National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,177
- 56,121
Hii itakuwa kweli, maana puli tayari , na vitoto vingi sana block 4 ...kubet ndio nimeanza, nilihisi sitokuja ku bet, nimeanza ku bet uzeeni πππππ dronedrake na National Anthem
ππ Mi kubet niliwahi kujaribu 2015 nikaliwa Jero sikuwahi kujaribu Tena.Kwanza mi na mipira/Michezo Ni mbalimbali hata sehemu wakianza kujadili mipira tu huyo najinyanyukia zangu naenda kutafuta utelezi.Hii itakuwa kweli, maana puli tayari , na vitoto vingi sana block 4 ...kubet ndio nimeanza, nilihisi sitokuja ku bet, nimeanza ku bet uzeeni ππ
Nilianza ku bet hivi karibuni, nilikuwa sina kitu nipo juu hatari,nikatupia mziigo sportpesa kwani ulirudi sasa πππ mzigo wote ulienda, utelezi na mpira ni mbingu na nchi..ππ Mi kubet niliwahi kujaribu 2015 nikaliwa Jero sikuwahi kujaribu Tena.Kwanza mi na mipira/Michezo Ni mbalimbali hata sehemu wakianza kujadili mipira tu huyo najinyanyukia zangu naenda kutafuta utelezi.
Naam ni sahihi ila sidhani kama kuna mtu anapiga Punyeto huku kichwani lengo likiwa ni kuepuka mimba.kumwaga njee + kupiga nyeto + kutumia kondom = taratibu za kuepusha jinsia ya kike kupata mimba
Mkuu mstari umeandika wazi kuhusu βkutazamaβ sina shaka kama ingekusudiwa Punyeto ingeelezwa wazi maana ufiraji umekatazwa waziwazi mkuu.Mkuu nadhani point kubwa ya Yesu hapo ilikuwa sio kutazama...point ni kutamani kuzini naye.....sasa kinachofanyika ktk nyeto...kule kuvuta hisia si ndo huko huko kutamani?...na ukumbuke nyeto inahusha uvutaji wa hisia tofauti tofauti...ikiwemo hiyo ya kutamani kuzini na mwanamke fulani
Oh Shukran sana, natumai kuna watu watachukua ushauri huu.Nmepunguza kuangalia porno, nmejiepusha kukaa chumban pekeangu na mda nkiwa pekeangu bas ntakuwa naangalia movie au kucheza game
Pia nlfkria sana itakuaje sku na mm ikantokea ile hali ya watu wanayosema kimoja tu chali mtu hawez kuendlea na ndo limenfanya pia nichukue hatua ya kuacha kupiga
Nmefuta channel zote za porno, mfano za huko telegram, Twitter ili kuepusha kuangalia vdeo ztakazonfanya npige
Hayo ni baadh tu.
Mkuu lakini maelezo haya hayajajibu swaliMkuu; Biblia inatuasa kuzishinda tamaa za mwili.
1 Petro 2:11
Wapenzi, nawasihi kama wapitaji na wasafiri, ziepukeni tamaa za mwili zipiganazo na roho.
Soma pia hapa;
Wakolosai 2:23
[23]Mambo hayo yanaonekana kana kwamba yana hekima, katika namna ya ibada mliyojitungia wenyewe, na katika kunyenyekea, na katika kuutawala mwili kwa ukali; lakini hayafai kitu kwa kuzizuia tamaa za mwili.
mewahi sikia baadhi ya vijana walioko kwa ndoa wakipiga nyetoooNaam ni sahihi ila sidhani kama kuna mtu anapiga Punyeto huku kichwani lengo likiwa ni kuepuka mimba.
Mkuu lakini maelezo haya hayajajibu swali
Vipi kama mtu akamtamani mk
Mkuu JumaKilumbiMkuu lakini maelezo haya haya jajibu swali
Vipi kama mtu akamtamani mkewe?
Kwa hiyo mtu kumtamani mkewe wa ndoa kwa mujibu wako ni dhambi?Mkuu JumaKilumbi
Biblia inamwelekeza mwanaume kumpenda mke wake na kumtimizia mahitaji yake (Ikiwemo tendo la ndoa).
Hakuna mahali biblia inamwambia mwanaume kuwa amtamani mkewe, bali ameambiwa kumpenda. Hilo suala la kutamani unalianzisha mwenyewe kwa utashi wako tu; au ni namna uliyojitungia wewe mwenyewe kama ilivyoandikwa kwenye wakolosai 2:23
Kuna Mtu nilizungumza nae jana alikiri kuwa kuna muda anamuacha mkewe na kufanya hivyo.mewahi sikia baadhi ya vijana walioko kwa ndoa wakipiga nyetooo
nyeto = mental health problem - lack of self confidence
Mkuu kwa heshima sote sina hakika kama unajua Mapenzi yanavyofanya kazi.Mkuu JumaKilumbi
Biblia inamwelekeza mwanaume kumpenda mke wake na kumtimizia mahitaji yake (Ikiwemo tendo la ndoa).
Hakuna mahali biblia inamwambia mwanaume kuwa amtamani mkewe, bali ameambiwa kumpenda. Hilo suala la kutamani unalianzisha mwenyewe kwa utashi wako tu; au ni namna uliyojitungia wewe mwenyewe kama ilivyoandikwa kwenye wakolosai 2:23
Mimi nimetoa maandiko ya biblia yanayomwelekeza mwanaume kumpenda mkewe na kumtimizia mahitaji yake.Kwa hiyo mtu kumtamani mkewe wa ndoa kwa mujibu wako ni dhambi?
Biblia inasema usimtamani mwanamke asiye mke wako..kwa uelewa wangu mdogo hapo maana yake kumtamani mkeo kiasi hata cha kumpigia nyeto kama hampo pamoja sio dhambi.Mkuu kwa heshima sote sina hakika kama unajua Mapenzi yanavyofanya kazi.
Inawezekanaje mtu kutomtamani mumewe?
Guu la Tembo maelezo haya yanakubalika kwa kuwa ni kweli.Biblia inasema usimtamani mwanamke asiye mke wako..kwa uelewa wangu mdogo hapo maana yake kumtamani mkeo kiasi hata cha kumpigia nyeto kama hampo pamoja sio dhambi.
Mkuu nadhani point yako ya awali ni kuhusu mwanaume kufanya punyeto kwa kumtamani mkewe aliyeko mbali.Mkuu kwa heshima sote sina hakika kama unajua Mapenzi yanavyofanya kazi.
Inawezekanaje mtu kutomtamani mumewe?
Huyo ni mke wa jirani yako umezuiwa kumtamani, na lengo la kuzuiwa kumtamani ni kuiepusha zinaa, kwamba ukishamtamani basi utazini naye, hivyo unazuiwa kabisa kumtamani ili usije ukazini naye.Biblia inasema usimtamani mwanamke asiye mke wako..kwa uelewa wangu mdogo hapo maana yake kumtamani mkeo kiasi hata cha kumpigia nyeto kama hampo pamoja sio dhambi.
Sawa mkuu tujikite hapo,Mkuu nadhani point yako ya awali ni kuhusu mwanaume kufanya punyeto kwa kumtamani mkewe aliyeko mbali.
Nashauri mjadala wetu ujikite hapo tafadhali. Tusihamishe mada.
Mkuu usizidisheBasi tuendelee kupiga nyeto