Punyeto: Mitazamo ya Uislam na Ukristo

Punyeto: Mitazamo ya Uislam na Ukristo

Na Jumaa Kilumbi,
31.10.2022

Punyeto ni nini?
ni kitendo cha kujiridhisha kingono kwa kujichua sehemu za siri.
Lakini ieleweke kuwa Punyeto ni kitendo cha kiasili kibailojia na hufanywa na watu wengi sana
Sijawahi kukutana na uzi mzuri na wenye hitimisho nzuri kama huu! Asante mleta mada, asante.
 
Nimependa bandiko...lakini Bora ungeelezea hoja zako vizuri bila kumtaja Zakir Naik, maana ni boya mmoja asiyejua kupangilia hoja yoyote
Hapo amesema punyeto sawa ila sio ile ya kuangalia porno, kwanini?
Kuangalia porno hapo sawa na kuangalia uchi wa mtu/watu ambao si halali kwako kuuona ,tena kwa kkusudia hapo ni dhambi yenye uzito mkubwa kama mgongo,mikono n.k ya mtu ambaye si mke wako si ruhusa kutazama isipokuwa kwa dharura za kihaja zilizothibiti kisheria vipi ikiwa uchi kabisa ?
 
Weka aya sio mbambamba
 
Kuwa specific aya kuhusiana na nini ?

Mtu kumchungulia mtu ambaye si halali kwako hilo swala ndio linaloifanya porno kuwa katika list ya madhambi yenye uzani .
Aya Hiyo kuhusiana na kumchungulia mtu sio halali
 
Nimependa bandiko...lakini Bora ungeelezea hoja zako vizuri bila kumtaja Zakir Naik, maana ni boya mmoja asiyejua kupangilia hoja yoyote
Hapo amesema punyeto sawa ila sio ile ya kuangalia porno, kwanini?
Mkuu katika uandishi wa mambo ‘serious’ kama haya ni muhimu kuweka vyanzo vya maarifa hiyo huitwa ‘intellectual honesty’ na ndiyo maana nimenukuu Biblia, Quran na Dr. Zakir Naik maana ndiyo vyanzo vyangu.

Na swali lako ni zuri sana, Porn ni haram kwa namna nyingi sana moja yapo ni kuwa unatazama watu wawili ambao hawako ndoani wakifanya zinaa.

Pili kwa kutazama unaunga mkono kitendo hiko kwa namna moja ama nyingine maana kuna wengine hulipia ili kutazama video hizo.
 
Je kuna utofauti wowote wa mwanaume kumwaga njee wakati wa tendo la ndoa vs kupiga nyetooo?
 
Kuna kitu kinaitwa Jamuhuril ghulamaa [msimamonwenye nguvu kulingana na dalili]....

Punyeto ni haramu.... kutokana na dalili ulizozitaja....

Na Mtume amewataka vijana waoe au wafunge....

Jamani mtatufanya our night to be much more longer kwa kuwa na wenza walioathirika na punyeto...
Kivipi?

"Jamani mtatufanya our night to be much more longer kwa kuwa na wenza walioathirika na punyeto..."
 
Je kuna utofauti wowote wa mwanaume kumwaga njee wakati wa tendo la ndoa vs kupiga nyetooo?
Ndiyo, utouti ni wa wazi.

Mkuu ushawahi piga Punyeto?

Kama umewahi utagundua kuwa ili kufanikisha azma ile hauhitaji mtu mwingine, ni wewe na mikono yako.

Ushawahi fanya tendo la ndoa?

Kama umewahi utagundua kuwa ili ufanikishe unamhitaji mume.

Hiyo ni tofauti kubwa kabisa, suala la kumwaga nje nalifananisha na suala la kutumia Condom kwa maana Lengo yake huwa ni sawa.

Natumai nimekujibu vizuri.
 
Bahati mbaya asilimia 98 na hayo ulio orodhesha hapo ndio yanafanywa na wakatoliki haswa viongozi wao, na udhibitisho hivi juzi kiongozi mkuu alikiri kufanyika kwa hayo uliosema na viongozi wenzake.
Kweli kabisa hata asilimia 98 ya haya pia yanafanywa na medhehebu mengine, waisalam, wasio na dini. Hata wewe pia unahusika. .

Mie kazi yangu kuwajuza watu kuwa sio sawa ni dhambi, hayo mengine Kila mtu atajibu na Mungu wake. .
 
Aya Hiyo kuhusiana na kumchungulia mtu sio halali
Hiyo ya kwanza Qu'ran ikitaka kuepuka kutizama mtu kimatamanio hapo hata ukikutana na mdada kavaa hovyo njiani ,je itakuwaje pale mtu anapokusudia tena anoona uchi ulio mkubwa zaidi kwa makusudi ?
IMG_20221101_081253.jpg

Hapo chini hadithi imaana hata mwanaume haruhusiwei kuona uchi wa mwanaume mwenzake na kwa wanawake hivyo hivyo isipokuwa kwa dharura sasa vuta picha ikiwa kwa jinsia tofauti tena makusudi uchi full wa mnyama.
IMG_20221101_081323.jpg
 
Mkuu una uhakika uasherati unajumuisha upigajinpunyeto wu ni tafairi yako ya namna ulivyoelewa andiko?

Kwa maelezo jadidi ya biblia kama ingelenga kukataza Punyeto ingesema moja kwa moja maana imeweza sema kuhusu wafiraji nini Punyeto Mkuu?
Nyeto ni dhambi katika muktadha wa kwamba ni lazima ihusishe fikra ya kumtamani mwanamke hata kama ni kwa imagination tuu!...sasa Yesu katika biblia aliwahi kusema "Amtazamaye mwanamke kwa kumatamani tayari kiroho inahesabika amekwisha zini naye"...sipo deep sana kwenye neno hivyo nimeshindwa kutaja huo mstari unatoka wapi..ila huo mstari kwenye bible upo.
 
Hiyo ni Matthew 5:28
“Lakini mimi nawaambieni, yeyote anayemtazama mwanamke kwa kumtamani amekwisha kuzini naye moyoni mwake.”

Halafu ushawahi piga punyeto?

Kama ushawahi utagundua ili ufanikishe hilo hakuna hauhitaji “kumtazama mwanamke kwa matamanio”

Unachohitaji ni “kufikiria na kuvuta hisia”

Na maneno ‘kutazama’ na ‘kuvuta hisia’ hayana maana sawa. (Natumai hii iko dhahiri hakuna haja ya kuyafafanua zaidi).

Niseme tu kuwa mstari ulionukuu haukuongelea Punyeto.

Na tena Nirudie kwa kusema katika biblia nzima hakuna mstari unaoongelea Punyeto, mstari pekee ulio karibu na maelezo kuhusu Punyeto ni ule wa kwenye mwanzo 38:1-10
 
Sawa umesema,
Hata Papa alisema.

Idadi ya wanawake ni kubwa kuliko ya wanaume.

Uje na suluhisho
Ni rahisi mkuu, hapo tunakuwa na tatizo la aidha Dada zetu na mama zetu wawe michepuko ya waume waliooa mke mmoja

Au turuhusu kila mwanaume aoe wanawake wengi.

Na suluhu niionayo ni hiyo ya pili

Wanaume wawe na wake wengi Mamndenyi
 
Back
Top Bottom