Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 11,050
- 31,412
Sijawahi kukutana na uzi mzuri na wenye hitimisho nzuri kama huu! Asante mleta mada, asante.Na Jumaa Kilumbi,
31.10.2022
Punyeto ni nini?
ni kitendo cha kujiridhisha kingono kwa kujichua sehemu za siri.
Lakini ieleweke kuwa Punyeto ni kitendo cha kiasili kibailojia na hufanywa na watu wengi sana