mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 7,074
- 5,486
cc: Wadada wa mjini wanaojishaua, Kajala, Wema,, Aunty Ezekiel, na wengineo wa Bongo movie na flevaLinapofika swala la Asubuhi kwenda kwenye Chai, Ofisi nyingi huwa Zina Staff Tea.
Sasa Kuna wale ambao wanaenda Canteen kununua chai.
Mshahara tunalipwa wote kiwango sawa au Hata wewe umenizidi mshahara, Punguzeni kuomba nunuliwe Breakfast.
Na ukifika Mchana pia kama Kawa mda wa luch mnajifanya kutia huruma Ili tu mnunuliwe msosi.
Kuna mwenzenu kashaniita bahili kisa tu nimekataa kumnunulia chai.
Pesa zenu mnazifanya za malengo za wenzenu ndo za kutumia.