secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Mkuu ukiwachunguza vizuri wanaomchukia Magufuli utagundua kuwa wanatoka katika familia za watumbuliwa (viongozi wazembe, watumishi hewa na wapenda rushwa) pamoja na wale wanaolishwa maneno na wengine wenye uwezo mdogo wa Ku reason.Mtu asiye na maono ndio ameondoa foleni ya ubungo kwa 98% ameleta SGR train na ndege ambazo mnapanda na kujisifia royal tours. We need a solution oriented leader like JPM