Punguzeni kuomba, wote tunafanya kazi Kipato sawa

cc: Wadada wa mjini wanaojishaua, Kajala, Wema,, Aunty Ezekiel, na wengineo wa Bongo movie na fleva
 
Salamu hizi ziwafikie hao wadada wote hapo ofisini kwenu
 
Hiyo office yenu inaonekana njaa kali sana.
 
Hii tabia siipendi! Ukiukataa unaambiwa bahili! Unakuta mtu anapata hela tena kubwa kuliko ww ila kila wakati ni kujilalamisha maisha magumu ili akukope au umnunulie kitu hela zao wananunulia mavitu makubwa makubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…