Pumzika kwa amani John Pombe Magufuli uliyoyafanya ndio yameanza kufanyika Marekani 2025

apumzike jehananu kwa kuwaua watu wengi




Azory Gwanda
Bornca. 1975
Kibiti, Rufiji District, Pwani Region, Tanzania
DisappearedNovember 21, 2017
Kibiti, Rufiji District, Pwani Region, Tanzania
StatusMissing for 7 years, 3 months and 13 days
OccupationPrint/Internet journalist
Employer(s)Mwananchi Communication Ltd, Mwananchi and The Citizen
SpouseAnna Pinoni
MotherEva Mpulumba
 
Mkuu jinga lao ulipotea sana naona umeibuka tena. Enzi hizo trump tulimuita magufuli wa marekani kutokana na trump kuwa na misimamo kama ya magufuli. Nadhani magufuli angekuwepo kipindi hiki tungeshuhudia uozo mwingi ukikomeshwa
Nipo ndugu
 
ninyi na vibaraka wenu wa kueneza uongo mnapumulia mashine ...fedha za uchochezi kupitia NGO s zimesitishwa
 
Sijui ubora na ushujaa wa magufuli unatokana na nini, kwangu yeye ni worst president ambae hajawahi tokea Nchini mwetu, Yes ana mazuri yake ila mabaya ni mengi kuliko mazuri.

Mtu alieharibu mfumo wote wa ajira Nchi hii anakuwaje mzuri? Kipindi cha Mzee Nyerere hadi Kikwete hakukuwa na tatizo la ajira kiasi hiki, Nakumbuka walimu,manesi,wauguzi na madaktari walikuwa wanaajiliwa moja kwa moja baada ya kumaliza elimu zao na kupangiwa vituo vya kazi. Baada ya kuingia yeye huu mfumo wote aliuua na mpaka leo imekuwa kilio kwa vijana wengi, Kama watangulizi wake waliweza yeye alishindwa nini kuendeleza mazuri ya watangulizi wake?

Kuua sekta binafsi (Azasi) hapa ndio aliboronga zaidi, Sekta binafsi ndio msingi bora zaidi wa upatikanaji wa ajira Duniani ila yeye alihakikisha kuwa sekta binafsi anaziua kabisa badala ya kuzipa nguvu, nadhan alisahau kuwa watu wengi wameajiliwa na sekta binafsi, kwa ambao hatukuajiliwa serikalini basi hizi sekta binafsi zilituokoa sana, Firm nyingi sana za utafiti zilikufa na baadhi kufungwa kipindi cha Jiwe, Dodoso muhimu sana kwenye utafiti alizuia, Nadhan mtakuwa mnakumbuka Aidan Ayakuze wa Twaweza alichopitia na tafiti ya Sauti za Wananchi.

Kuua Upinzani ndani ya ccm na nje ya ccm, Jiwe alihakikisha anakuwa malaika au Mungu mtu, hakutaka kukosolewa wala kusahihishwa na makosa aliofanya, mtu au kikundi chochote kilichothubutu kumkosoa basi kiliipata, Refer ya Nape mnauye, January makamba n.k na kwa wapinzani ilikuwa ni balaa tupu, ukiachana na ya Ben saanane na Lissu, kuna kundi kubwa sana la vijana kuuawa kwa kujaribu kumkosoa.

Mtu asiezingatia utawala bora hawezi kuwa shujaa wa Taifa, aliapa kuilinda katiba yetu so kama mwenyewe alishiriki kuisigina katiba basi hafai kuwa bora miongoni mwa walio bora. Dead and gone, Mungu amlaze panapostahili
 
Mwacheni apumzike sasa maana kifo hakina rivasi
 
Apumzike Kwa Amani Hayati John Magufuli
 
Umeongea kwa fact sana mkuu..!!
Wewe ndio GT nimeshuhudia toka mwaka uanze..!!
 
JPM alikua time Traveller. Hata kwenye Afya, alikua mbele ya muda kuliko wanasayansi wengi. Alikua critic mkubwa wa Chanjo za COVID-19 na quarantine kama ilivyokua kwa Trump na waziri wake wa Afya kwa sasa, Robert Kennedy jr.

Miaka kadhaa baada yake, dunia imekuj kujua ukweli juu ya Corona na namna watu walivyoitumia kutimiza agenda zao.
Moja ya kitu ninachojuta maishani, ni kuchoma na kushauri watu wachome chanjo ile.
 
Its seem hufahamu hata DOGE wanafanya nn, maguful never attempted that . Usimbebeshe sifa zisizo zake
 
Mamsamehe vipi mtu aliyemuua Ben saanane kwa mkono wake?

LISU alishambuliwa kwa mipango yake?

Alikataza watu wasimuombee LISU na hata kuvaa fulana za kumtakia apone haraka. Muuwaji mkubwa yule.
 
Kuna mtu nilimwambia Trump na elon wanachofanya USA wameiga playbook ya Magufuli
 
Yule miaka 6 aliyokopa VS miaka 4 ya mama yako..................utajua kama wewe unatakiwa kubakwa bila kilainishi..........
 
Broo JPM alitumia pesa nyingi za ndani .

JPM alipokifa watu walisafisha hazina.
Walisafisha fungu la State na walisafisha pesa zote za miradi na madai ya watu.
Kuna watu walilipwa kiduchu madai yao usiku wa tarehe 17 kuamkia 18 baada ya kutangaza kifo cha JPM .

Jiulize kilichowafanya wamsogeze karibu yule waziri wa Maokoto na kumpa usaidizi walikua na m
lengo la kumfunga mdomo .

Waziri wa Maokoto wa wakati ule alikua mzalendo wa kweli.
Kaeni kimya ipo siku haya mambo yatawekwa wazi hata kama sio leo .
Mimi sikuwahi kuikubali CCM wala Watu wake lakini JPM hata alipokua Waziri akionyesha uzalendo mkubwa sana na sasa tunamkumbuka kwa uzalendo wake
 
wewe umesomea mass journalism wakati uhitaji ni ARCHTECTURER Unatarajia nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…