Punguzeni kuomba, wote tunafanya kazi Kipato sawa

Kuna watu wanaona pesa zao ni za kutunza ,lakini za wenzao ni za kutumia alafu baadae wakwambie umefulia ulikuwa huna plan nzuri ya maisha. hao watu ni wakuwapiga pin tu.

Kuna kusaidiana lakin wengine ni unyonyaji na roho mbaya
 
Balaa
 
Kwa hiyo ushapokea hizo baraka, ama time Will Tell mkuu?
 
Kuna wale wengine mmetoka kwenye kikao au semina mmelipwa wote laki na 20, halafu anakwambia hauna buku 2 hapo maana mimi sina hela ndogo. Ukitoa tu imeisha hiyo.

Mwingine anakuomba buku cash anakwambia hela yake ipo kwenye simu, kutoa itakuwa usumbufu. Namwambia hata mimi ipo kwenye simu.
 
Idadi kubwa ya hawa wagogo makazini na mitaani ni wanawake na wengine wana waume zao na wanafanya kazi pia. Mimi mwanamke yeyote asiye na faida kwangu ni vigumu sana kumnunulia kitu au hata kumpa offer ya chai mkono mmoja, simpi hata iweje.
 
Kuna watu wanaona pesa zao ni za kutunza ,lakini za wenzao ni za kutumia alafu baadae wakwambie umefulia ulikuwa huna plan nzuri ya maisha. hao watu ni wakuwapiga pin tu.

Kuna kusaidiana lakin wengine ni unyonyaji na roho mbaya
Hili Jambo Kwa upande Wangu nimeliona sana,
Idadi kubwa ya hawa wagogo makazini na mitaani ni wanawake na wengine wana waume zao na wanafanya kazi pia. Mimi mwanamke yeyote asiye na faida kwangu ni vigumu sana kumnunulia kitu au hata kumpa offer ya chai mkono mmoja, simpi hata iweje.
Uko sahihi sana, Maana Daah Hawa Watu wanajiona Special sana, yaani woa ni wakupewa mda wote, Vyao ni vya Thamani vya wengine ni Vya Bure,
Nawaonaga hata kwenye usafiri, atakufata umpe lifti, ila kumbuka yeye huyo Hana masada wowote kwako zaidi ta kutaka apewe yeye msaada mda wote.
 
Na kuna wale wamepack magari nyumbani Kwa kupunguza gharama
Au hawajanunua kabisa magari.

Ila kila siku ni kudandia lift yako, na mbaya zaidi kutwa wanawaponda watu wanaoweka mafuta kwenda kazini kuwa wanatapanya hela na hawana mahesabu ya maisha!!
Duuuh hatariii.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…