7.7 za Dola kwa kWh... Mwaka uliopita Songas amepigwa chini kuuza Umeme wake kwa Senti 6.5 za Dola kwa kWh, kwa madai kuwa ni gharama.
Leo wametoa taarifa kuwa uzalishaji wa Umeme Tanzania umezidi matumizi... Kwa hiyo Mashine 5 zimezimwa...
Mpaka sasa sielewi🤔🤔🤔
Pole yakoHakika Tanzania,Afrika na Dunia haitoacha kukumbuka mazuri yako.
Leo hii Marekani inapiga vita dhidi ya ushoga,vita visivyo na tija,NGO s uchwara zinazoneemesha wachache kwa kisingizio cha huduma.
Uliondoa wafanyakazi feki leo hii marekani wameanzisha kitengo maalumu cha kuangazia ufanisi wa wafanyakazi DOGE.
Hakika umejenga ujasiri si tu nchini bali hata kimataifa.
R.i.E.P John Joseph Pombe Magufuli.
Sasa alikuwa anaiba kura na kuharibu uchaguzi 2020 aliwaza nn?Mbona chura kiziwi amwekwa kwenye mabango nchi nzima na bado ikija kwenye ulinganisho JPM anamgalagaza chura kiziwi ingawa jpm ni marehemu
Waone tu Aibu ila UKWELI uko palepale.Kuna watu wanaona aibu kusema hili
Asante mkuu. Imagine unahamasisha watu wachomwe chanjo ambayo haijathibitishwa. Watu wachome chanjo ambayo sayansi yake haijulikani. Hatujui baada ya miaka kumi kipi kitakua kimetokea kwenye DNA zetu.Kweli ila pole kwa hali ilivyokulazimu kuchanjwa na kuwahamasisha wengine pia !
Yale ni mambo ya ccm!Sasa alikuwa anaiba kura na kuharibu uchaguzi 2020 aliwaza nn?
Hasira za mkizi hizomambo gn hayo yanafanyka huko ambayo aliyaona yule muuwaji? Tapeli alikuwa anakopa na kugawa hela barabarani halafu anasema fedha za ndani, tapeli alisema wapnzan wanatuchelewesha akavuruga uchaguz bunge na kata na vjiji yakajaa maccm hatuon jipya yanafanya, haya ndo yanafanyka marekani au siyo.