Resurrection
JF-Expert Member
- Jun 8, 2020
- 952
- 1,267
Choko ilo linaomba nini sasa.Ndio Maana dar misenge mingi kila kitu inataka bure .Bure yauaaaa.Sikuizi hadi miwanaume inaomba ilipiwe lunch na yenyewe,. Hovyo kabisa🚮
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Choko ilo linaomba nini sasa.Ndio Maana dar misenge mingi kila kitu inataka bure .Bure yauaaaa.Sikuizi hadi miwanaume inaomba ilipiwe lunch na yenyewe,. Hovyo kabisa🚮
Nipe namba yake nimmnulie break fast daily.Nimemchana, acheni Ujinga mnatunza pesa zako chai utumie pesa za wenzio... Hii Tabia ni ya kishenzi....
Mpaka ananiita Bairi, okey Mimi bairi wee ambae sio bairi umenunua Nini.
Mbona nyie mnakutana na wanaune wa ajabu? I am really starting to question the company u keepWapo wapo wengi sana tena hadi kudanga wanadanga
Tumeshawajua,ila ndio zao hizo...Linapofika swala la Asubuhi kwenda kwenye Chai, Ofisi nyingi huwa Zina Staff Tea.
Sasa Kuna wale ambao wanaenda Canteen kununua chai.
Mshahara tunalipwa wote kiwango sawa au Hata wewe umenizidi mshahara, Punguzeni kuomba nunuliwe Breakfast.
Na ukifika Mchana pia kama Kawa mda wa luch mnajifanya kutia huruma Ili tu mnunuliwe msosi.
Kuna mwenzenu kashaniita bahili kisa tu nimekataa kumnunulia chai.
Pesa zenu mnazifanya za malengo za wenzenu ndo za kutumia.
Hapana hii ni kutoka kwa watu wa karibuMbona nyie mnakutana na wanaune wa ajabu? I am really starting to question the company u keep
Watu wa karibu is still company. Choose wisely my dearHapana hii ni kutoka kwa watu wa karibu
Sawa kakaWatu wa karibu is still company. Choose wisely my dear
Njoo nikununulie lunch hapa zebra upate ka briefcase kama upo dar lakiniSawa kaka
Nashukuru kaka nipo fullNjoo nikununulie lunch hapa zebra upate ka briefcase kama upo dar lakini
Hana huruma kila siku ananiambia keshoHuruma anayo, usifanye hivyo dipresheni.
Linapofika swala la Asubuhi kwenda kwenye Chai, Ofisi nyingi huwa Zina Staff Tea.
Sasa Kuna wale ambao wanaenda Canteen kununua chai.
Mshahara tunalipwa wote kiwango sawa au Hata wewe umenizidi mshahara, Punguzeni kuomba nunuliwe Breakfast.
Na ukifika Mchana pia kama Kawa mda wa luch mnajifanya kutia huruma Ili tu mnunuliwe msosi.
Kuna mwenzenu kashaniita bahili kisa tu nimekataa kumnunulia chai.
Pesa zenu mnazifanya za malengo za wenzenu ndo za kutumia.w
🤣🤣🤣Mbona kama mada imekuchoma vile?
Kuwa na subra nawe🤣Hana huruma kila siku ananiambia kesho
We ungeweza?Kuwa na subra nawe🤣
Mwalimu ananunuliwa chai na nani??moderator mlambeni ban huyu anatufokea mambo ya ofisini kwake!.
ofisi gani hiyo mnajinunulia chakula..?
Ndio🤣We ungeweza?
mi sijuiMwalimu ananunuliwa chai na nani??